mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  2. JamiiForums Tanzania Unamwamini Mwigulu kwamba eti magari ya Serikali 979 yalichomwa wakati wa maandamano?

    When all is said and done kuna uwezekano mkubwa kuwa wajanja wachache wamegawana haya mavieite mapya ya Serikali na kusingizia maandamano. Ni nani atakayethibitisha kwamba ni kweli hayo magari yamechomwa moto na hayajagawanwa na mafisadi? Mwigulu unatuhakikishiaje kuhusu hili? Unataka tukuamini...
  3. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwigulu ukome kabisa kutufanya Watanganyika Wapumbavu

    Kwa taarifa yako hakuna Propaganda mtakayotuuzia Watanganyika safari hii na kufanikiwa kuturubuni. KIla Mtanzania anajua Watanganyika waliouliwa waliuliwa kwa amri na maelekezo ya muuaji Samia na Wakuu wake wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Kila Mtanganyika ameona Samia ameingiza vikosi kutoka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu: Tunatambua kuna watumishi wa umma wazembe na wala rushwa tutashughulika nao

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na wahariri wa Vyombo vya habari leo Novemba 25, 205 amesema kuwa serikali inatambua uwepo wa Wafanyakazi wa umma wanaofanya kazi kwa weledi inayochangia maendeleo ya miradi ya nchi lakini pia wanatambua uwepo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu ametangaza Kanisa la Gwajima lifunguliwe, kwanini askari wametanda na kufukuza waumini?

    Ushuhuda na Sababu za Askari Kuwazuia Waumini Ufungaji wa Usajili wa Kanisa Msajili wa Jumuiya za Kiraia alitangaza kufutwa kwa usajili wa kanisa la Gwajima (Glory of Christ Tanzania / Ufufuo na Uzima), kwa madai kwamba mahubiri ya askofu yalikuwa na mwelekeo wa kisiasa na kuhatarisha amani ya...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia kamweka Mwigulu kumfunika Nchimbi (Kikwete mtandao)

    Samia kamweka Mwigulu kumfunika Mchimbi (Kikwete mtandao) baada ya watu kuongelea Samia aondoke na kumpisha Nchimbi. Hivyo Nchimbi na Mwigulu havitaiva. Hata Kikwete na genge lake la mafisadi wanamtaka Nchimbi zaidi ya Samia. Lakini Mwigulu anapenda sana sifa na kila siku atahakikisha ni...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu anasema Wale Wauaji wengine walikua hawajui Kiswahili, Tume yao ije iseme Wauaji walijipenyeza from Kenya

    Mpaka siku mtakapotambua mnadeal na Watanzania wa aina gan, ndipo mtaanza kuhusisha Midomo na Ubongo kabla ya kuongea. Bahati mbaya na Kwa masikitiko makubwa, Hamna Tena Mudaa. Jiandae tena Dec 9 .
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi?

    “Hivi mmefuatilia katika vurugu zilizokuwa zinaendelea, mmefuatilia muone wangapi walikuwa na silaha? mnagombanishwa tu na polisi wetu, hivi mnajua polisi waliodhurika ni wangapi? Hivi mnajua vyombo waliodhurika ni wangapi? Mnajua wangapi mle walikuwa wanalikuwa na silaha? Hivi mnajua wangapi...
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba kwenye hotuba zako punguza kufokafoka

    Jana nimekuona ulihutubia wananchi huko Singida badala ya kusema maneno ya maana na kuhutubia umoja, mshikamano na haki wewe ukaanza kutoa mapovu. Mara ooo mimi sina biashara, mara hoooo mama yangu Muislamu na blablaa kibao. Mwigulu Nchemba huko watanzania washatoka na huo utapeli wa kutufokea...
  11. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama Mwigulu hana biashara yoyote, Basi atakuwa Fisadi na Mwizi mkubwa wa Pesa ya Umma

