mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la mwili kuwasha

    Jaman kuna tatizo limenipata kipindi hiki huwa nawashwa kwenye mwili ikifka muda wa kulala ndio kabisa nazidi hii inatokana na nn jaman inanisumbua mno
  2. JamiiForums Tanzania SARCOPENIA: Hali ya afya ya kupoteza misuli katika mwili

    Sarcopenia ni hali ya kupoteza misuli, nguvu, na uwezo wa mwili kufanya kazi kulingana na umri. Kitaalamu, kuanzia umri wa miaka 30 hadi 40, mwanadamu huanza kupoteza wastani wa asilimia 3 hadi 8 ya misuli yake kila baada ya miaka kumi. Hali hii isipodhibitiwa, husababisha udhaifu mkubwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mwili wa mateka Ran Gvil wapatikana-Huyu ni mateka wa mwisho

    WOW. Mara tu mwili wa Ran Gvili ulipopatikana na ulipotambuliwa, wanajeshi wa Israeli walianza kuimba: "Ninaamini katika kuja kwa Masihi!" Sasa kazi tu imebaki ni kubonda magaidi wa Hamas na kuwapokonya silaha zao Rais wa Israeli Isaac Herzog: naye leo hii kasema; Ran Gvili, shujaa wetu...
  4. JamiiForums Tanzania Mwili wa Mzee Edwin Mtei kuwasili nyumbani kwake Tengeru jioni ya leo Januari 23, 2026

    Mwili wa Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Mzee Edwin Mtei (94), unatarajiwa kuwasili nyumbani kwake Tengeru, nje kidogo ya Jiji la Arusha, leo saa 11:00 jioni. Shughuli za mapokezi ya mwili huo, zitaongozwa na Makamu...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nina zaidi ya kilo 100 na nina umri wa miaka 19: Nifanyeje?

    Wakuu Nimejaribu kukimbia, kujibana sili chakula asubuhi wala mchana, nakula jioni ila uzito bado haupungui. Nifanyeje kukabiliana na hali hii?
  6. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 35, mwili hufika ukomo wa ukuaji

    Unapofika miaka 3, viungo vyote vya mwili hufika ukomo wa ukuaji hivo kila kitu kinaanza kurudi chini, mfano unachelewa kupona vidonda, dawa nyingi zinakukataa na maradhi huja mara kwa mara, kitakchokusaidia ni kama ulikua mtu wa mazoezi nyuma! kama ulikua na lifestyle nzuri ya mazoezi basi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania YESU aliyezaliwa, hana baba wala mama, Ni Mungu aliyekuja Katika mwili wa mwanadamu

    Salaam ,shalom! Hii ni habari njema!! GOOD NEWS😅💥🔥🎉🎊 Asomaye na afahamu, Imeandikwa zamani vitabu vya unabii kuwa YESU ni mwana wa Daudi. Pia ukisoma kuzaliwa kwa YESU Mathayo chapter 1, ukoo wa YESU umeanzia huko Kwa Daudi, Mwana wa Ibrahim. Mathew 1:16. Yakobo akamzaa Yusuph mumeweMariam...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwili wa mwalimu John Ogutu aliyeuawa Tanzania uliishia wapi?

    Katika vurugu zilizotokea Octoba 29,2025 jijini Dar es Salaam miongoni mwa watu waliouawa ni pamoja na Mwalimu John Ogutu aliyekuwa akifundisha katika shule ya Msingi Sky. Baada ya mauaji hayo, mwili wake ulidaiwa kutoweka katika mortuary ulimokuwa umehifadhiwa na kupelekea mijadala kuibuka...
  11. JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye mwili wa Dainesy wapatikana hospitali ya Kivule, familia yapanga upya siku ya mazishi

    ‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa. ‎Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  14. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

    Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa na alipigwa risasi Mabatini akidai hata ndugu yake amenuona, daaah. Tunachouliza miili ya hawa...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wazika nguo na viatu mara baada ya mwili wa marehemu aliyeuawa na polisi kutopatikana

    Wananchi, wakiwa na huzuni na mshikamano, walizika nguo za marehemu aliyeuawa na polisi baada ya mwili wake kutokupatikana ishara ya kuenzi utu na kupaza sauti ya haki.
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yathibitisha kupatikana kwa mwili wa Joshua aliyeuwawa nchini Israel

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imethibitisha taarifa za kupatikana kwa mabaki ya mwili wa Mtanzania Joshua Loitu Mollel (21) aliyeuwawa nchini Israel. Joshua alikuwa miongoni mwa vijana 260 wa Kitanzania waliokwenda Israel kwenye mafunzo ya kilimo cha kisasa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwili wa Raila Odinga ukiwasili uwanja wa ndege Kisumu

    Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amolo Odinga ukiwasli uwanja wa ndege Kisumu, ambapo baadae utafikishwa katika uwanja wa Jomo Kenyatta, Mamboleo
  19. JamiiForums Tanzania Sauti yetu kwa Haki, Mwili wetu kwa Amani

    Sauti Yetu kwa Haki, Mwili Wetu kwa Amani – Kuandamana Dhidi ya Utekaji na Mauaji Ndugu zangu wapendwa, wananchi wenzangu, watetezi wa haki na amani! Leo, tunakutana hapa si kwa uchungu tu, bali kwa azimio. Tunakutana hapa si kwa kukata tamaa, bali kwa matumaini. Tunakutana hapa kwa sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Ali Kibao:Hatuwezi kulinda amani ya watu waliomteka, kumtesa, kumwagia tindikali na kuutupa mwili wake jalalani

    Hakuna amani kwenu, amani itakuwa kwa nchi yetu Tanzania pekee. Wote mliohusika kwenye hili, mtalipia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…