Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa Tanganyika wakati huo na ya muda mrefu.
Ukitafakari kwa kina katika fikra huru ni jinsi gani...
Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja".
Kwanza dini zote zinamuabudu...
Mojawapo ya Icon wakubwa wa upinzani na mawazo mbdala katika nchi yetu ni Oscar Kambona aliyetoka kuwa swahiba na mtu wa karibu wa Nyerere mpaka kuwa mkosoaji wake mkuu. Lugha aliyokuwa anatumia Nyerere kumkosoa Kambona
hadharani ilikuwa kali sana na isiyo ya kiungwana kwa nyakati hizo, hatujui...
Katika ukumbi huu ndipo kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikutana kuanzia Januari 26-28 mwaka 1967 mkoani Arusha na kupitisha Azimio la Arusha na kutangazwa rasmi Februari 5, 1967.
Na hiki ndicho kiti alichokalia Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa kikao hicho na pembeni yake ni kiti cha...
Hii ni maajabu.
Wakati Mzee wasira anayasema haya kwamba anamshangaa Mpina kulalamika kukatwa wakati ametumikia Jimbo la kisesa kwa miaka 20 hivyo muda ulifika aachie wengine.
Na Cha kushangaza waliokuwepo kwenye huo mkutano walipiga makofi. Niliwashangaa ni vipi walishindwa kujiuliza kwamba...
Habari !
Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi.
Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii...
Tukiangalia historia , desturi na katiba zetu viongozi ngazi za juu kuanzia waziri mkuu , makamu wa Rais na Rais hushika nafasi hizo kwa kipindi kisichozidi miaka kumi. Aliyewahi kuzidisha kipindi hicho ni baba wa taifa tu Mwalimu Julius K. Nyerere.
Je kwa mwenendo huu Inawezekana tukapata...
Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amesema ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakuna utamaduni wa kuvuana nguo hadharani, bali kuna utamaduni wa kukosoana kwa lengo la kujenga chama.
"Tunakosoana kwenye vikao" haipaswi kutumiwa kuzuia wengine kutoa maoni yao waziwazi...
Kuna watu wanamlaumu Nyerere kwamba alijilimbikizia madaraka, kujiweka kama mtawala wa kiimla na hatimaye kutuachia mfumo huo mpaka sasa ambao tunahangaika nao. Ni kweli alifanya hivyo lakini karibia mataifa yote hadi yale yaliyoendelea sana viongozi wake wa mwanzo(founders) walifanya hivyo pia...
1. Mwl. Nyerere alitaka nchi iwe ya Kijamaa yenye uchumi utakaotufanya tujitegemee. Njia zote kuu za uchumi zimilikiwe na Umma.Tuliyaishi hayo hadi late 80's.
2. Mzee Mkapa alitaka tuwe na soko huria lenye uwekezaji mkubwa wa sekta binafsi na serikali ibaki kuwa regulator na kukusanya mapato...
Kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Julius Nyerere
https://m.youtube.com/watch?v=OAQFxrJBfPc
Makamu wa Rais Dk. Philiph Mpango ameyaongea haya katika kumbukumbu ya miaka 103 ya Mwalimu Nyerere leo Aprili 13, 2025, katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, JKCC Dodoma....
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi...
Ikumbukwe mwaka 1985, Mwalimu Julius Nyerere aling'atuka madarakani huku bado wananchi wengi wakipenda aendelee kuongoza.
Hali hiyo ilijiri wakati nchi ilipokuwa ikikumbwa na changamoto kubwa za kiuchumi kufuatia masharti magumu ya mashirika ya fedha ya Kimataifa (WB na IMF), na miaka michache...
Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Cuba, Anayansi Camejo na baadhi ya viongozi wengine kutoka mataifa yote...
Nimekuta mahali kipande hiki cha hotuba ya baba wa taifa kwa tafsiri niliyojaaliwa mimi, ni kuwa mwalimu anasisitiza kwamba kwa afya ya bara la Africa ni tusipanbane na watu wa misimamo mikali kwa sababu kupambana nao kutamaanisha wao pia wajibu mashambulizi.
Sasa kama hoja ni hiyo mbona ni...
Viongozi wanaoheshimika wamekwisha Afrika. ANC kitasambaratika kwasababu ya kukamiana wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza a vicious cycle. Ramaphosa na mbeki wanamsulubu legendary mwenzao Zuma, dhambi hii itaimaliza South Africa na hasa chama tawala ANC.
Kama Mwl Nyerere (RIP) angekuwepo bila...
Nadhani muda umefika siyo mbali CCM inakwenda kulala upande mmoja.
Mwl. Nyerere aliposema CCM si mama yake wala baba yake alikuwa na maana hasa.
Mwl. Nyerere aliposema mpinzani wa kweli atatokea ndani ya CCM basi si mbali.
Mwl. Nyerere aliposema CCM hakitakuwa na uwezo tena pale atakapotokea...
Habarini wakuu...
Wanasema ndoto ni maono ya uzoefu wa maisha ya kila siku, sikuwepo enzi za hawa Wanasiasa ila historia imenijuza machache. Sasa leo nimeota ndoto fupi ila ilionionyesha uhalisia wa uhasama aliokua nao Mwalim JK Nyerere dhidi ya Oscar Kambona.
Ndoto inaanza Oscar Kambona...
Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo.
Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake.
Sikilizeni hapa cheche zake.
HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996.
Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.