naishi

Suō no Naishi (周防内侍, dates unknown, but probably died around 1110; given name Taira no Nakako) was a Japanese waka poet of the late-Heian period. One of her poems was included in the Ogura Hyakunin Isshu, and thirty-five in imperial collections. She also produced a private waka collection, the Suō no Naishi-shū.

View More On Wikipedia.org
  1. ELI COHEN

    USA na ISRAEL ni nchi bora katika "ACTIONABLE INTELLIGENCE" , ingawa naishi kadumbwi chini chini ila naona fahari kuishabikia US/ISRAEL.

    Wanajitahidi sana katika utulivu wa dunia angalau, Simaanishi wao ni perfect ila anagalau kwa miendendo yao usalama na haki zinafanyika duniani ebu jaribu kufikiria dunia ilio chini ya urusi, uchina, uturuki, qatar na iran🤢🤮
  2. ndege JOHN

    Naishi na njiwa

    Nilikuwa na hamasa sana ya kuanza ufugaji wa wanyama mbalimbali kama kuku, sungura, mbwa, paka, njiwa, na bata. Kwa hiyo, kama sehemu ya mwanzo wa safari hiyo, niliamua kununua njiwa sita. Niliwaleta nyumbani kwangu nikiwa na nia ya kuwafuga kwa ajili ya urembo tu, si kwa biashara wala kwa...
  3. W

    Niliwahi kumjua mtu poa sana ila nilipogundua ni jambazi hadi kupigwa kwake risasi, tangu siku hiyo naishi na watu kwa umakini sana

    Hapo zamani niliwahi kuishi na jirani, Tulikuwa tukiishi kwenye nyumba moja iliyogawanywa sehemu mbili. Alionekana mpole, muelewa, mpenda mazoezi na mtu wa kuaminika. Tulikuwa tukiongea mara kwa mara, na kila kitu kilionekana kiko sawa. Siku moja niliwahi kutembelea sehemu aliyodai kuwa ofisi...
  4. Sigara Kali

    Naishi na binti ambaye kwao hawajawahi kuniona ila wananisikia tu kupitia binti yao

    Buenas Domingo amigos! Baada ya kuingia kwenye migogoro isiyoisha na mke wangu na kuamua kutengana nae nikapata binti mdogo mdogo hivi wa 2005 Huyu binti alikua anaishi kwa bro wake na alikua anasoma chuo cha computer hapo ndo tulifahamiana Ni binti ambaye anajua kupenda na anajua kwelikweli...
  5. BabaMorgan

    Reaction ya Mzee wangu baada ya kusikia naishi na single mother.

    Nimekuwa inspired na Jesca Magufuli jinsi alivyoshare moments za baba yake enzi za uhai wake kwangu imenipa fundisho kuwa uwepo wa baba una maana kubwa kwenye ukuaji regardless financial status ana pesa ama hana ila guidance yake ni muhimu. Reaction ya marehemu mzee wangu alipopata taarifa kuwa...
  6. and 998 others

    Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis

    Wafuatao ni Viongozi na Watu Mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya Papa Francis tarehe 26/04/2025 huko Vatican. 1. William Ruto, Kenya 2. Dkt Philipo I. Mpango (PhD), Tanzania, 3. Mstaafu na Mgombea Nafasi ya Ukurugenzi WHO. 4 Keir - Waziri Mkuu UK, 5. Kagame - Rwanda, 6. Museveni - Uganda. 7...
  7. B

    Orodha ya silaha za asili ( Za kibaiolojia na kemikali) kujilinda dhidi ya vibaka wa nyumbani

    1. Mafuta ya kula : Kaa ndani na mafuta yako Lita tatu. Kila siku usiku saa tano yachemshe hadi yatokote kisha hifadhi kwenye chupa ya chai. Ukiwa na chupa zaidi ya moja itakuwa vizuri zaidi. Usiku wakivunja wewe wamwagie na hayo mafuta ya moto usoni. Wanaweza kufa hapo hapo wote na watakao...
  8. Head current

    Ushauri: Hela ninazompa atunze zinakuwa pungufu bila maelezo ya kujitosheleza, nini kimejificha?

