naibu waziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Echolima1

    Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr aliyeshika nafasi ya larjan aangamizwa

    .Jenerali wa IRGC Mohammad Zolghadr, aliyechukua nafasi ya Larijani, kuna uwezekano mkubwa aliangamizwa jana usiku baada ya maficho yake kusambaratishwa!!
  2. H

    Professor Kabudi akutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba Kabudi, amefanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. Robert Oliphant. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini London, Uingereza, pembezoni mwa Mkutano wa 26 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Madola...
  3. Q

    Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
  4. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya: Inakuwaje kupata Hati ya Kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu?

    "Kupata hati ya kiwanja iwe kama kutafuta Tanzanite au Dhahabu nchi hi? Yaani mtu ambaye amekuja kuomba hati amefuata taratibu na kutimiza vigezo vyote vinavyotakiwa inakuwaje inamchukua miaka miwili kupata hati yake?" - Naibu Waziri wa Ardhi, Kaspar Mmuya...
  5. blogger

    Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  6. BIG BROTHER ALEX

    MAMA NAIBU WAZIRI MKUU NAOMBA APEWE HUYU

    mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
  7. DuaZaMama

    TANZIA Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Benedict Ole Nangoro amefariki dunia

    Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika Serikali ya Awamu ya Nne, na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Benedict Ole Nangoro, amefariki dunia leo Desemba 7, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha. Msemaji wa...
  8. tonicimmobility

    PostGE2025 Naibu Waziri Wanu aagiza kozi fupi zilizositishwa VETA zirejeshwe

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amevitaka vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) nchini kurejesha kozi za muda mfupi za kilimo na ufugaji zilizokuwa zimesitishwa, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi unaoendana na mahitaji ya maeneo yao na kujiajiri baada ya kuhitimu. Wanu...
  9. Damaso

    Uchambuzi: Kwanini Wanu Hafidh Ameir Hakupaswa kuwa Naibu Waziri wa Elimu

    Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira. Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
  10. R

    Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  11. R

    PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  12. The Father of All

    Tuliwaonya kuwa kikatiba, hakuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu mkatudharau

    Kwa waliosoma katiba ya nchi vizuri, hatuna cheo cha naibu waziri mkuu. Hicho cheo feki kwa mara ya kwanza, kilitumiwa na Ali Hassan Mwinyi kumpoza Augustine Mrema na mara ya pili ni Samia kumzuga Dotto Biteko ili watu wa Magufuli wamtafutie kura halafu awabwage kama alivyofanya. Ukiangalia...
  13. R

    PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021. She graduated in law in 2018 from the online Open...
  14. Emilio Mzena

    Mtaje Waziri au Naibu Waziri ambaye ni Mzanzibar kwenye uzi huu

    Tuwajue wapo wangapi, haya tuanze kuwataja. Mimi naanza na; 1. Makame Mbarawa
  15. R

    PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
  16. Bawabu wa pili

    PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  17. PAYE

    Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  18. Now and then

    Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  19. M

    Naibu Waziri, Viongozi wa Halmashauri waanguka Kura za Maoni Maswa

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, ambaye pia ni Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Maswa Mashariki, ameanguka katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushindwa na Dkt. George Lugomela, Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji...
  20. Determinantor

    GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
Back
Top Bottom