mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Fursakibao

    Tetesi: Mwekezaji aliyeikamata ndege yetu alijitoa kwenye mradi mwaka 2015 Mwigulu Nchemba ukataka kumrudisha ikashindikana. Sasa hayo madai ni ya nini?

    Agro Eco Energy alijiondoa kwenye mradi wa sukari wa Bagamoyo 2015, huyu aliyeikamata ndege yetu ni nani? Mwigulu Nchemba tunahitaji majibu hapa. Kwa mujibu wa gazeti la The Guardian la tarehe 21 October 2015 kampuni ya The Swedish international Agency ilijitoa kwenye uwekezaji wa mradi wa...
  2. Mganguzi

    Mwigulu Nchemba anajitahidi sana ila anakabiliana na upinzani mkali mno

    Nilianza kumfuatilia sana huyu mwamba nilipoona jina lake limeshika kasi, barabara za mikoani kwenye mawe makubwa na miti mikubwa waliandika jina la mwigulu wakimtaja kama Rais ajaye! binafsi nimewahi kumtembelea ofisini kwake. Ni msikivu sana na hana kiburi wala dharau. Tuliongea mengi...
  3. Z

    Barua ya wazi kwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango

    BARUA YA WAZI KWENDA KWA DKT MWIGULU LAMECK NCHEMBA Anaandika Hassan Ruangwa Wasalaam Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Natumai ubukheri wa afya ya akili na Mwili, Dhumuni la Barua yangu kwako ni kusisitiza kuwa lazima uendelee kuonesha ukomavu huohuo bila kupepesa maneno, Kodi ya Serikali lazima...
  4. Jerlamarel

    Waziri Mwigulu tusamehe bure, kumbe tozo ni maamuzi ya serikali si yako wewe kama waziri

    Yale maombi mabaya mabaya wanayokuombea watu kwenye mitandao nina imani yatakupitia mbali, maana siyo kwa laana zile unazotupiwa. Naamini tozo zingekuwa ziko ndani ya uwezo wako ungekuwa umeshazifuta kwa hizi kelele, ila kumbe umefungwa na "Collective Responsibility".
  5. Kamanda Asiyechoka

    Mwenyekiti BAZECHA: Mwigulu Nchemba ni mwizi, tapeli na fisadi namba one

    Ni kumchana live tu. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
  6. The Sunk Cost Fallacy

    Waziri Mkuu wa Uingereza ametoka hadharani kutetea sera za Waziri wake wa Fedha. Tanzania Waziri wa Fedha anabebeshwa mzigo bila sababu

    Hili swala linafikirisha.. Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng.. Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi...
  7. M

    Utata mkubwa wa Mwigulu kuhusu Tozo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ametoa tamko bungeni Septemba 20 2022 na kutangaza rasmi kufuta tozo mbalimbali za miamala ya kielektoniki bila kueleza ni kikao gani cha kisheria kilichoruhusu mchakato huo wa kufutwa kwa mapato ambayo tayari yamekadiriwa kwenye bajeti ya Serikali...
  8. jebs2002

    Yah yah yah yah Trab na Trat

    Ni pale shemeji na wifi yenu alipokamata njumu mifukoni kwenye suruali yangu! Macho yalinitoka kigugumizi mate kukauka kutaka nimezwe na ardhi! Ilibidi tu niwasingizie wakina Trab na Trat! Za mwizi kweli 40! Ebu nanyi fungukeni mliwasingizia kina nani kwenye situation kama hiyo.
  9. Sijali

    Haya yanatokea Tanzania pekee

    Kwamba Waziri anaitia serikali hasara kubwa, na nchi uzorotaji wa kimaendeleo ya teknolojia na ya watu... anaoteshwa, anabadilisha, na anaendelea na kazi! Kabla ya tozo, sekta ya 'fedha mtandaoni' (mobile money) ilikadiriwa kuwa dola bilioni 4 (Shilingi Trilioni 9.5), kiasi ambacho kwa mwaka...
  10. seedfarm

