mzunguko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC03 Kuvunja Mzunguko wa Ufisadi: Jinsi Teknolojia itakavyosaidia Kuboresha Utawala Nchini Tanzania

    Utangulizi: Ufisadi umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, na umekuwa ukisababisha athari kubwa kwa maendeleo na ustawi wa taifa. Ili kukabiliana na changamoto hii, kuna haja ya kutafuta njia mpya na za ubunifu za kuzuia na kupunguza ufisadi. Moja ya njia muhimu inayoweza kutumika ni matumizi ya...
  2. Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  3. SI KWELI Kinachosababisha mlevi kuyumba ni kasi ya mzunguko wa damu kuongezeka

    Kuna mahala nimesikia kuwa mlevi huyumba yumba kwa kuwa kasi ya mzunguko wa damu yake huwa kubwa. Hii ni kwa sababu pombe hiyo husababisha mabadiliko hayo Je, ni kweli kuwa hali ya mlevi kuyumba yumba husababishwa na ongezeko la kasi ya msukumo wa damu? Na sio pombe kuathiri mishipa ya fahamu?
  4. Wachumi, ni wapi pana nafuu kati ya awamu ya tano na ya sita?

    Ningependa kupewa ufafanuzi wa kiuchumi ni hali ipi huwa ina unafuu A. Mzunguko wa pesa kuwa mdogo ila bei za bidhaa / huduma ni kawaida. Awamu hii ilisifika kwa msemo maarufu vyuma vimekaza, mzunguko wa pesa ulipungua kwa sababu biashara nyingi zilifufungwa ama kusua sua, hakukuwa na ongezeko...
  5. Asilimia 82.5 ya pesa taslimu iliyopo katika mzunguko ni noti ya shilingi 10000

    Pic credit.The chanzo
  6. Hakuna jipya chini ya jua!

    Kiuhalisia kila kitu kinachotendeka katika maisha yakila siku ni marudio ya maisha yaliyopita, na tayari maisha hayo yamehifadhiwa kwenye maandiko mbalimbali, amini usiamini maswali yako yote uliyonayo sasa majibu yake yako kwenye vitabu, hivyo jaribu kuwa rafiki wa vitabu ujionee maajabu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…