mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ndege iliyombeba Waziri mkuu Mwigulu yashindwa kupaa; yalazimika kurejea airport

    Ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, imeshindwa kupaa na kulazimika kutua tena. Niko hapa Airport, umeingia msafara wa VIP. Tumemwona Waziri Mkuu akienda kupanda ndege. Sijui alikuwa anaelekea Arusha au Dodoma. Ndege imeondoka, ikaingia kwenye njia ya kurukia, ikachochea...
  2. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ni “Magufuli mpya” anayehofiwa na wapigaji

    Mwigulu Nchemba anawatisha kwa kuwa ni “Mr. Clean.” Amefuata nyendo za Magufuli. Mwigulu amekuwa Waziri wa Mifugo; hatukusikia amejikatia ranch za umma na kuzifanya za kwake. “Mr. Clean.” Alikuwa Waziri wa Kilimo; hatukumsikia akijikatia mashamba ya umwagiliaji na mitambo. “Mr. Clean.” Amekuwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu ahimiza ushirikiano wa kikanda kudhibiti magonjwa ya mifugo

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na FAO, Shirika la Afya ya Wanyama Duniani (WOAH), Umoja wa Afrika, jumuiya za kikanda, na wadu wengine katika kuimarisha uwekezaji na mifumo ya kudhibiti magonjwa ya mifugo kwa lengo la kuchangia kutokomeza Sotoka ifikapo...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji wa wanawake ni uwekezaji katika afya moja

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba alisema uwezeshaji wa wanawake wakulima ni uwekezaji katika utekelezaji wa dhana ya Afya Moja, kutokana na nafasi yao katika uzalishaji wa chakula, ufugaji, lishe, afya ya mifugo, usalama wa chakula na utunzaji wa mazingira. “Wanawake hawapo pembezoni mwa...
  6. JamiiForums Tanzania Body morphology ya Mwigulu inaongea mengi, tutarajie ya Nchimbi?

    Mimi kama mtaalam wa psychology naona facial expression na body language inaongea mengi kuliko maneno Toka yatokee ya Nchimbi naona moto wake umepoa mno Kejeli, majigambo na kiburi cha madaraka ameacha Tutarajie jambo jipya?
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu naye kaanza kuzungumzia HAKI, hakujifunza kwa Nchimbi?

    Hajui kuwa mwenyewe hataki kusikia neno HAKI. Anasema ili watu wapate furaha, Haki na Uwajibikaji lazima zisisitizwe. His days are numbered.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Simiyu: “Dr. Mwigulu ni Magufuli mtupu”

    Ziara ya Mhe. Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Simiyu imekonga mioyo ya wana-Simiyu. Katika mazungumzo na wananchi mbalimbali, wengi wameeleza kuvutiwa na namna Waziri Mkuu anavyokemea uzembe na wizi, pamoja na kusisitiza hatua za kubana matumizi ili fedha hizo zielekezwe katika shughuli...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Watoto Chini ya Miaka 18 Kutambuliwa na NIDA

    ●Awasihi Watanzania kuchukua Vitambulisho vyao vya Uraia. WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) itaanza kuchukua hatua za kuwasajili na kuwatambua watoto walio chini ya umri wa miaka 18, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mfumo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  13. H

    JamiiForums Tanzania DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI

    DKT. MWIGULU: NDANI YA WIKI MOJA TUTACHUKUA HATUA KUSHUSHA BEI YA SARUJI WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ndani ya wiki moja, Serikali itachukua hatua ya kuhakikisha bei ya saruji inakuwa himilivu kwa wananchi, baada ya kubaini malalamiko ya kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo katika mikoa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Tutengeneze mabilionea watanzania kupitia madini

    DKT. MWIGULU: TUTENGENEZE MABILIONEA WATANZANIA KUPITIA MADINI ▪️Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪️Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya madini ili wanufaike na utajiri wa...
  15. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Nchemba Bariadi Vijijini

    https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  18. JamiiForums Tanzania LIVE: Dkt. Mwigulu Akihutubia Itilima

    https://www.youtube.com/live/8izDGvhF82E?si=pbg9TRphPWkO8XbD LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 14, 2026 anazungumza na wananchi wa Itilima, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  19. H

    JamiiForums Tanzania Karibu Simiyu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. 📆 13 -16 Septemba, 2026.
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu atua Arusha, kufungua Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Septemba 9, 2026, amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi. Mkutano huo unafanyika katika Kituo cha Mikutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…