nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tu !.Sio kwa ubaya ina maana wastaafu Polisi baada ya kufainikisha 2025 CCM inapita kwa haya mtakuwa na malipo makubwa au nafasi kubwa

    Sina ubaya na polisi wetu ila kuna wengine naona washapewa maziwa na asali. Haya ambayo hata mwano wa milambo tabora waliofukuzwa anaweza kukubari mzazi wake au ni pesa. Yani pesa mnazo zitaka,damu za watu pamoja kulinda wao ina maana juice ya pasheni inatakiwa kuwa na limao sana. Kwa dunia...
  2. JamiiForums Tanzania Kutumia nguvu kubaki kwenye nafasi ambayo hukuitafuta ni kumkosea Mungu

    Mungu hutupa neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Neema ni kitu unapewa tu bila kukisumbukia au kukitarajia. Akupaye neema hatarajii uifanye kuwa haki na siku akitaka kuchukua hatarajii ugome bali umshukuru kwa angalau alichokupa. Pia anaweza kuamua kuongeza neema juu ya neema kwa kadiri atakavyo...
  3. JamiiForums Tanzania Chadema hawa Virusi G55 Wakishaondoka wote Tangazeni Nafasi Zilizo wazi Vijana tuje tuzizibe haraka Sana hatuna kazi huku kitaa na Degree Zetu.

    GT Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana. Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi. Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Harufu Ina nafasi Sana kwenye mahusiano,ni vile huwa tunachukulia poa!

    Umewahi kujiuliza kwanini dume la ng'ombe Huwa linanusa!!?kwanini Kuna baadhi Huwa wananusa hata nguo za ndani hata kama ni chafu tu!!?hivi unajua Kuna baadhi yetu tuliwahi nusa harufu TU ikadinda kabla hujaona hata paja!?na Kuna baadhi yetu ililalala na hatukutaka kuendelea Tena kisa harufu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)

    Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats) Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ifanyikie uwanja wa Uhuru Ili kutoa Nafasi kwa umma kushuhudia

    Salaam! Kwa kuwa Mahakama imeona ni vyema mtuhumiwa wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu lissu isikilizwe mahali pa wazi na umma wa watanzania umeruhusiwa kuhudhuria, Na kwa kuwa uhaini ni jambo baya, ungetumika uwanja ule wa uhuru Ili wananchi wahudhurie na kujua uhaini ni nini Ili waogope...
  8. JamiiForums Tanzania Usijiue, yape maisha nafasi

    Changamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako. Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi kwamba unatamani kujiua. Yape maisha nafasi .. Labda pengine kuna Mwanga mbeleni. Pia ukosefu wa kipato...
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  10. Y

    JamiiForums Tanzania DC Chauchau apewe nafasi ya kuongoza Mkoa wa Dar es Salaam

    Naam Habari zenu waungwana. Namzungumzia ambaye sasa ni mkuu wa wilaya ya kigoma mjini ndugu Dkt Rashid Chuachua, ambaye pia amewahi kufanya kazi chini ya ndugu Albert Chalamila. Chalamila alipokuwa mkuu wa mkoa wa mbeya Chuachua alikuwa ni mkuu wa wilaya ya mbeya mjini, kama nimekosea...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

  12. T

    JamiiForums Tanzania JWTZ YATANGAZA NAFASI YA KUJIANDIKISHA JESHINI 2025.

  13. JamiiForums Tanzania Kumbe Pakistan ana nafasi kubwa kuichakaza India vita vikizuka. Modi hana nyenzo kuizuilia maji

    Kwa ujumla wake tukio la kuuliwa watalii wa ndani huko Pahalgam jimbo la Kashmir ni kitendo kilichopangwa kitokee muda mrefu tangu Narenfa Modi na chama chake cha BJP alipoingia madarakani.Lengo limekuwa ni kubadili ulinganifu wa watu wa maeneo hayo kuwapa nafasi zaidi wahindu dhidi ya waislamu...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ya ulinzi dar es salaam

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, kampuni ya secure net limited , yenye makao makuu yake jijini dar es salaam. inatangaza nafasi ya kazi ya ulinzi. sifa za mlinzi anaehitajika. Awe mtanzania Awe anajua kusoma na kuandika vizuri,elimu kuanzia Darasa la saba hadi Chuo, pia waliopita Veta...
  15. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI-Mossa na Shin-Bet wanahitaji watu huko Gaza!!!!

    Shirika la usalama wa ndani la Israel Shin Bet linafanya kazi ya kuajiri Wapalestina huko Gaza. Wananchi wa Gaza wanaripoti kupokea vipeperushi na noti za shekeli 20 zikiwa na SIM kadi na nambari ya simu ambapo unaweza ku lata "Kapteni Abu Haitham," mhudumu wa Shin Bet kaskazini mwa Gaza...
  16. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi nafasi ni nyingi mshahara mnono sana

    Kutoka kwa Rajiv J. Shah Rais wa The Rockefeller Foundation Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika? Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili. Ili...
  17. JamiiForums Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti

    TRA Tanzania Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti. Mitihani ya usaili wa kuandika (Written Interview) kwa nafasi ya Engineer II ilikuwa tofauti kwa kila kada, lakini matokeo yake yamechanganywa. Kwa mtazamo wangu, hali hii inaweza kusababisha...
  18. JamiiForums Tanzania NAFASI ZA KAZI DUBAI

    DUBAI GREEN HOUSE WORKERS/ PACKERS: 50 📌UJUE ENGLISH 📌UMRI: 25 - 50 📌UWE NA PASSPORT AFYA NJEMA 📌USIWE NA HATIA YEYOTE POLICE MWAJIRI ANAGHARAMIA: ✅MALAZI ✅CHAKULA ✅BIMA YA AFYA ✅ KIBALI CHA KUFANYAKAZI ✅ KIBALI CHA KUISHI HUKO ✅ MAHITAJI YOTE MUHIMU MUHIMU 📌 MSHAHARA: AED 1800 (...
  19. JamiiForums Tanzania Ijue Practical Meaning na Nafasi ya Resilience Katika 4Rs za Rais Samia

    Kama Watanzania tujuavyo, Resilience ni moja ya 4Rs za Mama Abdul. Alipokuja na hili neno, nilijiuliza maswali mengi, katika kutafakari na kujaribu kufumbua fumbo. Mwisho wa siku, niliamua kucheza mchezo wa wait and see—time will tell. Neno Resilience linatokana na neno la Kilatini (Latin)...
  20. JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Airtel Money Business Support Officer

    Je, wewe ni mtaalamu wa ukuaji wa biashara, usimamizi wa akaunti muhimu, au huduma za fintech? Jiunge na mteja wetu, kampuni ya simu maarufu, kama Airtel Money Business Support Officer na usaidie kuendeleza matumizi ya pesa za mkononi, ushirikiano wa biashara, na mifumo ya malipo ya dijiti! 🔹...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…