nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi za Masomo - Ualimu (mkoani Rukwa)

    NAFASI ZA MASOMO KWA MWAKA 2024/2024 KATIKA CHUO CHA UALIMU RUKWA NA CHUO CHA USIMAMIZI WA BIASHARA RUKWA. Mnakaribishwa kujiunga na vyuo vyetu vilivyopo mkoa wa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga Mjini. Kwa maelekezo zaidi unaweza piga: 0754426882
  2. JamiiForums Tanzania Mtacheza tena na Coast kugombea ile ile nafasi yenu ya tatu

    Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP nane kamili mchana wa jua kali la Utosi 😂 Utofauti Ulianzia Hapa… Mfadhili Wenu: Naomba...
  3. JamiiForums Tanzania Ulanzi umeingia kwenye mfumo, gongo nayo ipate nafasi ya kurasimishwa

    Ulanzi na pombe maarufu ya ndizi kama "banana wine" nazo ni wine? Ninavyofahamu wine inatengenezwa kwa zabibu tu. Hongera kwa huyu mzee kupaki ULANZI katika hali ya kisasa. Watengeneza gongo nao wapate fursa kama hii.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mambo mengine utayaelewa siku ukiwa muhusika, kwa sasa utaona kama vile hawajui kutumia vizuri nafasi zao

    Inawezekana kuna watu unawaona wa ajabu sana, unaona kama ungepewa uhusika wao basi ungefanikiwa ndani ya dakika moja 😊 Inawezekana ikawa kweli wapo kwenye nafasi wasizojua kuzitumia vyema au ikawa sio kama uonavyo ukiwa sio muhusika. Kuna watu wakikusimulia utaona kama vile wanakutisha hivi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani apeperushe bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya Urais 2025?

    Nani apeperushe bendera ya Chadema Kwa nafasi ya Urais mwakani 2025
  6. JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi: Fitter Mechanics and Welder/Fabricator

    Mwenye uhitaji akuje PM, msharaha 700,000 per month. Ratiba ya kazi ni siku 14 on and 7 days off, after 2 months of probation period. Tayari tumewapata, Mudi naomba mfunge huu uzi tafadhali.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya kuajiriwa au kujitolea. Nina Stashahada ya Uhasibu

    Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye elimu ya Stashahada ya Uhasibu. Ninatafuta nafasi ya kazi ya kujitolea au kuajiriwa ofisi yoyote ndani ya Tanzania. Namba yangu: 0759285908
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ni kweli walikaacha kachanga hako hai na kwenda Nako hukoo juu? Kaliishi miaka laki 6, baadaye kaliasi na kutupwa chini na ndiyo anasumbua Dunia?!

    Wadau hamjamboni nyote? Huwa sipendi kuhoji Imani za watu wengine kwani Kila mtu ana Imani yake nahivyo huwa namheshimu Hata hivyo Leo nimeona nihoji japo kwa uzuri tuu. Kwamba waliagizwa na bosi wao kuua wazazi, Ndugu na jamas zake wote japo wengineo walifanikiwa kutorokea baharini...
  10. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi ya IT Technician na Marketing Staff

  11. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Hii Taarifa ina ukweli gani? Hiyo hata ningekuwa mimi, Mtu kaita Waganga wote kutoka Rufiji waje wamzindike halafu uendelee kushangaa, labda kama hujitaki === Ally Shaban Kamwe baada ya kuhudumu kwa misimu miwili kama Meneja wa idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC ,leo ameandika barua...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi Accountant na Admin Officer Wanahitajika

    Habari Anahitajika Accountant na Administration Officer, wenye uzoefu usiopungua Miaka 2. Mkoa: Dodoma Tuma CV yako: hrfbde@gmail.com
  13. JamiiForums Tanzania Hoja: Tuna Imani na Ali Kamwe kuliko Haji Manara kwa Nafasi ya Msemaji wa Klabu ya Yanga SC

    Katika nyakati za hivi karibuni, Yanga SC imekuwa ikipitia mabadiliko makubwa katika nafasi ya msemaji wa klabu. Baada ya kufungiwa kwa Haji Manara na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), nafasi yake ilichukuliwa na Ali Kamwe. Tunaamini kwamba Ali Kamwe ni chaguo bora zaidi...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa graduates wa Computer Engineering, Telecommunications Eng, Computer Science

    Kampuni mojawapo jijini Mwanza inahitaji watu wenye qualifications tajwa hapo juu. Kama unafit karibu inbox.
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya Kujitolea

    Na tafuta sehemu ya kujitolea kwenye NGO yoyote. Nipo Dar es Salaam nimesoma Project Planning and Community Development. CVkwa ufupi Age 25 Place dar es salaam Experience. Biko sales Nom 0672885858 Email tylorchriss43@gmail.com
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi ya mke, nimechoka kukaa mwenyewe jamani mwenye kunipenda aje tujenge familia

    Kama kichwa cha habari hapo juu cha jieleza natafuta mwanamke wa kumuoa tujenge familia; Awe na umri kuanzia 22-28 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na kazi halali ya kufanya Asiwe mweusi sana, akiwa mweupe fresh Asiwe mfupi sana kama ni mrefu hapo sawa. Sifa zangu Sina mke wala mtoto Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ajira portal ni kizungumkuti

    Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge Tunakosa tena...
  18. JamiiForums Tanzania Usimpe nafasi ya pili mwanamke aliyekusaliti: Soma yaliyonikuta, unaweza jifunza kitu

    Habari ya mchana wana jf Mimi ni miongoni mwa member wachache ambao hatupendi kutoa mikasa yetu humu jf lakini kwa hili lililonipata nimeona tushare tunaweza jifunza vitu flani. Mimi nina miaka 27, nilikua na mpnzi wangu ambaye tulianza uhusiano 2022 yeye sasa ana miaka 21, na pia yeye...
  19. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania Sehemu ya kwanza: Nafasi ya wanalindi kwenye mradi wa gesi

    PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI. Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao. Hata hivyo Wanalindi wengi hawajui mradi huu unahusu nini haswa na utaanza lini au kwanini haujaanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…