Klabu ya Simba SC imeshika nafasi ya tano kwenye orodha ya vilabu bora Barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vilivyotolewa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF).
Simba SC wamekusanya jumla ya alama 48, wakizidi vilabu vikubwa kama Pyramids FC, Wydad Athletic Club na Zamalek SC ambavyo...