    Mwigulu aongee ukweli, ACACCIA na Barrick wanalipwa mabilioni na serikali kwa kuvunja mkataba

    Trat na Trab walipambana sana na Makampuni ya Barrick na Accacia lakini kesi zao zili backfire na Serikali ya Tanzania ilishindwa kulingana na MIGA agreements Mwigulu aache kigugumizi aongee ukweli, Huko Trat na Trab kesi za acacia na Barrick zilikuwepo lakini mambo yalienda kombo kwa serikali...
  11. William Mshumbusi

    Mwigulu Akiendelea kuwa waziri Basi ndie Rais ajae tutake tusitake. Atakuwa na timu Bora na zaidi ya Tillion 2 kibindoni

    Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu aliunda pesa za kutosha. Mwaka 2015 Akaanza kampeni za uraisi kirahisi Sana. Akalipia matangazo ya redio...
  12. saidoo25

    Spika amvaa Mwigulu bungeni kushindwa kujibu swali la Mpina

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Akson ameitaka wizara ya Fedha na Mipango kujibu upya swali namba 129 lililoulizwa na Mbunge Kisesa Luhaga Mpina, ambaye aliitaka serikali kutoa maelezo ya kwanini kesi 1,097 za kodi zenye thamani ya shilingi trilioni 360 na dola za Marekani milioni 181.4 hazijaamuliwa...
  13. Bams

    Ngonjera za Mwigulu Kuhusu Tozo Hazikubaliki

    Leo wananchi tumesikia kile kilichoitwa kuondoa na kupunguza tozo, kama Serikali ilivyofafanua kupitia waziri wake wa Fedha, Bwana Mwigulu. Ukweli kilichofanyila ni ubabaishaji. Serikali haijajibu hoja ya msingi ya wananchi. Tumetamka wazi kuwa tozo ni wizi. Ni unyang'anyi wa pesa ya...
  14. Erythrocyte

    Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi. Chanzo: Raia Mwema Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
  15. Replica

    Mwigulu Nchemba: Mfumuko wa bei utashuka na bidhaa zitashuka. Asema mafuta yalipandisha bei

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tunakoelekea bidhaa zinaenda kushuka bei kwasababu zilipanda kuitikia kupanda kwa bei ya mafuta. Mwigulu amesema mafuta yamepungua kwa zaidi ya Tshs 400. Mwigulu anaamini kwa jitihada za Rais Samia kuweka bilioni 100 kila mwezi itazidi kupunguza bei ya...
  16. Jerlamarel

    Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?

    Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa. Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa. Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
  17. M

    Msafara wa Mwigulu Nchemba. Je, Kipindi Cha Magufuli ungeyafanya Haya?

    Wana imani na Mwigulu Nchemba
  18. S

    Mwigulu Nchemba sahau ile ndoto yako ya kutaka kuwa Rais Tanzania

    Mungu mkubwa na ni fundi sana,umepewa cheo kikubwa cha uwaziri wa fedha,ambao ki ukweli imetusaidia kukuelewa, wewe ni kiongozi wa aina gani. Ni Kiongozi wa hovyo na mwiba kwetu sisi Watanzania. Toka Umepata Uwaziri, Watanzania ni maumivu, kwa kila kitu kupandishwa kodi na vitu kupanda bei...
  19. R

    Wapo wabunge watetezi wa Watanzania mmoja wapo ni Luhaga Mpina

    Anamtetea nani
  20. Notorious thug

    Kisa cha Zakayo mtoza ushuru na Mwigulu Nchemba kwa ufupi

    Zakayo kwa Kiebrania Zakai(msafi,mnyoofu) alikua mkuu wa watoza ushuru na tajiri, alipata kibali cha kutoza kodi na mapato na kiasi kilichozidi alikiingiza mifukoni mwake. Aliishi maisha ya kifahari na kuponda mali. Zakayo alimsaliti Mungu na taifa lake . Wakati Yesu...
Back
Top Bottom