mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwalimu anatufanya tutafakari zaidi vyanzo vya fedha vya Tajiri G ,Timu Y na mwenendo mzima wa ligi N ya Nchi ya T

    Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa kipindi kirefu, na ashawahi kuwa tajiri mdogo zaidi kwenye top 50 Bara A . Kulingana na Kiongozi M ...
  2. JamiiForums Tanzania Mitego ya Mitandao: Changamoto za Online Dating ukiwa Mtu Mzima (Umri 30+)

    Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya WhatsApp. Ukiwa mtu mzima mwenye majukumu yako, unatafuta mtu makini wa kutulia naye. Hata hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Alieko karibu na kalapina amwambie kuwa sugu sio level yake. Mtu mzima bado mtaa upo kichwani wakati sugu ni executive mind.

    Mtu huyu atakuwa katika 40s ili bado mtaa umemkaa kichwani, Hurka yake ni fujo za mitaani ambazo zilipekea hadi watu kuumia. Wakati huo bado anapambana na upumbavu wa mitaa na umri ukiwa umeenda, mr 2 sugu aka 2 proud anafanya mambo international na anasaini mikataba ya mpunga. Mtu mwenyewe...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
  5. JamiiForums Tanzania TRA: Wafanyabiashara wapya waendelee kujiachia mwaka mzima, wana msamaha wa kodi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?” Kama hukusoma, bofya hapa ~ Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kiongozi wetu alikamatwa akiwa mzima, hakuna taarifa hata moja tutaipuuza

    Kiongozi wetu na Mwenyekiti wetu alikamatwa akiwa mzima, Taarifa Kama hizi za kuhusu kujaribu kucheza na maisha yake hazitakubalika. Serikali hii dhalimu inapaswa kumuachia Lissu haraka. Sisi Tunafuatilia kila kitu na hakuna taarifa hata moja tunaipuuza.
  7. JamiiForums Tanzania Utasikia “njoo tukupine mwili mzima”! Au mwingine “tunapima magonjwa yote”, ukienda unamkuta na kipimo cha QMRA

    UTASIKIA NJOO TUKUPINE MWILI MZIMA AU MWINGINE TUNAPIMA MAGONJWA YOTE , UKIENDA UNAMKUTA NA KIPIMO CHA Quantum Magnetic Resonance Analyzer (QMRA)😄 Halafu gharama ya mwili mzima 20,000 tu 😆😆
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini mtu mzima akilala hawezi kuanguka kitandani anapojigeuza

    Je umewahi kujiuliza kwanini hujawahi kuanguka chini sakafuni kutoka kitandani ? Hata kama ungekuwa una usingizi mzito kiasi gani ikifika wakati wa kujigeuza unageuka tu!! Jibu hili hapa!! Binadamu haanguki kitandani akijigeuza kwa sababu ubongo hauzimi kabisa. Mfumo wa ndani wa proprioception...
  9. JamiiForums Tanzania Unakuta ni mtu mzima mwenye heshima zake ila hajui kuandika kwa ufasaha, wengi wao wanafanya kusudi AU ni kweli hawajui?

    Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kwanini mwanaume anapozidi kuwa mtu mzima busara na hekima huongezeka na vise vesa......?

    Hata ukihitaji ushauri mtafute mzee mtu mzima zaidi, lakini mwanamke mtu mzima zaidi utaambulia pumba na mashudu...
  11. JamiiForums Tanzania Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

    Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu. Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimefuatilia kauli za Mwigulu kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka

    Wakuu, habari. Mimi nimefuatilia kauli za huyu bwana kwenye majukwaa anayohutubia nimepata mashaka na afya yake ya akili. Maana anaropoka vitu asivyo na ushahidi navyo na ambavyo haviwezekaniki kufanyika. Maana kama CDM wangefanya hayo, naapa hakuna rangi wangeacha kuona. Kwanza CHADEMA...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu na viongozi kuandamana mwezi mzima kabla ya tarehe 7/7 si ajabu wakaahirisha tena wakapanga tarehe nyingine

    Wanaharakati wanasababisha walinzi wetu kuandamana muda mrefu zaidi kuliko waandamaji wenyewe jambo ambalo linachosha vyombo vyetu . Kama wataamua kuahirisha hiyo tarehe na kutangaza tarehe nyingine wataendelea kuleta mzigo mkubwa na uchovu Kwa vyombo vyetu kwakweli Maandamano yanaruhusiwa...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hivi Lameki Madilu ni mzima kichwani anapodai utegemezi wa taifa umepitwa na wakati?

    Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika. Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu. Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada...
  15. JamiiForums Tanzania Swala la kisheria:Umehukumiwa kesi ya kuua alafu unabahatika baada ya kusota mda na kuzeeka unakutana na marehemu ni mzima wa afya baada ya kutoka.

    Msaada wa kisheria kwa wanasheria.Mahakama imekuambia umehusika japo sio mshiriki alafu ila katika kesi ukapewa kifungo na umri wako ukijumlisha ni bonasi za mungu. Mwisho wa siku yule marehemu waliyesema mahakamani umehusika na unamfahamu au kupeleleza unakutana naye .Je mahakama itafanyeje
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: "Kwanini watu wanapotea na hawapatikani" anayejibu hili swali sijui kama ni mzima

    https://www.facebook.com/share/v/1HJxJMzib2/
  17. D

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kushika ujauzito?

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  18. JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  19. JamiiForums Tanzania Ongezeko na video za shughuli za wadada kushereheshwa na mashoga sio ishu ya bahati mbaya, ni mpango mzima wa kudhalilisha uanaume halisia.

    Kumbuka zile shughuli zinafanywa na masingo maza, michepuko ya watu, wadada wanaojiuza, wadada wasio na kazi, etc na watu wa aina hii adui namba moja wao ni mwanaume kutokana na kila mmoja aliathrika vp na mwanaume katika pita pita zake. Sasa ikitokea kuna mashoga wanawafahamu wanahakikisha...
  20. JamiiForums Tanzania Huwezi kuua watu bure Ulimwengu mzima ukanyamaza juu yako

    Endeleeni kupumzika kwa amani Watanganyika wenzetu mliopoteza maisha yenu 29 Oct, mkiwa na lengo la kulipigania taifa hili. Mauaji ya Kimbari kule Rwanda mpaka leo yanakumbukwa. Mauaji ya halaiki kwa njaa kule Ukraine (Holodomor) kutoka kwa Urusi mpaka leo bado yanakumbukwa, na bado baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…