Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako iliyounganishwa na uzi huu.
Kwa mtu binafsi unaweza kudownload na kuchapisha maelekezo ya kujiunga kisha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022
Aliyoyasema waziri wa kilimo Hussein Bashe
Waziri Bashe asema Serikali itaanza kutoa zawadi kwa...
"Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022.
Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
Habari humu.
Kichwa cha habari chahusika.Sioni shamrashamra za hii sikukuu pia hata matangazo sisikii.Je inawezekana na mwaka huu maonesho yakapotezewa na ukizingatia kuna kazi ya sensa na makazi.
Ni maonesho muhimu sana kwa wakulima na wafugaji na huwa yanatoa fursa kubwa za kibiashara kwa...
Kwanini wakulima na wafanyabiashara watozwe pesa kuingia kuangalia mambo siku ya sikukuu zao? Mbona wafanyakazi hawatozwi pesa kuingia viwanjani siku ya Mei mosi?
Waandaaji watafute namna ya kupata pesa lakini siyo kuchaji wakulima na wafanyabiashara. Ni utapeli.
Serikali ya awamu ya 6 kupitia Wizara ya Kilimo imerudisha upya Maonyesho ya Wakulima Nanenane baada ya kuzuiwa kufanyika kwa miaka kadhaa ya uongozi wa awamu ya 5.
Kwa mujibu wa Waziri Bashe, Serikali inakusudia kuyafanya maonesho hayo ya nane name kuwa maonesho rasmi ya Kimataifa ya Wakulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.