namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sijawai kumkubali Mange ila sioni anaemfikia hata robo kuconnect dots, kutumia mitandao kuingiza hofu au matumaini, kucontroll wafuasi, n.k

    Sijawahi kuwa fan wa huyu dada lakini siwezi kupuuza uwezo wake wa jinsi anavyoweza kufanya vingi kwa mpigo kwa kutumia mtandao tu lakini ninachojua kuna muda huwa anaongeza chumvi. kuconnect dots na ku analyze taarifa, kupewa taarifa ni kitu kimoja ila kukipangilia kiwe data inayoleta maana ni...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu wa Katoliki: Hii ndio Tanzania mpya ya kazi na utu? Mnaofikiri kuua ndio kujibu maswali ya Watanzania, mnakosea

    Wakuu, Hapa Askofu alikuwa anaongea bila uoga tena na nadhani ujumbe wake utakuwa umefikia walengwa Hivi kama watawala hawataki hata kuwasikiliza viongozi wa dini wanataka wamsikilize nani? "Je hii ndio Tanzania mpya ya Kazi na Utu? Kanisa ikishindwa kuzungumza habari hizi imepoteza hadhi...
  3. JamiiForums Tanzania Utabiri: Taja jina la mbunge unayetamani awe Waziri Mkuu mpya wa Tanzania?

    Kwa utabiri wangu, Mwigulu, Innocent Bashungwa au Jafo mmoja wapo ataukwaa U-PM. Tupe utabiri wako
  4. JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda mizigo tunayobeba wanaume ni mizito ila tukifikiria Familia hatuna namna na bado watoto wanamuona mama yao ndie hero

  6. JamiiForums Tanzania Kilichomharibia Rais Samia ni namna alivyoanza baada ya kifo cha Magufuli. Anaweza kurekebisha, anayo nafasi

    Utawala wa awamu ya 5 wa Mh. Magufuli ulijaa futuhi, propaganda na ukatili wa kila aina. Alipambwa na vyombo vyote vya habari kwa hofu kuu. Mpaka wakaiita serikali yake ni serikali ya viwanda ilhali ndiyo serikali iliyoua channel ya ukuaji wa viwanda. Upotevu wa fedha usio wa kawaida ulioonekana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Namna: Kukubali Kutumikia Uovu Ni Kukubali Kuwa Mwovu.

    Ifahamike wazi, wote watakaokubali teuzi za kutumika katika utawala huu, katika ngazi mbalimbali, maana yake ni kwamba wanakubali kuwa ni sehemu ya waovukama wale waliowateua kwenye nafasi hizo. Maana yake ni kwamba wateule hawa wanaungana na waovu kulitendea taifa lao uovu. Na kwa maana...
  8. V

    JamiiForums Tanzania Kuna namna hailo sawa

    Watanzania ni kama tunapita kwenye tanuru la moto kutokana na makosa tuliyofanya wenyewe, Tuliaminishwa rsis Magufuli ni mbaya sana lkn kwenye macho ya wengi alikuwa mkombozi wa wengi sasa ogopa sana ktk maisha umpoteze mkombozibwa wengi kinachofuata huwa ni majuto kwa wengi wito wangu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Namna nilivyoona Polisi wakiua Oktoba 29 kuanzia usiku hadi Octoba 30 jioni

    Huu ni ushuhuda wa kweli na jinsi nilivyowaona Polisi wakiua raia hizo siku. October 29 kuanzia saa moja usiku. Polisi walikuwa wamejificha kwenye makutano ya barabara fulani juu ya ghorofa na hapo kila mpita njia aliyekuwa anapita kuanzia saa moja usiku alikuwa anakula shaba. Wengi hawakujua...
  10. JamiiForums Tanzania Je, watumia Zoom? Chukua tahadhari namna ya kujilinda na mambo kama ya kurekodi na kupeana picha na pia hatua za kiusalama security settings control .

