na vyombo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Marijani: Waliozuiwa CHADEMA hawatakiwi kuzungumza na Vyombo vya Habari kuhusu masuala ya vyama

    Wakili Shabaan Marijani amesema watu wote waliyotajwa katika zuio la Mahakama la kutokushiriki shughuli zozote za kisiasa katika Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hawaruhusiwi hata kuzungumza na vyombo vya habari. Aidha, amesema wakitaka kuzungumza na vyombo hivyo wasizungumze...
  2. JamiiForums Tanzania Gwajima amekosa hoja,sasa ameamua kutumia wafuasi wake kama ngao ili awapambanishe na vyombo vya dola, polisi simameni imara

    Friends and Our Enemies, Gwajima baada ya kushindwa na kukosa mashiko ya kisheria kufuatia kufutwa kwa kanisa lake kwa kile kinachodaiwa ni kukiuka taratibu na masharti ya uendeshaji wake sasa amemua rasmi kuzua vurugu na tafrani. Zipo taarifa za uhakika kuwa amepanga kila juma pili kukusanya...
  3. JamiiForums Tanzania Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  4. JamiiForums Tanzania Private school uchwara na vyombo vya usafiri au ni kukosa pesa

    Hizi shule zikisha weka magari mawili tu nao wanajiona shule ni private school wakati ni kayumba pro max. Watoto mnawarundika kwenye basi utazani ZIP file kwenye computer. Yani ukisema watoke kwenye gari moja ni sawa na madarasa manne ya wanafunzi.
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi binadamu hatuna plate number kama yalivyo magari na vyombo vingine vya moto?

    Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chadema nawasaidia - lazima muwe na macho ndani ya serikali na vyombo vyake.

    Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana. Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  8. JamiiForums Tanzania Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  9. JamiiForums Tanzania Dodoma: DCEA kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi

    DODOMA: Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama, imeteketeza ekari 336 za mashamba ya bangi yaliyokuwa ndani ya hifadhi ya Ikome wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma yakiwa yamechanganywa na mazao mengine halali ili kuficha shughuli...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Elia Mpanzu acha kucheza na majukwaa utapotea kama moshi hewani,,vinginevyo ubora wako nauona wa kawaida bali ulibebwa na vyombo vya habari!

    Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work! Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Ubadhilifu wa Fedha katika Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania: Mchungaji Mwasomola Aongea na Vyombo vya Habari

    Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania. Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Utekaji na uuaji unaofanyika Tanzania ni sawa na kilichofanywa na vyombo vya dola Uganda dhidi ya wananchi wakati wa Idd Amin Dada

    Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda. Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba anazungumza na vyombo vya habari

    04 October 2024 Oysterbay, Dar es Salaam Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=Y5z3HSDrAP4 Jaji Joseph Sinde Warioba anazungumzia uchaguzi unaokuja wa November 2024 TAMISEMI na ule uchaguzi mkuu 2025 Jaji Warioba uchaguzi wa 2019 na 2020 ulikuwa wa kipekee kwa kuwa ulipangwa uwe na dosari...
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Waandishi wa Habari kwa Kukataa Kuyumbishwa na Kusimamia Misingi ya Kazi Yenu Dhidi ya Wenye Nia za Kisiasa

    Infact, Mnafanya kazi nzuri sana na inaonekana dunia nzima. Kamwe msikubali kuyumbishwa wala kuzingatia matakwa ya wenye nia binafsi, bali zingatieni misingi ya taaluma yenu. Fanyeni majukumu na kazi zenu kwa uhuru, haki na usawa bila mbambamba za mzee au kijana yeyote. Mmefanya vizuri sana...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi hawana imani na vyombo vya usalama

    Katika jaribio la "wasiojulikana" kutaka kumchukua raia huko Kariakoo, wananchi wamegomea watu hao kufanya hayo. Raia wamesikika kuwa "sasa hivi watu wanatekwa, wanauawa" Kauli hizi za wananchi ziwatafakirishe polisi na Usalama wa Taifa kuwa wananchi hawataki uhuni. Na wakijifanya kufanya kazi...
  16. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kanisa katoliki adakwa na vyombo vya usalama

    ⚠️😳 Kiongozi wa kanisa Katoliki adakwa na vyombo vya usalama Marekani na kuvuliwa wadhifa huo kwa kuishi maisha ya kifahari kwa kufanya utapeli wa zaidi ya shilingi bilioni 1.7 ($650k) ambazo ni michango ya wahisani na waumini kwa ajili ya kusaidia wagonjwa/wahanga wa vita nchini Lebanon...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa magaidi ya Hezbollah Hassan Nasrallah kuzungumza na vyombo vya habari Duniani kote leo saa 12 jioni

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Hezbollah ataongea na waandishi habari Leo jioni saa 12 Itakuwa hutuba ya kihistoria itakayotikisa Dunia yote Tutakujuza Live UpdateFrom the Liveblog of Sunday, August 25, 2024 Nasrallah expected to give speech at 6 p.m. Today, 10:25 am 3...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Kwa mara ya kwanza nimeona kenya

    Kwanini rais wetu mpendwa hafanyiwi interview na vyombo vya habari vya ndani?? Shida ni nini hasa?? Nishamuona akihojiwa na BBC!! Nao wanadai wamemuomba na kusubiri muda mrefu mpaka kukubaliwa!! Je hii ndio kusema Vyombo vya habari havina uwezo au Mkuu wa nchi haoni haja ya kuhojiwa na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano kuhamasisha kuleta maendeleo nchini kwa miaka 5 hadi 25 ijayo

    **Makala: Matumizi Sahihi ya Mitandao ya Utangulizi Katika dunia ya leo, mitandao ya kijamii na vyombo vya mawasiliano vinachukua nafasi muhimu sana katika kuendesha mabadiliko ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Tanzania, kama sehemu ya jamii ya kimataifa, ina nafasi kubwa ya kutumia vyema...
  20. JamiiForums Tanzania Propaganda za Oakland zinadaiwa kuwayumbisha The Guardian na vyombo vya habari

    Propaganda za Oakland zimewayumbisha The Guardian na vyombo vya habari. Mradi wa Regrow unaendelea na fedha zinatoka kama kawaida. Kumekuwa na taarifa hasi kuwa benki ya Dunia imesimamishwa kuendeleza mradi wa REGROW taarifa hizi si za kweli ni upotoshaji wa taasisi ya Oakland institute. Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…