mwisho wa mwaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kataa unafiki wa SMS za Mwisho wa Mwaka: Kataa Drama za Dakika za Mwisho

    Bado masaa machache tu kuaga mwaka wa 2025 na kuukaribisha mwaka 2026, wakuu ndipo simu zinapoanza kulia kwa fujo. Ghafla, watu waliokuwa kimya na jeuri kwa siku 364 na zaidi wanakumbuka uwepo wako. Unakutana na liujumbe refu: “Kama nimekukosea nisamehe,” “tusameheane kabla ya mwaka kuisha,”...
  2. Jeshi la Polisi Tabora lawahakikishia ulinzi na usalama kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya.. Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
  3. Tukielekea mwisho wa mwaka umetembea kwa miguu umbali mrefu kiasi gani ?

    Tunapoelekea ukingoni mwa mwaka 2025, kila mmoja wetu ana kumbukumbu inayomfanya acheke au kutikisa kichwa. Kwangu mimi, tukio lisilosahaulika ni safari ya miguu iliyoanza kwa mkasa na kuishia kwa ushindi. Baada ya kupoteza simu yangu na kukwama bila njia mbadala ya usafiri, nilijikuta...
  4. Kuelekea mwisho wa mwaka 2025: Wapi umefanikiwa, umefeli wapi na umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?

    Je, katika huu mwaka unaoelekea ukingoni 2025 ulijiwekea lengo na limetimia au limeshindwa kutimia kwa sababbu gani? Je, umejipangaje kwa mwaka mpya 2026?
  5. Pokea baraka za mwisho wa mwaka , BWANA asimame nawe, ukainuke ukaongezeke

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nakutakia baraka njema za mwisho wa mwaka BWANA akasimame nawewe Ukainuke mtumishi, Ufanikiwe mtoto mdogo wa MUNGU Ikawe kheri kwako Nakutakia amani na baraka BWANA akakusamehe maovu yako yote YESU KRISTO anakuja , anazaliwa SAYUNI BOY
  6. L

    Utabiri wangu kuhusu kipindi Hiki cha mwisho wa mwaka mpaka mwakani 2026

    Mvua itanyesha kubwa kwenye baadhi ya maeneo na kuleta maafa ,pengine uwezekano wa mvua utakuwa haba kabisa,nafaka zitaadimika,kutakuwa na kipindi kigumu. Kama una kufahamu Anza kutunza chakula mapema.
  7. Xiaomi inatarajia kuzindua flagship tatu mwisho wa mwaka huu 2025

    Kawaida kampuni ya Xiaomi huachia flagship mbili mwisho wa mwaka huko China lakini mwaka huu ni tofauti, wataachia flagship tatu Kutakuwa na Xiaomi 16, 16 Pro na 16 Pro Max, yani kama iPhone Xiaomi 16 na Xiaomi 16 Pro zitakuwa na vioo vyenye ukubwa sawa na Xiaomi 16 Pro Max itakuwa kubwa zaidi...
  8. FANYENI MAPENZI SALAMA LEO MWISHO WA MWAKA HUU2024 , ILI KUANZA MWAKA MPYA 2025 KESHO BILA UTI, GONORRHEA, KASWENDE AU UKIMWI.

    Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe. Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi. kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
  9. Jumapili njema ya mwisho wa mwaka

    Pole kwa kila gumu lililokusumbua mwaka huu; kama uliumwa, uliumia, uliumizwa, uliteseka, au ulitikiswa kivyovyote hisia zako na ukadhani usingetoboa kuiona leo...POLE MNO. Hongera kwa kutojikatia tamaa. Mbali na maumivu na changamoto zote, hujakufuru. Hujajisusa, hujajinyonga, hujajitosa...
  10. Ijumaa ya mwisho wa Mwaka 2024

    Wana Jamiiforums Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh? Tunapoelekea kuumaliza Mwaka huu wa 2024 na kuelekea Mwaka mwingine siku chache zijazo. Nina maneno machache ya kuwaambia Familia nzima ya Jamiiforums siku hii ya Leo ijumaa ambayo ni ijumaa ya mwisho kwa Mwaka huu. 1. "Mwaka...
  11. Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  12. Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  13. Je unazungumziaje desturi ya kurudi nyumbani(mkoani) kukusanyika mwisho wa mwaka

    Kuna huu utaratibu wa kila mwaka watu tunarudi vijijini kukusanyika na ndugu na jamaa je ni utamaduni mzuri maana kwasasa maisha yanabadilika kuna wengine kipindi hicho ndio kipindi cha kukaa na familia zao mapumziko maeneo ya kisasa
  14. Bashungwa Atoa Maagizo kwa IGP Wambura Kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KWA IGP, WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA. 📌 Kuimarisha ulinzi, doria na ukaguzi vyombo vya moto usiku na mchana. 📌 Kuondoa vizuizi na vituo vya ukaguzi maeneo hatarishi barabarani. 📌 Kufanya Operesheni maalum nchi nzima kupambana na wahujumu miundombinu ya...
  15. Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  16. Mwisho huu wa mwaka kila mtu anapambana kutimiza aliyoyapanga mwanzo wa mwaka

    Mwisho wa mwaka huu kila mtu anapambana kutimiza majukumu aliyoyapanga mwanzoni mwa mwaka. Nimekutana na "special hire" zikiwa na maiti toka wiki iliyopita huko njiani, kama zote, pamoja na zile gari za kubebea maiti. Kiufupi, popote ulipo kaa karibu na Mungu. Mwisho wa mwaka unakuwaga mgumu...
  17. Tahadhari kwa wanaume! Hakuna mahusiano ya kweli yanayo anza mwisho wa mwaka

    Wanaume heshima kwenu. WANAUME NI KUSANUANA,UKIENDEKEZA GENYE ZAKO UMELIWA. Haihitaji Utafiti lakini kwa uzoefu wangu katika kipengele hiki sasa hivi kila binti ama mwanamke ni mrahisi ajabu hata hapo awali alikuwa mgumu kiasi gani. Wanajirahisha ili wakupige boom apate hela ya sikukuu pendwa...
  18. Rais Samia: Februari na Machi, 2024, Mgao wa umeme utaisha Nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa salaam za mwaka mpya leo tarehe 31 Desemba, 2023. https://www.youtube.com/live/Twr-ddr0U9Y?si=iso-QsJ01OP-z4sz SUALA LA UMEME NCHINI Rais Samia Suluhu Hassan, amesema changamoto ya upungufu wa umeme unaosababisha mgawo...
  19. Tunapofika mwisho wa mwaka, haya ni mambo ambayo tunapaswa kujihadhari nayo

    Tunapofika mwisho wa mwaka, inafaa tujadili mambo tunatakiwa kujihadhari nayo tunapokwenda mbele. Nasita sasa kulihusisha jina la Nyerere na mambo ninayotaka kuyaandika sasa. Lakini wote tunataka maendeleo ya kiroho kwa hiyo ni bora tuyajadili mambo ambayo yanaweza kutukwamisha. Ni mambo...
  20. Pendekezo: Serikali iwe inawaongeza watumishi wake Tsh 100,000/ kila mwisho wa mwaka

    Wanajamvi na watanzania kwa ujumla, hasa wafanya kazi wa serikali! Ninachokiañdika hapa, bila shaka ni hitaji la kila mfanyakazi, Mimi nikiwa kama mkulima wa hapa nanjilinji, nimechoshwa na kukopwakopwa na wafanyakazi wa umma hasa mwishoni mwa mwaka Mpaka naandika hivi, nimeanza kuwaonea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…