nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ponjolo wa kinondoni ni nani?🤣

    Hii filamu inazidi kuwa tamu😁😁
  2. JamiiForums Tanzania Hivi huyu ni nani anayeweza kukaa mbele ya mamlaka kuu ya nchi yetu namna hii?

    Shida sio kukaa hivyo mbele ya SSH. Shida ni pale Rais kakaa kwenye kiti chenye mamlaka ya utawala na bendera zote mbili ya Rais na ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania zikiwa nyuma yake alafu mtu anakaa mbele ya mamlaka kama yuko geto na masela huku yuko bize na simu na haonyeshi kumsikiliza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana! Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    1. Lisu 2. Gwajima 3. Samia Active please moderator futa thread hii nimetengeneza nyingine as per your format
  5. JamiiForums Tanzania Nani walileta utaratibu wa kutahiri wanaume na kuketa wanawake Africa?

    Hili jambo la kutahiri wanaume na kuketa wanawake lilikuwepo Africa au lilitewa Africa na jamii za nje hususani Waarabu ? Ukiangalia nchi ambazo ukeketaji ulikuwa umekithiri na bado umekithiri ni nchi za Mashariki ya kati za kiarabu na zilizopata ushawishi mkubwa wa utamaduni wa kiarabu kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Ni nani alaimiwe kwenye hili?

    Mmomonyoko wa maadili kwa kizazi cha leo umekuwa ukienda kwa kasi sana, nahisi itakuwa 10G😄😄. Jambo hili limekuwa likileta mkanganyiko na kutupiana lawama kwa kila rika. Hebu angalia mitazamo ifuatayo Kwanza,Watu wazima (50+) huwatupia lawama vijana hasa watoto 2000 ya kwamba wanaaribu maadili...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Nani anaehusika kuharibu uzi wangu nikiwananga waKenya ?

    Leo jioni niliandika mada kuhusu walimu wa kikenya walivyokuwa wanakunywa nyuka mabel mstarini, lakini cha ajabu naona sijui ni wakenya wameingilia kati ? uzi ume editiwa yaani ili uonekane laini kama uji wa maziwa. Nilichokiandika hapa ni kweli na ni kweli tupu, hakuna haja ya kupepesa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumhoji nani? An open discussion to those who can critically think on behalf of others

    If you can’t think critically, better stay away from this post aka thread. Hivi karibuni taarifa za kifedha za mkuu mmoja nchini zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha kiasi cha zaidi ya bilioni 1 kikiwa kwenye akaunti yake. Hatua hii iliibua maswali mengi miongoni mwa wananchi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Naamini mda umefika wa kupata msaada wa kifikra kutoka Kenya ili tujielewe sisi ni kina nani?

    Nakumba Mzee jomo kenyata aliwa kusema sisi ni maiti,kilikuwa ni kipindi cha utawala wa Nyerere, Ni kauli katika makuzi yangu nilikuwa siipendi hata kuisikia,baada ya kupata ufahamu akili na uwezo wa kuchambua mambo nikaona kama kuna ka ukweli vile Lakini mwaka huu nimejiridhisha na kujikubali...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Tauhidi alimaanisha hao kenge wa ndani ni akina nani?

    Mbunge Tauhidi kutoka Zanzibar alishauri serikali imalizane na Kenge wa ndani Tunajiuliza hao kenge wa ndani ni akina nani? Na anataka serikali imalizane nao vipi? Hivi mbunge anafikia hatua yakuita Watanganyika kenge, anajielewa kweli? Kwanini aite Watanganyika kenge? Anataka serikali...
  11. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

    Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya === Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea. "Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Je kati ya Waafrika wanaofuata dini zao za asili na wanaofuata ukristu na uislam nani WAJINGA?

    Piga kura yako hapa ikiwezekana weka utetezi wako kwaajili ya kuunga mkono kura yako.
  13. JamiiForums Tanzania Ni nani Mola Mlezi wa Majini?

    Majini yana Mola na Mlezi wao ambaye hawataki ashirikishwe na yeyote yule. Maana yeye ndo mola wao. Ni nani? Tega Sikio. Tunayauliza muda si mrefu yatajibu.
  14. JamiiForums Tanzania Kwenye hii umewatambua wakina nani ?.

  15. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kada wa chama aliyeamua kujihatarisha kuokoa nchi yake

    GWAJIMA KADA WA CHAMA ALIYEAMUA KUJIHATARISHA KUOKOA NCHI YAKE Askofu Gwajima siku ya jana alitoa ushauri kwa mamlaka za kiserikali kutokana na sakata la utekaji lililozidi sana nchini kwa sasa. Katika hotuba yake ya lisaa limoja, Askofu Gwajima amenukuliwa akisema utekaji sio utamaduni wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa waliokuwa wamekaa nyuma ya Gwajima kwenye press yake ni kina nani!

    1. Wachungaji wenzie wa kanisa lake 2. Walinzi wake 3. Wasaidizi wake 4. Ama ni washereheshaji tu. Kwa maana facial expressions zao siyo za low level, ni za high level kama Gwajima mwenyewe, na zingine zaidi ya Gwajima kabisa! Msisahau 99% wamepiga upara kama wa Gwajima! They aint ordinary...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Press ya leo ya Gwajima, nani atamjibu?

    Kumjibu kwa maana ya Ku balance story Kujibu kwa maana ya kukanusha alichokiongea Kumjibu kwa fact Ikumbukwe hajataja mtu kwenye hoja kuu bali kaongelea taasisi kwa sehemu kubwa.. Katumia mifano hai na ndio hapo awataje watu kwa majina Ninajua kwa hakika kuna watu binafsi ama vikundi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: "na kama wanataka kuchukua nje wachukue lakini kwanza tufaidike ndani ya nchi" Nani kaelewa hii kauli?

  19. JamiiForums Tanzania Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

    Mama leo amechukia na kuamua kufunguka kwa codes. Kwa haraka haraka, inavyoonekana kuna mtu, huenda ni maarufu au mzoefu ambaye alimuamini kutokana na exposure aliyeipata kimataifa kiasi cha kuamua kumteua idara fulani nyeti, ghafla mtu huyo amegeuka kuwa mwiba mkali wa kuiumiza serikali yake...
  20. JamiiForums Tanzania Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?

    Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura? Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…