mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kumbe wakati mwingine ngada inafanya mtu uwe na akili na maamuzi sahihi, Basi sasa ndio nimejua umuhimu wake.

    Amani iwe nanyi! Kuna muda boss wangu nilikuwa nawaza sana anavyofanya maamuzi yake, Kuna wakati mpaka nilikuwa naona tunaenda kifirisika kumbe yeye ana target zake. (Off course ni mtu wa real estate) Lakini nikafanya utafiti mazuri sana kumbe kwanzia saa nane na nusu usiku mpaka saa Tisa...
  2. JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine umetokea huko Iran

    Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na inachukuliwa kuwa kampuni inayohusiana na ulinzi inayohusishwa na serikali ya Irani. Mtu mmoja aliuawa...
  3. JamiiForums Tanzania Mlipuko mwingine watokea Iran

    Mpaka tutaongea lugha moja A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday. The company, Avanar Persian, is reported to be a fireworks and explosives manufacturer based in Meymeh...
  4. JamiiForums Tanzania Ezra Pound: "mtumwa ni yule anayengoja mtu mwingine aje amfanye kuwa huru"

    Ukata usikudondoshe, ila ukuunde. Ukapuku usikuharibu, ila ukuhamasishe. Njaa isikupoteze, ila ikuimalishe. Haujalaaniwa, Hauna gundu, Hautabiishwi binafsi. SHIKAMANA AMKA PAMBANA.
  5. JamiiForums Tanzania Ubunifu mwingine wa kushangaza

  6. JamiiForums Tanzania Mhubiri mwingine atoa Unabii mzito juu ya Tundu Lissu na Tanzania

    Ukisoma vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran tukufu, utajionea mwenyewe kuwa Mungu alikuwa anawasilisha ujumbe wake kwa watu kabla ya kufanya jambo. Ni bahati mbaya sana kwa upofu waliopewa watu na Shetani huwa ni wagumu sana kupata ujumbe wa Mungu pale unapowasilishwa kwao. Mimi Lord...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA kwenye mtego mkubwa mwingine...

    Namfatilia Hapa Mkurugenzi wa Tume Ya Uchaguzi, iNEC Bwana Ramadhan Kairima, live kupitia UTV, anasema kesho ni siku ya kusaini kanuni za maadili ya uchaguzi, Na Kwamba Kama Kuna Chama Hakitashiriki Kwenye Kusaini Basi Hakitapata Nafasi Ya Kushiriki Uchaguzi Huo.. Hii Ni Kwa Mujibu Wa Kanuni Ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ameenda kwao kujifungua, sikuwa tayari kuwa baba, namuambiaje nimeoa mwanamke mwingine?

    Nimeoa, kabla ya kuoa nilikua kwenye mahusiano na Dada mmoja ambaye tulikua tunapendana sana, kila kitu tulikua tunafanya mapka kwao alishanitambulisha ingawa kwetua ilikua bado. Mwaka jana mwishoni mimi nayeye tulikubaliana kua na mtoto kisha ndiyo tufunge ndoa ingawa tulikua bado hatujaanza...
  9. JamiiForums Tanzania Sam Sasali: Nilipost Maharusi kumbe Bwana Harusi ana mke mwingine, kesi ikaniungukia

    Mtangazaji wa Clouds FM, Samuel Nathaniel Sasali akielezea sababu za kwa nini huwa haposti sherehe anazosherehesha. Pia soma ~ Ma-MC wanaosambaza picha za Watu bila ridhaa waonywa ~ Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi: Ukitumia taarifa bInafsi za mtu bila idhini yake Faini Tsh. Milioni 100 ~ Ijue...
  10. JamiiForums Tanzania Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza?

    Je unafahamu Mteja ambaye ameelekezwa na mtu mwingine ni rahisi kumfanya alipie bidhaa yako kuliko mteja anayekuona direct kwa mara ya kwanza? Tuangalie the power of Patnership Katika online business Ndio maana mara nyingi huwa tunawatumia watu wengine kuwafanya wapost huduma zetu kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania ZIJUE sababu za kwanini haipaswi kuilinganisha na mtu mwingine?

    Kujilinganisha na wengine kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa ustawi wako wa kihisia na kisaikolojia. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini ni muhimu kuepuka tabia hii: * Kila mtu ni wa kipekee: * Kila mtu ana safari yake ya kipekee, yenye nguvu zake na udhaifu wake. * Kulinganisha maisha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga Dar wagomea dabi kuchezwa tena baada ya kuota mbawa

    Wazee na wanachama wa klabu ya Yanga leo wakiwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga Jangwani wametoa msimamo wao juu ya mchezo wa Dabi dhidi ya Simba ulioahirishwa mnamo tarehe 8/3/2025. Pia, Soma Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni Bodi ya Ligi Kuu...
  13. JamiiForums Tanzania Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana Amani

    Kama unasikiaga UNAFIKI lakini hujawahi Kuuona, Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana AMANI. Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa.,... Sogea karibu..!
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jimbo likiwa kubwa kinachohitajika ni kuligawa ili apatikane Mbunge mwingine au kinachohitajika ni kuongeza bajeti ya kulihudumia hilo jimbo?

    Wakuu , naomba kupata ufafanuzi wa kitaalamu . Ikiwa Jimbo ni kubwa je kinachohitajika zaidi nini kati ya haya. Tume ya huru ya uchaguzi -kuligawa jimbo . Au serikali kuelekeza bajeti kubwa ya kulihudumia hilo jimbo? Maana ikiwa tutaligawa Jimbo maana yake tunaenda kuongeza idadi ya wabunge...
  15. JamiiForums Tanzania Starehe visiwani ndani ya kisiwa cha Ukerewe, ule ni ulimwengu mwingine

    Wanasema tembea uone Ilikuwa mwaka 2017, nikifika visiwani Ukerewe nikiwa na project ya UNDP, aisee nilijifunza na kuona maajabu ambayo sikuyatarajia Ukerewe ni Moja ya wilaya za mkoa wa Mwanza Ukewe ni kisiwa ndani kisiwa hicho Kuna visiwa vingine zaidi ya 20 Nilitembelea baadhi ya visiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Mdogo, mdogo, mambo yaliyotabiriwa na kuandikwa kwenye Biblia yanazidi kutimia. Katika kitabu cha 2 Timotheo 3:1-17 BHN imeandikwa hivi: "Kumbuka kwamba, katika siku za mwisho kutakuwa na nyakati za taabu. Watu watakuwa na ubinafsi, wenye tamaa ya fedha, wenye majivuno, wenye kujiona, wenye...
  17. JamiiForums Tanzania Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

    Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga. Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe. Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kusoma cheti cha sheria na upande mwingine umerisiti private candidate?

    Habari za wakati huu wadau? Kichwa cha habari hapo juu chahusika, Hivi inawezekana mtu akaenda kusoma cheti na upande mwingine amerisiti kufanya mitihani ya kidato cha nne?
  19. JamiiForums Tanzania Kama mwanamke haoni shida kuacha familia yake kuja kuishi na wewe mwanaume, Vivyo hivyo anaweza kukuacha na kwenda kuishi na mwanaume mwingine.

    Wakati unafurahia mke wako kuacha familia yake kuja kuishi na wewe, Ulisahau kwamba ana uwezo wa kukuacha hata na wewe. Ulileta hisia zako na mkeo akaleta hisia zake mkapendana na kuamua kuishi pamoja, ila ulisahau kwamba hisia huweza kuisha muda wowote ukaachwa mchana kweupe (in a day broad...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…