mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. PostGE2025 Mwigulu: Vurugu za Oktoba 29 zilipangwa ili kuharibu uchaguzi. Hakuna katiba inayopatikana kwa miezi sita

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanaharakati walijipanga kuhamasisha vurugu Oktoba 29, 2025 kwa lengo la kuharibu uchaguzi mkuu ili wasipatikane viongozi na kutoa nafasi ya maandamano ya kudai viongozi wapya kwa maandamano. Akiongea na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, Dkt. Nchemba...
  2. Mwigulu: Tusijifiche kwenye kichaka cha HAKI bila WAJIBU

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, leo Desemba 29, 2025, akiwa Bunju B jijini Dar es Salaam, amefafanua mjadala unaoendelea mitandaoni kuhusu HAKI na AMANI. Amesema kuwa HAKI ni jambo muhimu na linatambuliwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hata hivyo haki haiwezi kutenganishwa na...
  3. PostGE2025 ‘Mmiliki’ wa mabasi ya Esther: Kampuni imehusishwa kimakosa na wanasiasa. Walivamia na kuchukua fedha, tulipata hasara ya Bilioni 2.1

    Mtu mmoja aliyejitambulisha kama mmiliki wa magari ya Esther Joseph Didas Ngelewiya akiongea na wanahabari hivi karibuni alisema: “Mimi ndiye mmiliki wa mabasi ya Esther Luxury Coach, hivi karibuni kampuni yangu imehusishwa kimakosa na baadhi ya viongozi wakuu wa kisiasa hapa nchini kwa madai...
  4. Nafasi ya Waziri mkuu haipaswi kuwa na kiongozi kama Mwigulu Nchemba. Watu namna ya Sokoine au Majaliwa

    Msimamizi mkuu wa shughuli za serikali anapoongea watu wanatakiwa waogope na anapotoa maagizo watu lazima waone kweli lazima yatekekelezwe. Angalia ziara za Mwigulu Nchemba ni kama vile anafanya maigizo na sio tena kusimamia na kutoa amri shughuli za serikali zitekelezwe Namna Kasimu...
  5. R

    Huyu ndiye Waziri Mkuu wetu, msikilize

    Tumepatwa na jua! Msikilize na toa maoni
  6. Mwigulu amekuwa na wimbo mkuu wa URANIUM. Mbona maisha yetu hayaendani na utajiri wa rasilimali?

    Kila kukicha waziri mkuu amekuwa na wimbo mkuu wa " wanataka madini ya nchi yetu". Sasa kama nchi ina URANIUM, Lakini mbona maisha ya watanzania hayaendani na rasilimali zilizopo? Au hizi rasilimali wanaoziona ni serikali tu. Mbona maisha yetu hayaendani na "utajiri" wa rasilimali ambazo kila...
  7. PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Aliyehamasisha vurugu za Oktoba 29 amekiri kuna taifa limemsaidia

    “na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa moja limetusaidia…”-Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba.
  8. PostGE2025 Mwigulu Nchemba: Msanii kuimba kwenye kampeni za CCM ni ajira yake

    Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, emewashangaa wanaharati wanaohimiza watanzania kuacha kusikiliza nyimbo na kuhudhuria matamasha yanayowahusisha wasanii wa Tanzania kwakuwa waliiunga mkono CCM Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025. Akizungukza na wa wakazi wa Tunduma mkoani...
  9. PostGE2025 Waziri Mkuu, Mwigulu umeishiwa hoja, ziara zako zote unaongea vitu vilevile, wananchi siyo wajinga

    Sioni haja ya Waziri Mkuu kuendelea na ziara zako ikiwa kila unapokwenda unarudia mambo yale yale uliyoyaongea sehemu nyingine, kana kwamba wananchi ni wajinga wasioyajua mambo; hali hii ni kuendelea kutumia vibaya kodi za wananchi. Ishu ya huyo mwanaharakati aliyelipwa tangu ukiwa Arusha...
  10. PostGE2025 Waziri Mkuu Mwigulu: Mpango wa Bima ya Afya kwa wote kuanza Januari. Hakuna kushikilia maiti

    waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa mpango wa bima ya afya kwa wote unatarajiwa kuzinduliwa kuanzia mwezi januari 2026, huku akizihimiza hospitali zote nchini kujiandaa kikamilifu kwa ajili ya utekelezaji wa mpango huo. Ameyasema hayo leo...
  11. Waziri mkuu Nchemba: Kama mkandarasi ametumia fedha kwingine kamata Passport yake

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Lameck Nchemba amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed kumuita mkandarasi aliyekua anajenga barabara ya Kitai-Ruanda na kumtaka aendelee na ujenzi wa barabara hiyo kwa haraka kwani alishakabidhiwa malipo...
  12. H

    Dkt. Mwigulu: Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo

    Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma. 🗓️Desemba 11, 2025.
  13. PostGE2025 Waziri Mkuu: Watu wa majiji msichukue bidhaa za raia, Ndio Ofisi

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Halmashauri zote Nchini Majiji kutochukuwa bidhaa halali za Wananchi ambao ni wafanyabiashara wadogo wanaojitafutia riziki zao Barabarani kulingana na mitaji yao hata kama wakikutwa na makosa ushughulikiwe utaratibu tu! na sio kuua mitaji yao midogo...
  14. PostGE2025 Prime Minister Mwigulu Nchemba: Citizens who will not have urgent matters on December 9, take the day off and stay at home

    The Prime Minister of the United Republic of Tanzania, Dr. Mwigulu Nchemba, has conveyed the greetings of the President of the United Republic of Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan, to the people of Tanzania, marking the commemoration of Tanzania Mainland's Independence Day, which is celebrated...
  15. Mwigulu Nchemba anapata wapi nguvu ya kusema watu walilipwa kuandamana wakati hayo yakifanyika yeye alikuwa ni Waziri wa Fedha?

    Hii nchi bwana ukisikia kesi ya mbuzi anashirikishwa mwizi wa mbuzi ndio sasa. MwiguLu alipokuwa waziri wa fedha kila pesa ilitaka ipitie kwake ila leo kawa waziri mkuu anasema walilipwa bilioni 5 vijana kabla ya maandamano na kijana mmoja ambaye tunga story. Tena waziri wa fedha mwenye sihihi...
  16. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Mwigulu Nchemba ameanza kupigwa fitina kwasababu siyo Mkatoliki

    Sheikh anasema kwasababu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba siyo Mkatoliki zimeanza kuibuka fitina mbalimbali na kupigwa vita kutoka kwa Wakatoliki ili kumtoa kwenye reli
  17. PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi...
  18. Mwanachama wa JamiiForums Mwigulu Nchemba njoo hapa

    Ndugu mwigulu nchemba naomba dola lakimoja chap. Guys akiniwekea hiyo hela ndio aje sasa aseme ni nani aliyemchagua, guys huyu hana sifa ya kuwa hata diwani wa kata.
  19. Maoni ya Idu: Ridhiwani Kikwete ana hoja kuliko Waziri mkuu Mwigulu Nchemba

    Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia. Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko...
  20. PostGE2025 Waziri Mkuu awatembelea marafiki zake mtaani 'Nimewakumbuka masela'

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba ameshere video akiwa anawatembelea majirani zake na kusalimiana nao. Mwigulu ameandika ujumbe huu baada ya share video hiyo “Nikiwa naelekea kwenye shughuli za kiserikali, nilipata pia muda wa kusalimiana na majirani zangu. Ujirani mwema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…