"Habari, Kuna changamoto kwenye mfumo wa wa Nactvet kwa watu wanaaomba AVN.
Waombaji wanakutana na errors nyingi.
Namba zote za simu zilizowekwa kwaajili ya mawasiliano na ofisi ya NACTVET hazipokelewi ukipigiga, na nyingi kati ya hizo hazipatikani, nyingine hazipo kabisa.
Madirisha ya maombi...