namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naombe tafsiri ya hiyo ndoto. nitafanyaje?

    Hapo vip!! Kama kawaida binadamu huota ndoto mbali mbali lakini hii imetisha kidogo.. Leo nimeota nimesimama nje ya biashara yangu karibia na mlangoni..mara nikamuona nyoka anaingia ndani ya biashara yangu...kiukweli baadaya kushtuka usingizini nimekosa amani sana... Nina imani humu...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  3. JamiiForums Tanzania Namna COVID-19 ilivyobadili taratibu za ibada

  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu kwa mtiririko,umakini na hata namna vikao vyao huwa kwakweli napata tabu mno kuifananisha CCM na vitu vya ajabu!

    CCM bado ni chama imara ki-muundo na ki-mfumo pia. Ukiangalia mpangalio wa vikao wa CCM hakika unajawa na haja ya kuwafuatilia na kuziheshimu sera na itifaki zao. Pamoja na kulalamikiwa imekuwa ikitumia dola kubaki madarakani lakini bado chama hicho kinazo sifa na uwezo wa kuendelea kuongoza...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuacha kuvuta ugoro

    Ndugu zangu naomba msaada, nitumie njia gani kuacha kuvuta ugoro? Ni Mwaka wa 4 sasa tangu nianze kuvuta baada ya kushauriwa kuwa inatibu shinikizo la damu. Kwa sasa maji yamenifika shingoni kwani unanikausha mwili wangu balaa.
  6. JamiiForums Tanzania Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

    Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    IDEA ya Biashara ni moja ya mambo yanayo waumiza watu wengi sana, Na mara nyingi wazo la biashara linahitaji utafiti wa kina ili kuja na wazo lenye tija kwako na kwa jamii nzima. HIZI NI MOJA YA NJIA ZA KUPATA WAZO LA BIASHARA 1. TUMIA UJUZI ULIO NAO Ujuzi ulionao ndo sehemu ya kwanza kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…