mwl nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, huenda LISSU akawa Mandela wa Taifa hili !!

    Sioni Harakari na Maisha ya kisiasa ya Mwl Nyerere penzi za Ukoloni, Yakifikia Maisha ya TUNDU LISSU katika zaman hizi za Wakoloni Weusi. Nyerere anabaki kua Baba wa Taifa, ila Historia, itamuandika LISSU kwa yake kama ilivyokua kwa Mzee Mandela !!.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Weka orodha ya rasilimali zetu zilizouzwa, kubinafsishwa au kuporwa na Serikali tangu Mwl Nyerere alipoziacha kwa kustaafu mwaka 1985

    Ili kuweka kumbukumbu sahihi na kuwaeleza vizazi vyetu, jinsi tulivyokosea katika utunzaji na usimamizi wa mali na rasilimali alizotupa Mwenyezi MUNGU ni vizuri kuandika, kutunza na kuweka kumbukumbu ya Mali, mashirika, viwanda, taasisi, rasilimali za asili na kila kitu, ambacho Mwl Nyerere...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii ya sasa inakubalika kuliko hata TANU ya mwl Nyerere iliyopigankia uhuru wa bendera. Sasa hivi watu wanataka ukombozi

    TANU haikuchangiwa kama inavyochangiwa Chadema hii ya Leo. Chadema ya leo imepata vizingiti vya kila aina. Kuwekwa ndani, kubambikiwa kesi za uhaini na kupowa mali zao. Tanu ilichangiwa na matajiri wachache ambao wlikuja kugawiwa magorofa yaliyopo Kariakoo kama shukrani na Mwalimu Nyerere...
  4. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mwl Nyerere, Karume Walikuwa Wanaharakati tunaanzaje kushetanisha uwanaharakati

    Nyerere, Amani Karume wote walikuwa wanaharakati na ndio Mababa wa Taifa letu, tunaanzaje kushetanisha uwanaharakati wakati Taifa letu limejengwa na wanaharakati." Askofu Bagonza akichangia kwenye kongamano la Demokrasia linaloendelea muda huu Zanzibar.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere: Kuna Askari Yupo Tayari Kuua au Kuuawa Kwa Sababu Tu Analipwa Pesa

    Mwl. Nyerere alisema kuwa duniani kuna majeshi ya mamluki ambao hupigana kwa ajili ya fedha pekee. Alitolea mfano baadhi ya mamluki waliowahi kuwepo Congo, akieleza kuwa mtu wa aina hiyo hufanya kazi kwa malipo tu bila kuwa na uzalendo kwa taifa lolote. Akisema kwamba, mamluki anaweza kwenda...
  7. Kidabwenge

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme mwl Nyerere umefikia wap?

    Ndugu wananchi wenye kujua mradi huu umefikia wap maana tuliambiwa mwaka Jana umefikia asilimi 98 mpaka mwaka tumeuanza mpaka Leo Amna mrejesho mwenye kujua atujuze.
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi amepigia jibu mstari. Kiongozi kama Hayati Magufuli na Sokoine ndio Mwl Nyerere aliwahitaji kulinda rasilimali za umma.

    Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma. Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani. Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata. Hayati...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni kama Nyerere, wakati anapigania uhuru watanzania wengi walikuwa wajinga hata alipotetea demokrasia asilimia 20 walimwelewa Nyerere

    Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana. Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru Aliutumia Kwa bidiii kipaji...
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Nyerere hakutaka jambo lolote aliloanzisha libadilishwe, Rais aliyetaka kubadilisha alijiingiza kwenye matatizo makubwa

    Ni vigumu sana kuzungumzia Chama Cha Mapinduzi pasipo kumhusisha Mwl Nyerere Hii ni kwasababu Chama Cha Mapinduzi kinaishi kwa kufuata misingi ya Mwl Nyerere Mambo yote aliyoanzisha Mwl Nyerere hakutaka kuona yakibadilishwa Raisi yeyote yule aliyemfuata na akajaribu kubadilisha basi alijikuta...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kero na ubaya wa Muungano, lawama apewe Mwl Nyerere.

    Tatizo na sababu za kuutaka muungano, ilianzia kwenye maasi ya jeshi wakati huo 19/1/1964. Jeshi liliasi, na Nyerere akijificha kigamboni kunusuru maisha yake. Miezi mitatu tu baadae akamshawishi hayati Karume Rais wa Zanzibar wakati huo, waunganishe nchi. Nyerere aliona atakuwa salama kama...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

    Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  15. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  16. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itaendelea kupambana na maadui watatu aliowatangaza Mwl Nyerere ambayo ni ujinga, umasikini na maradhi

    Emmanuel Nchimbi amesema Chama cha Mapinduzi (CCM), kitaendelea kupambana dhidi ya maadui watatu aliowatangaza Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ya ujinga, maradhi na umaskini kwa nguvu zote. Dk Nchimbi ambaye ni mgombea mwenza wa urais wa CCM amesema hata Rais Samia Suluhu Hassan anaishi...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Butiama ya Mwl Nyerere iko ziwani lakini Maji hawana, Hadi Hospital Mpya ya Wilaya Haina Maji, Ikataeni CCM, Msishiriki Uchaguzi

    Nyinyi WATIAMA, Niambieni Baada ya Hayati Magufuli Kufa, kitu gani Samia kawafanyia?. Barabara ni Magufuli. Hospital ni Magufuli. Ujenzi wa Chuo Kikuu ni Magufuli. Magufuli angalau alijitajidi sana, angekua hai Maji yangekuwepo 24hrs. Miaka Minne ya Samia, Hata Maji safi na Salama yamemshinda...
  18. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje mwl Nyerere hakumpa heshima hii Mugabe?

    Habari wanaJF wenzang Mwl Julius K. Nyerere aliwapenda na kuwaheshimu wapigania Uhuru wote wa Bara letu la Africa. Katika kuonesha heshima na upendo huo kwao, mwl Nyerere aliamua baadhi ya barabara na mitaa ya nchi yetu kuipa majina ya wapigania Uhuru hao wa nchi zetu za Africa. Hapo chini ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye muungano kwa maslahi yake, kuwa Rais Nchi Mbili na Mwenyekiti wa chama katika Pande Zote, Hakujali athari ya vizazi vijavyo

    Tatizo kubwa sana ambalo limekuwa jinamizi kwa mataifa mengi ya Afrika ni hili moja: maamuzi makubwa ya kitaifa huchukuliwa kwa kuangalia faida ya muda mfupi, bila kutafakari athari za muda mrefu kwa kizazi kijacho. Katika kipindi hicho cha kihistoria, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere...
Back
Top Bottom