    Mwigulu amesikika akisema kuwa yeye hana biashara yoyote, hana hata Noah ya biashara! Kama hana biashara yoyote, basi kwa vyovyote atakuwa mwizi mkubwa! Aueleze umma, kama hana kitega uchumi chochote, aueleze umma, pesa anayowalipa wale wachezaji wa Timu take ya mpira, anachukua wapi? Maana...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba akabidhiwa rasmi ofisi na waziri mkuu mstaafu Kassim Majaliwa

    DKT. MWIGULU AKABIDHIWA OFISI RASMI Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba leo Novemba 17, 2025 amekabidhiwa Ofisi na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa, Mlimwa Jijini Dodoma Novemba 17, 2025. Viongozi waliohudhuria hafla ni pamoja na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Doto Biteko, Makatibu...
  13. JamiiForums Tanzania Raia Samia, Nchimbi na Mwigulu hawana uhalali wowote wa kuweka mtu lock down kuelekea #D9. Sisi hatupo chini ya mtu yeyote

    Ndugu Samia, Nchimbi na ndugu Mwigulu hawana uhalali wowote wa kuweka mtu lock down kuelekea #D9, sisi hatupo chini ya mtu yoyote. Sisi hatuna serikali kwa mujibu wa katiba, serikali lazima itokane na wananchi hakuna uhalali wa serikali ya kujiteua.
  14. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ujumbe Kwako Mwigulu, Usimjaribu Mungu Wala Usimkufuru

    Nimemsikia Mwigulu alipopewa nafasi ya kutoa salamu zake kwa waumini alipohudhuria ibada kwenye kanisa lake la KKKT. Kwenye ujumve wake, amewaomva waumini wamwombe Mungu aliletee amani Taifa. Hii ni kufuru kubwa mbele za Mungu. Kila siku watawala wapo busy kutengeneza mazingira ya kugukuza...
  15. JamiiForums Tanzania KAZI YA KWANZA Waziri Mkuu Mwigulu aanzie vituo vya polisi aombe Rais kwa simu awatoe wooote walioandamana

    Kama kweli kuna nia ya kuliponya hili taifa basi kesho hiyo hiyo wangetolewa wooooteeeee bila kujali walivunja nini! Maana kama kukosea wooote tumekosea sio Rais, sio vyombo vya dola, sio wabunge, sio wapigakura, sio viongozi wa dini wala nani! Nchi nzima kila.mtu anamnyooshe mwenzie so...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Natambua uzito wa majukumu haya na matarajio ya Watanzania, nitafanya kazi kwa bidii na uaminifu

    Baada ya kuwa Waziri Mkuu Mteuli wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Natambua uzito wa majukumu haya na matarajio ya Watanzania, na amehaidi kufanya kazi kwa bidii na uaminifu na kukidhi matarajio hayo. Soma Pia: Dkt. Mwigulu Nchemba apendekezwa kuwa Waziri Mkuu wa...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hii ndio Serikali ya viziwi ambayo haiwezi kuongea na Wananchi mtaani Samia, Nchimbi wala Mwigulu

    Ifahamu serikali isiyokubalika ipo tu Ikulu na bungeni kwasababu wananchi hawajachukua majengo yao, hawa hawawezi kusimama mbele ya umma hata mmoja tangu machafuko ya Oktoba 29 ambapo kumetoa mwelekeo wa msimamo wa wananchi jinsi watakavyofanywa watakapokuja mitaani. Wananchi tumewakataa hakuna...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Waandamanaji wachoma moto yard ya magari ya mabasi ya Esther

    Yard ya magari ya Mabasi ya Esther Luxury imechomwa moto na waandamanaji Inasemekana mabasi yote yaliyokuwepo hapo yamechomwa moto
  19. JamiiForums Tanzania Mwigulu ushukuru Suala la Tanzania kutoka kwenye nchi ambazo Uchumi unakua kwa Kasi EAST kuzidiwa na Uganda Limekutana na Uchaguzi Ulikua Umekwisha

    Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na dola umejitahidi Lakin jiangalie sana buana mkubwa tafuta washauri wazuri wa Uchumi kama Mpango...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwigulu Nchemba, jitokeze utuambie ni kwanini Tanzania imerudishwa kwenye kundi la nchi zenye uchumi duni?

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC). Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…