nanenane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yahudumia Wananchi 1,981 Maonesho ya Nanenane 2025 Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981. Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
  2. Taasisi ya Mifupa-MOI

    MOI yatii agizo la Rais kuendelea kutoa huduma Nanenane hadi Agosti 10, 2025

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo na Muhimbili (MOI) imetii agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan la kuendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kwenye Maonesho ya Nanenane, Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, hadi Agosti 10, 2025. Awali, huduma...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  4. Bibianna

    NANENANE: Rais Samia amenunua mitambo 30, magari makubwa 17 kwa ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji, pamoja na mitambo 18 ya uchimbaji wa Maji

    Rais Samia amenunua mitambo 30 na magari makubwa 17 kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya umwagiliaji Pamoja na mitambo 18 ya uchimbaji wa visima na magari madogo 58 yaufuatiliajiRais Samia amenunua vitendea kazi vikiwemo mitambo 30 na magari makubwa 17 kwa ajili ya ujenzi na...
  5. Bibianna

    Zaidi ya 1,000,000 waajiriwa sekta ya Kilimo, mnaolalamika maisha magumu njoo shambani

    Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti) Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya...
  6. matunduizi

    Nanenane inatukumbusha: Ajira ya kwanza Mwanadamu aliyopewa na Mungu

    Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo. BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15 Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani. Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine Unashamba...
  7. radhiya

    Happy Nanenane Day!

    Happy Nanenane Day
  8. P

    NANENANE: Jumla ya Trekta 500, Power Tiller 800, Magari 44, pikipiki 6,444, Vishikwambi 5,426 na vipima udongo 143 vimenunuliwa ndani ya miaka 4

    ||| Rais Samia amenunua vitendea kazi kwa ajili ya sekta ya kilimo magari 44, pikipiki 6,444, vishikwambi 5,426, na vipima afya ya udongo 143, Trekta 500, Power Tiller 800 ndani ya miaka minne. Tumenunua na kusambaza vitendea kazi kwa ajili ya kuboresha huduma za ugani na kuimarisha uzalishaji...
  9. P

    NANENANE: Agricultural One Stop Centre ni jambo jipya Tanzania

    Serikali imejenga na kukarabati zaidi ya masoko 50 na maghala 360 ya kuhifadhi mazao. Vilevile, imeanzisha vituo zaidi ya 30 vya huduma za pamoja (One Stop Centers) vinavyotoa pembejeo, ushauri, mikopo na masoko kupitia agrodealers 1,200 waliopo karibu na wakulima vijijini. Miundombinu hii...
  10. M

    NANENANE DAY: Kwa mara ya kwanza katika historia Bajeti ya maendeleo ya Kilimo imefikia shilingi trilioni moja. Je, Tunalakujifunza?

    Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si...
  11. Taasisi ya Mifupa-MOI

    DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  12. Liverpool VPN

    Nikiripoti kutoka viwanja vya Nanenane Mbeya. Huu ni ujumbe wangu kwa mlioa?

    Uzi TAYARI. #YNWA #YANGA_BINGWA
  13. Think2

    Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

    Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto. Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
  14. Mwanongwa

    Mbeya: Baada ya mgomo wa daladala kutolipa ushuru, hatimaye Stendi ya Nanenane yaanza kurekebishwa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo. Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara. Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
  15. Uhakika Bro

    Nguvu ya umoja ulivyowainua wafanyabiashara wa China, nanenane kila siku

    Mwisho wa miaka ya 1990, uchumi wa China ulikuwa unakua kwa kasi, lakini wajasiriamali wadogo walikuwa wanahangaika kupata nafasi yao kwenye soko la kimataifa. Hapo ndipo alipojitokeza Jack Ma, mwalimu wa Kiingereza mwenye maono makubwa. Aliamini kuwa mtandao ungeweza kuwa mlinganishaji...
  16. Uhakika Bro

    Teknolojia: Kivuli cha Ushindi au Majuto bila muendelezo nanenane itabakia kuwa ya msimu tu.

    Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.” Lakini dunia ilibadilika haraka. Kamera za kidigitali zilikuja na ufanisi, urahisi, na ubora ambao...
  17. Uhakika Bro

    Kupinga Mabadiliko: Hadithi ya Maumivu ya Majuto tuyatumie vizuri maonesho ya nanenane

    Mwaka 2000, teknolojia ya kamera za digitali iliibuka na kuleta mtikiso katika sekta ya upigaji picha. Wapiga picha wakongwe waliamua kuendelea na kamera zao za filamu wakiamini kuwa teknolojia ya digitali haitadumu. Lakini mambo yalibadilika—haraka zaidi kuliko walivyotarajia. Kamera za...
  18. Roving Journalist

    Wizara ya Sheria yawaita Wananchi wenye changamoto za Kisheria waliopo Dodoma kwenda NaneNane

    Kilele cha maonesho ya Wakulima na Wavuvi Nanenane kimewadia, Wananchi wanaendelea kujitokeza kwa wingi kwenye mabanda tofauti likwemo la Mama Samia Legal Aid Campaign ili kupata msaada wa kisheria Jijini Dodoma. Kupitia maonesho hayo yenye kauli mbiu ya “Chagua Viongozi Bora wa Serikali za...
  19. Liverpool VPN

    Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

    INTRODUCTION:- Wale wenye Nchi nawasalimia UBAYA UBWELAAAA Wale wananchi wenzangu, wanasalimia kwa "Wananchiiiiiiii" Twende kwenya mada .... BODY:- Nanenane ndio hiyooo, na kama kawa nimeshafika Mbeya tokea 31/07. Na hii ndio ratiba ya gambe .... 1. 31/08 bata lili liwa Rombo Bar, Kabwe...
  20. benzemah

    Rais Samia: Nanenane Mbeya Iongezewe Wiki Moja

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe aruhusu kuongezwa kwa Wiki moja zaidi ya Maonesho ya Nanenane Mbeya ili Watu waendelee na shughuli zao katika viwanja vya maonesho kama Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Dkt. Tulia Ackson alivyoomba...
Back
Top Bottom