Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
Kwenye ile clip ya Muliro na Mafwele, Mafwele ametamba na kutoa idadi ya wanajeshi wa JWTZ waliowateka ambao bado wanawashikilia, akawataja idadi ya madaktari waliowateka na kuwashikilia, akataja idadi ya walimu waliowateka na kuwashikilia, amewataja wahasibu waliowateka na kuwashikilia...
Wazima huku ndani maisha ya mtaani ni kupambana sana ndio, kwa hapa nilipofikia naomba hata itokee nafasi ya kupata intern iwe taesa ama wapi
Kwa taifa nishafanya kila kitu chao kuanzia training mpaka interview.
Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia huko taesa tufahamiane
I salute you kinsmen
Tayari miloud kashatimuliwa
Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu
Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana
Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
Unaambiwa adui muombee njaa na Enemy of my Enemy is my Friend.
Man U leo akimpiga Liver, gepu la namba 1 na yeye tatu litazidi kua kubwa. Hapo hatupati tena.
man City sio tishio kabisa.
I salute you kinsmen
Kwa kweli mwanzo mimi nilikuwa moja ya watu niliomtetea folz sana nyie mashahidi
Aleyn Tate Mkuu ngara23 vibertz na wengine wote nyie mashahidi
Ila huyu jamaa kwa kweli alizidi hateteki!
Folz ameuharibu sana mpira wa yanga
Yaani yanga ya kutegemea cross tu kweli...
Kuna yeyote kafanikiwa maana siku ya pili hii naona bila bila. Ujumbe wananiambia ni check specific academic qualifications sasa kila nikicheki naona. Ziko sawa. Kuna yeyote kufanikiwa? Msada tutani
Nimekaa tu na kutafakari kuhusu ujumbe huu hapo chini. Waliomo serikalini wamekubaliana na hali hiyo? Wanapata nini hasa kinachowafumba kiasi hicho wasihoji wala kuchukua hatua?
Watadhalilishwa hadi lini? Wameshakufa au kufwa wa kutosha. Wanaona na kujua. Wana mkakati ambao hatuujui au tuwaite...
Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
Nasikitika sana kuona watu wanamtaja afande mafwele kushiriki ktk kila utekaji na wakati huohuo wakishindwa kuchukua hatua dhidi yake.
Hivi kweli ndugu wa waathirika wameshindwa kuungana na kushughulika na Mafwele wala ndugu zake ili kulipiza?
Kwa hali hii kweli mtaweza kuandamana hiyo tarehe...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu, amewataka viongozi wanawake chipukizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kuchukua hatua madhubuti na kuleta mabadiliko halisi katika safari zao za uongozi
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati...
Wakati wa Chuma, tukilalamikia vitendo vya utekaji na the so called “Task Force” kupoteza watu (Kina Ben Saanane etc), kesi za ajabu ajabu (kina Kabendera, Maxence, Eyakuze etc) Wambura alikuwa ZCO na sasa ni IGP.
Wakati huo, ndo ukaibuka msemo wa “Wasiojulikaka”.
Kama mtakumbuka, hadi kesi za...
Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema.
Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole.
Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli...
Ninahitaji watu 5 pekee (wadada na wakaka) wenye uelewa na passion ya marketing (hasa digital marketing) ili kuendeleza sekta ya utalii na kuhakikisha wageni wanapatikana kila mwezi.
🔑 Muundo wa Kazi
Kazi yako kuu ni marketing & client acquisition — kuhakikisha wageni wa kimataifa na wa ndani...
I salute you kinsmen.
Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu,
Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani.
Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka.
Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
Nina marafik zangu ambao ni watumishi wa Umma kama wanne walichukua fomu CCM kugombea Ubunge 2025 katika majimbo na viti maalumu, ila kura hazikotosha na wengine Kamati Kuu haikuwateua
Sasa serikali imewaweka benchi mpaka Leo hawajapewa kibali cha kurudi kwenye utumishi, zaidi ya mishahara...
Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi.
Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1757859650-PAPU_Vacancies_1032107643381814476641029946369102376331757853088906.pdf
Angalia kiunga hapo juu kuhusu hizi nafazi za Pan African Postal Union (PAPU) zinaonekana kabisa ni mpunga mrefu maana ni P3 na P4, maombi inabidi yapitie TCRA, hata...
Hawa tunapaswa kuwatandika si chini ya bao 3. Ni team ambayo ipo nafasi ya chini kwenye ligi yao. Ni kipimo kizuri cha kutupatia ushindi na kutuchangamsha.