mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumezuia mikutano ya siasa kuepusha watu wenye nia mbaya kurusha mabomu na kuua watu wengi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema hatua za kudhibiti mikusanyiko mikubwa zimechukuliwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha uwepo wa watu wenye nia mbaya ya kutumia mikutano hiyo kusababisha madhara makubwa, ikiwemo mashambulizi ya mabomu au ufyatuaji risasi. Kwa mujibu wake, baadhi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Mara

    WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo. Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  4. JamiiForums Tanzania Je, anatambua uzito wa dhamana ya madaraka yake kweli huyu? Na Je, hujipa nafasi ya kufikiri kwanza kabla ya kusema neno? Something is wrong with him!

    Ni sifa au dongo?👇👇👇 "...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI WASIANDAMANE. Nina UHAKIKA, vijana WAKILIPWA hata TZS 20,000 TU kwa kila mtu, HAKUNA KIJANA...
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu unazungumzia rasilimali gani ambazo una uchungu nazo kuzidi wananchi na Watanzania wote?

    Mwigulu amekua na propaganda ya kusema wanaotaka kuandamana wanatumiwa na nchi ambazo zinataka rasilimali zetu. Suala la kujiuliza rasilimali gani hizo ambazo nchi nyingine inazitaka? Waziri mkuu anaongea propaganda miaka nchi inapata Uhuru anaweza kuzitaja hizo nchi au waziri mkuu kutoa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana. Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar]. Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar. Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane. Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
  7. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

    Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaotumia group za WhatsApp kuchochea vurugu waje wenyewe wasitumie watoto wa Kitanzania kama chambo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo imepitishwa na Bunge yote hayawezi kutekelezwa bila uwepo wa amani na usalama nchini. Ametoa wito kwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa pensheni zao kuanzia mwaka wa fedha 2026/27, baada ya Serikali kukamilisha hatua zote za kisheria na uhakiki wa wanufaika. Akijibu maswali ya wabunge bungeni Juni 18, 2026, Mwigulu alisema Serikali ilitoa...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Unatibiwa Zanzibar ukiwa na NHIF, bila kujali upande wa Muungano

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara. Amesisitiza kuwa kinachoangaliwa si mtu ametoka upande gani wa Muungano, bali ni...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumianeni maua Whatsapp, hizo hela wapeni wahitaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaandaa mpango wakuhakikisha halmashauri zote nchini zinahusika kutoa mchango wa moja kwa moja wa kujikimu kwa walemavu wale ambao hawawezi kufanya kazi ili kujiingizia kipato Dkt Mwigulu ametoa kauli hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tanzania haijauza Dhahabu, ni mambo ya Wanaharakati wanaotaka kutengeneza chuki na mizozo ndani ya nchi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kuwa serikali imeuza dhahabu inayohifadhiwa kama akiba ya taifa, akisisitiza kuwa mkakati uliopo ni kuongeza akiba hiyo na si kupunguza. Akiwasilisha majibu ya serikali mbele ya Bunge jijini Dodoma Juni 18, 2026, Mwigulu...
  15. JamiiForums Tanzania Sigrada: Waziri Mkuu anaenda kusikiliza Walioachana na Waume zao kweli?, Tuwe Serious!

    Sigrada Wilhem Mligo, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, amehoji bungeni nafasi ya viongozi wakuu kushughulikia masuala madogo ambayo yanaweza kutatuliwa na viongozi wa ngazi nyingine. Akichangia bungeni, Sigrada amesema inashangaza kuona Waziri Mkuu akiacha majukumu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwigulu na Watoto Wake (Joshua na Isack) Jukwaani, Je ni mkakati wa kulinda Legacy ya Kisiasa?

    Habari wakuu, Jana nimeona watoto wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakivutia mjadala mkubwa mtandaoni baada ya baba yao kuwapa nafasi ya kuzungumza jukwaani. Miongoni mwao, Isack tayari anafahamika kwa kuwa ameonekana mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa. Tangu tukio hilo, kumekuwa na maoni...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza bidhaa zilizochukuliwa kwa wafanyabiashara Shelui kurejeshwa mara moja

    WAZIRI MKUU AAGIZA BIDHAA ZILIZOCHUKULIWA KWA WAFANYABIASHARA SHELUI KUREJESHWA MARA MOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza bidhaa zilizochukuliwa kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara wadogo wa Tarafa ya Shelui, Wilaya ya Iramba mkoani Singida kurejeshwa mara moja na kuwataka watendaji...
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

    Wakuu, Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake? Wanatuonaje watanzania?
  19. JamiiForums Tanzania Nacheka ninapofuatilia ziara za Mwigulu Nchemba (PM), suala la mbuzi wa zawadi kupotea nalo litampa kick?

    Madelu hana ujanja wa kutengeneza mazingira au maigizo ili aonekane kama anakubalika. Kwa mantiki hii nakubaliana nae kuwa ukiacha mechi ya dabi ya simba na Yanga kinachofuata kufatiliwa ni ziara zake hii ni kwa sababu ni Comedy mwanzao mwisho.
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Msiseme mimi ni zaidi ya Magufuli, mnawatisha Watu!

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba kuhusu Wananchi kusema yeye ni zaidi ya Hayati Magufuli kwani inawatisha watu "...Yule dada anasema huyu ni zaidi ya Magufuli. Usiwatishe watu bwana, maana hivi tu wana..... Ametoa kauli hiyo Juni 5, 2026 wakati anazungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…