mwl nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye muungano kwa maslahi yake, kuwa Rais Nchi Mbili na Mwenyekiti wa chama katika Pande Zote, Hakujali athari ya vizazi vijavyo

    Tatizo kubwa sana ambalo limekuwa jinamizi kwa mataifa mengi ya Afrika ni hili moja: maamuzi makubwa ya kitaifa huchukuliwa kwa kuangalia faida ya muda mfupi, bila kutafakari athari za muda mrefu kwa kizazi kijacho. Katika kipindi hicho cha kihistoria, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere...
  3. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Nyerere angekuwa hai, angemuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Kwa zaidi ya nusu karne sasa jina la Mwalimu Julius Kambarage Nyerere limebaki kuwa mwanga wa siasa na dira ya taifa let. Baba wa Taifa alijijengea heshima kama kiongozi shupavu, mwenye maono ya mbali na mpenda watu. Aliamini katika haki, mshikamano, elimu kwa wote na mapambano dhidi ya rushwa...
  4. mngony

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni hatari kwa mustakabali wa Umoja wa Kitaifa, kwa Mgombea kuandika bango la kuomba kura kwa lugha ya kikabila, Mwl Nyerere asingekubali litokee

    Inasikitisha kuona sasa tunaomba kura kwa lugha za kikabila? Je tunataka wenye kabila letu tu watuchague au kuwaonesha kuwa ni wa nyumbani? Kabila limekuwa kigezo? Hii ni hatari sana, nchu yetu haina ukabila na watu wamechanganyikana. Sasa mimi Mngoni niko Ngara ukitumua...
  5. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere alipiga marufuku waTanzania kuangalia Tv?

    Hili ni swali mtu yeyote mwenye Majibu achangie Imagination zangu Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa asilimia 99% Nyerere akaona kuwaruhusu watu hawa kuangalia Tv ni kulizika Taifa mchana kweupe Akaamua...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni Upi? Imani ya Kidini ya Mwalimu Nyerere

    Wakuu mpo? Hili ni swali kwa wadau wote, Nyerere alileta ujamaa ili wa Tanzania waishi pamoja walime pamoja wale pamoja na kufanya shughuli zao kwa ushirikiano Yeyote aliyeonekana kuwa na ukwasi alionekana ni shetani Nyerere hakupenda sifa kama maraisi wengine kwa sababubsifa na utajiri vipo...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere aliposema Ikulu ni Mzigo alimaanisha nini?

    Kwa Mujibu wa mambo ya Kweli ni kwamba, Unapokuwa Ikulu kwa maana ya kuwa kiongozi mkuu wa Nchi, wewe unakuwa Mtukufu, yaani hakuna njaa wala gumu lolote kwako binafsi, familia yako, marafiki zako pamoja na wapambe wako. Yaani wewe ndiye mwajiri Mkuu na ndiye mlipaji mkuu, kwa kifupi wewe...
Back
Top Bottom