    Taarifa za uhakika kabisa za kijasusi zilizopo ni kwamba jeshi la polisi chini ya kamanda Mafwele wapo kazini kuwatafuta, kuwabaini na kuwatambua wale wote walohusika na kuandaa mikutano ya kupanga maandamano ambayo kwa namna fulani yamefanikiwa kufikisha ujumbe. Ujumbe wa maandamano hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Waislamu nao kwa namna fulani Wana hoja

    Nyinyi Waislam Wanafiki Wa Tanzania Mlikuwa wapi wakati huu masheikh wanateseka kwa dhulma mliwahi kuitisha maandamano au kupiga kelele zozote za kuwaunga mkono hata huku Mtandaoni..? Kwasababu hawakupigania maslahi ya dunia yenu mkawaacha na wengine walikaa zaidi ya miaka 15 jela bila kosa...
  12. JamiiForums Tanzania Namna shule za sasa zinavyoiua elimu yetu. Zimekaa kitapeli sana

    Wakuu I salute you kinsmen.. Ukiachana na kwamba na mimi nasomesha pia ila pia nimekuwa nikifuatilia sana jambo hili linapoelekea naona sio pazuri kabisa nchi itaanguka. Well Hizi shule za sasa hasa hizi za mabasi ya njano tunazomesha watoto wetu ni za kitapeli sana nowdays.. 1: kwanini...
  13. JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kuanza?

    Wakuu habari, nataka nianze kufanya uzalishaji wa bidhaa fulani (), ni wazo nimekuwa nalo kwa takribani mwaka sasa, kwasababu nilikuwa natafuta taarifa sahihi. Nataka nianze kwa sasa, ila kuna mambo yananichanganya, mfano hio product kabla sijaanza kusambaza sehemu husika, si ni lazima nipate...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kwamba hajui namna ya kuwaambia kakosea njia? au kuna mtu anamzuia kuwaambia kuwa kapotea njia?

  15. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msimuue Polepole kwa namna yoyote maana damu yake italitesa Taifa na mtaongeza uasi (ushauri)

    Naziomba mamlaka na watu wamemshikilia Pole pole wasimdhuru yes wanaweza kumdhuru na hakuna wakusema neno ila damu yake italitesa Taifa itawatesa walio panga, walio shauri , walio toa tamko walio pokea mpaka watakao tekeleza hayo ndio maono Mungu ananionyesha. Mbaya zaid haitozima uwasi ila...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mobile Wallet ni nini na inafanya kazi namna gani?

    Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
  17. JamiiForums Tanzania Winston sigara wamewezaje kukamata soko la bongo ndani ya muda mfupi namna hii?

    Hii kampuni Haina hata miaka SITA sokoni lakini imefanikiwa kuwapoteza wakongwe kama kina sport na embassy na kina safari chap kwa haraka..sawa inawezekana bei ikawa rafiki kwa wengi lakini hata marafiki zangu maboss TU wame switch kutoka sport OG mpaka Winston.
  18. 4

    JamiiForums Tanzania GE2025 Unaenda vipi kwenye Uchaguzi nchi ikiwa katika alert kubwa namna hii?

    Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia. Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele. Leo wenda vijana wetu katika...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna namna hii sekta imenikataa kabisa

    Naona kabisa hii sekta ikielekea kunishinda maana kila napoingia ni afadhali nilipotoka🥲 Au mimi sijaandikiwa kuwa na mwenza wa maisha, maana hii siyo hali ya kawaida kabisa kwa kijana mdogo kama mimi. Naona kwasasa niachane na hii sekta nijikite kwenye masuala mengine ya msingi.
  20. JamiiForums Tanzania Watu wa Neno(Biblia) Hilo chukizo la uharibifu lilonenwa na nabii Danieli ni chukizo la namna gani?

    Danieli 9:27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu. Yesu pia alisema kuhusu hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…