naibu waziri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania MAMA NAIBU WAZIRI MKUU NAOMBA APEWE HUYU

    mtu pekee anae aminiwa na vijana KWA Sasa ni MIKA CHAVALA basi kama haiwezekani maana si mwanachama wa chama Fulani basi APEWE hata unaibu wa wizara ya vijana.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Benedict Ole Nangoro amefariki dunia

    Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika Serikali ya Awamu ya Nne, na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Benedict Ole Nangoro, amefariki dunia leo Desemba 7, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, Arusha. Msemaji wa...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naibu Waziri Wanu aagiza kozi fupi zilizositishwa VETA zirejeshwe

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amevitaka vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) nchini kurejesha kozi za muda mfupi za kilimo na ufugaji zilizokuwa zimesitishwa, ili kuwawezesha Vijana kupata ujuzi unaoendana na mahitaji ya maeneo yao na kujiajiri baada ya kuhitimu. Wanu...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kwanini Wanu Hafidh Ameir Hakupaswa kuwa Naibu Waziri wa Elimu

    Katika taifa ambalo linahitaji kufanya maamuzi magumu na sahihi kuhusu mustakabali wake, hakuna eneo nyeti kama elimu. Elimu ni injini, ni mapafu, ni moyo unaosukuma damu ya maendeleo. Taifa lisilo na mfumo madhubuti wa elimu ni sawa na kutembea gizani bila dira. Ndiyo maana uteuzi wa viongozi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hajui Idadi ya Wabunge wa Serikali yake

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2025 akiwa katika hafla ya uapisho wa baraza la Mawaziri Ikulu Chamwino Dodoma ameshindwa kujua idadi ya wabunge ambao wapo katika Serikali yake
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Deus Kibamba: Tusimlaghai Rais. Huwezi kujichunguza mwenyewe. Hapa tulipofika tusijichunguze, tuchunguzwe

    Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata mchunguzi huru kutoka nje ya nchi huku akirejelea hotuba ya Rais Samia siku chache zilizopita akieleza...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuliwaonya kuwa kikatiba, hakuna cheo cha Naibu Waziri Mkuu mkatudharau

    Kwa waliosoma katiba ya nchi vizuri, hatuna cheo cha naibu waziri mkuu. Hicho cheo feki kwa mara ya kwanza, kilitumiwa na Ali Hassan Mwinyi kumpoza Augustine Mrema na mara ya pili ni Samia kumzuga Dotto Biteko ili watu wa Magufuli wamtafutie kura halafu awabwage kama alivyofanya. Ukiangalia...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wasifu (CV) wa Naibu Waziri wa Elimu, Wanu Hafidh Ameir sijauelewa kabisa

    Wanu Hafidh Ameir (born 9 February 1982) is a Tanzanian CCM politician and a member of the Zanzibar House of Representatives in the National Assembly of Tanzania since 2005. Her mother Samia Suluhu Hassan became President of Tanzania in 2021. She graduated in law in 2018 from the online Open...
  9. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mtaje Waziri au Naibu Waziri ambaye ni Mzanzibar kwenye uzi huu

    Tuwajue wapo wangapi, haya tuanze kuwataja. Mimi naanza na; 1. Makame Mbarawa
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jumaa Aweso asalia kuwa waziri wa idara ya Maji, Naibu waziri Kundo Andrew Mathew

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 17, 2025 ametaja Majina ya Baraza la Mawaziri ambapo katika Idara ya maji JWaziri ni Jumaa aAweso na Naibu waziri ni Kundo Andrew Mathew
  11. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini sababu ya Makonda kuwekwa Naibu wa pili katika Wizara ya utamaduni?

    Kwani ni sawa wizara moja kuwa na Naibu Nawaziri wawili? Huyu mama mbona anaanzisha ambavyo havikuwepo kabisa? Na yote hii ni namna ya kutafuta kupiga pesa tu. Inawezekanaje Wizara moja kuwa na naibu mawaziri wawili?
  12. PAYE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Madini, Kiruswa: Hatutaondoka mpaka tuhakikishe watu wote 25 waliokwama chini wametoka salama

    Naibu Waziri wa Madini Stephen Kiruswa amesema watu 21 bado hawajaokolewa kwenye mashimo ya uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa Nyandolwa kijiji cha Mwongozo ambayo yametitia, huku mmoja kati ya wanne waliookolewa, Emanuel Kija (27) akifariki dunia. Naibu Kiruswa ameyasema hayo jana...
  13. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Viongozi wa Halmashauri waanguka Kura za Maoni Maswa

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, ambaye pia ni Mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Maswa Mashariki, ameanguka katika kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kushindwa na Dkt. George Lugomela, Mkurugenzi wa Rasilimali za Maji...
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

    Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu. Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama...
  16. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maryprisca Mahundi apiga goti mbele ya wajumbe wa mkutano UWT akiwashukuru wajumbe na kuomba kura

    Naibu waziri wa mawasiliano na teknolojia ya habari Mhandisi Maryprisca Mahundi amepiga goti mbele ya wajumbe wa mkuato mkuu wa umoja wa wanawake Tanzania UWT mkoa wa Mbeya akiwashukuru kwa kumuamini na kumchagua kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, huku akiomba ridhaa kwa wajumbe hao kumuamini na...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati ieleze nchi kwanini tuko gizani? Huku Arusha tulilala gizani

    Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi. Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
  18. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naibu Waziri wa zamani, Godfrey Zambi achukua fomu kuwania ubunge Mbozi

    Mkuu wa zamani wa mkoa wa Lindi na mbunge mstaafu wa jimbo la Mbozi, Godfrey Zambi amechukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi kwa ajili ya kuwania kiti cha ubunge cha jimbo la Mbozi. Mbali ya kuwa mkuu wa mkoa pia Zambi aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Ntobi ateuliwa Naibu Waziri kivuli wa habari ACT Wazalendo

    Kada wa ACT Wazalendo, Emmanuel Ntobi ameteuliwa kuwa Naibu Msemaji wa Sekta ya Habari, Mawasiliano na TEHAMA kwenye Baraza Kivuli la ACT Wazalendo. Uteuzi huo umefanywa leo Juni 17, 2025 na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu. TAARIFA KWA UMMA Kiongozi wa Chama, Ndugu Dorothy Manka Semu leo Juni...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
Back
Top Bottom