    Heshima kwenu wana jamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Niliweka utaratibu kuwa kila siku nikirudi kazini nampa 10000 mwanamke wangu ambaye naishi nae na nilimkuta ana mtoto mdogo wa kiume mwenye kama miaka minne hivi na tunaishi wote watatu, hiyo hela haitumiwi hadi...
  9. Desierto

    Kuna ulazima gani wa mimi kujenga nyumbani ikiwa mm naishi mjini?

    Mbona baba yangu hakujenga kwao, naomba kujua faida zake zaidi ikiwa tu nikienda kusalimia sikosi pakulala
  10. Scared

    Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  11. Kiranja Mkuu

    Msinicheke jamani, nina miaka 45, kazi sina, mke sina, naishi nyumbani kwa wazazi ila sipendi

    Sina ajjra yoyote, nimepigika, hata mwanamke hawezi kunikubali kwani sina kitu. Umri unaenda najiuliza ni wapi nilipokosea. Nikipata kazi itadumu kwa miezi mitatu au minne, ikienda sana itadumu kwa miaka mitatu au minne. Ndoa nilioa ikadumu miaka mitatu Mali nikimiliki hazidumu. Nimefilisika...
  12. MTINGIJOLI

    Naishi na Mwanamke Nisiemfahamu, Nahitaji Namna Nzuri ya Kumuacha

    Habari ya Asubuhi Wanajamvi, Poleni na Majukumu ya Weekend na Mliofanikiwa Kwenda Sehemu za Ibada, Mungu Awabariki. Nirudi kwenye Mada Kuu Mnamo J Nne Nilikutana na binti ambae Tulikua tunachat kwa Mrefu tu kwenye Dating Apps, Basi Kama Ujuavyo tumekutana Outing za Hapa na Pale, Stories Mbili...
  13. G

    Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Kwanza kabisa ieleweke mkoa wa Mbeya kuna makabila mengine kama wasafwa, wandali, wamalila, n.k. Ila wageni wengi huwa tumekariri wanyakyusa sababu ndio main tribe kwa kigezo cha umaarufu, mifano mingine Ruvuma main tribe ni wangoni ila kuna wamatengo, Mara main tribe ni Wakurya ila kuna wajita...
  14. C

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?
  15. Jackcharty

    Natafuta marafiki

    Hello dears natafuta marafiki jinsia yoyote kwa ajili ya kubadilishana mawazo,, things about me I'm introvert and extrovert too thank you 😊
  16. B

    Nimegundua kumbe Mimi tayari naishi Akhera / Mbinguni

    Habarini wana JF nadhani wengi mtakuwa mmerudi toka France, Dubai, Usa, Uk, Canada, Sweden, Norway n.k kwenye Mapumziko. Nashukuru mimi ndo nimerudi majuzi nlikuwa hizo nchi pia. Nikapigiwa simu kuwa kuna mfanyakazi mwenzetu kafiwa na jirani yake wanataka wasafirishe maiti kwenda Bukoba kwa...
  17. Cecil J

    Paul Clement: Bado Naishi. Sikiliza ubarikiwe

    ....
  18. Oscar Lyrics

    Lilikuwa tukio la ajabu.

    Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita, Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya, Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno, alipotufikia alishika breki...
  19. B

    Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

    Niliachana na aliyekuwa mume wangu miaka 5 imepita, kuachana kwetu kulikuwa kubaya sana kwa mambo mabaya yaliyopita katikati yetu. Sipendi kuyaeleza maana ni mabaya ila nilishayasahau na kuyaacha yapite. Baada ya kuachana (aliondoka bila kuniaga na kodi ikiwa tunadaiwa miezi 5 bila kulipa)...
  20. Y

    Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

    Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam? Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
Back
Top Bottom