mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. mdukuzi

    Mwigulu Nchemba hizi timu za mpira zinakubeba jimboni ila zitakugharimu kitaifa

    Ulianza na Singida United ikabuma ukaibukia DTB ambayo imebadili jina na kuwa Singida nini sijui. Unafanya kitu kizuri ila kitakucost. Mpira kwa Afrika ni mchezo wa wahuni tu. Viongozi wahuni, wachezaji wahuni, ukiwa close na wahuni watakuzingua tu. Huku mtaani watu wanachuki na wewe kutokana...
  2. JanguKamaJangu

    Watanzania waandamana katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani

    Baadhi ya Watanzania wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania Nchini #Marekani na kufanya maandamano wakiwasilisha madai mbalimbali. Baadhi ya madai yao waliyoandika kwenye mabango yao ni Mabadiliko ya Katiba, kuachiwa huru kwa Wakili Peter Madeleka pamoja na kufukuzwa Bungeni Wabunge 19...
  3. B

    Sasa ni zamu ya Los Angeles. Ni Alhamisi 21 Aprili, uzinduzi wa pili wa Royal Tour

    SASA NI ZAMU YA LOS ANGELES. NI KESHO ALHAMISI, UZINDUZI WA PILI WA ROYAL TOUR. Na Bwanku M Bwanku. Baada ya Juzi Jumatatu Aprili 18, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan kuusimamisha Ulimwengu wakati akiongoza Uzinduzi wa Filamu Maalum ya Watanzania ya Royal Tour Mahususi kwa ajili ya Kutangaza...
  4. J

    Rais Samia: Waziri wa Nishati aliondoa Tozo kwenye mafuta kimakosa kwa sababu Tozo ilipitishwa na bunge, Nimeirejesha!

    Rais Samia amesema waziri wa Nishati January Makamba alifuta tozo ya tsh 100 kwenye mafuta kwa nia njema ya kupunguza bei lakini ikaonekana kuna utaratibu haukuwa sawa. Tozo ile ilipitishwa na bunge siyo waziri hivyo kuifuta kulitakiwa kuanzie bungeni. Rais ameirejesha tozo ya mafuta kama...
  5. beth

    CSOs Funding Saga: Was Minister Mwigulu Nchemba misquoted?

    Here is what he just wrote in defense of his earlier 'misquoted' statement about the CSOs fund disbursement. Note: The language shift is mine. -- As the Minister in charge of Finance, I have a responsibility to inform Development Partners about our budget systems. That is what I did in our...
  6. beth

    CSOs Funding Saga: Was Minister Mwigulu Nchemba misquoted?

    Here is what he just wrote in defense of his earlier 'misquoted' statement about the CSOs fund disbursement. Note: The language shift is mine. -- As the Minister in charge of Finance, I have a responsibility to inform Development Partners about our budget systems. That is what I did in our...
  7. B

    Rais Samia arejea kutoka Dubai na makubaliano 36 yaliyobeba trilioni 17.1 zenye ajira 204,575

    Na Bwanku M Bwanku Leo Jumanne kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan kule Falme za Kiarabu (UAE) ambapo Jana Jumatatu Februari 28, 2022 alirejea nchini kutoka kwenye ziara hiyo ambayo pamoja na mambo mengine alishiriki matukio mawili...
  8. Sifi Leo

    Combination ya Nape, Makamba na Mwigulu nchini Dubai sina imani nayo kabisa

    Najua ntashambuliwa sana, ila kwa kifupi combinations ya Nape, Mwigulu na Makamba ndani ya Dubai Sina Imani nayo kabisa. Kwanini nasema hivyo? Historia za hawa vijana wenzetu ziko wazi na hakuna anae jua yakuwa wapo tayari kuitwa mawaziri wastaafu mpaka hapo walipo? Kimsingi hawa watu Bado...
  9. L

    Dkt. Mwigulu Nchemba amtangaza mrithi wake jimboni

    Akiongea kwa lugha ya kwetu KiNyiramba bila hata ya aibu Mhe. Mwigulu Nchemba huku akimshika mdada wa watu kamtangaza kuwa huyo mdada aanze kufikiriwa fikiriwa na Wanajimbo katika nafasi. Pamoja na kutotaja nafasi hiyo lkn ishara inaonesha ni nafasi ya Ubunge Mwaka 2030 wakati yeye akigombea URais.
  10. Nyankurungu2020

    Mwigulu Nchemba acha kudanganya wananchi, mikopo hulipwa na watanzania wanapolipa kodi. Usipotoshe umma

    Kwa nini viongozi wa serikali hupenda kuona watu kama wajinga na hawana akili? Mlipopitisha tozo za serikali kwenye miamala ya simu ulitamka kwa dharau na kejeli kuwa asiyetaka kulipa tozo ahamie Burundi, bila kujali hata namna tozo zinavyoumiza wananchi. Leo hii unatamka bila hata aibu kuwa...
  11. Kipenzi Changu

    Mwigulu Nchemba: Hakuna mwananchi atakayelipa mkopo, Serikali italipa

    "Hakuna siku Mtanzania mmojammoja atagongewa hodi mlangoni kwamba tunakudai Shillingi hizi kwasababu Nchi yako ilikopa, haipo Nchi hiyo, hivi ni vitu vya Kitaasisi na vinaangaliwa kutoka kwenye mapato ya Kiserikali" "Hakuna siku Mtanzania atafuatwa aambiwe wewe una ng'ombe wengi sana toa mmoja...
  12. beth

    Mwigulu: Tutaendelea kukopa, deni ni himilivu

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mkopo sio Msaada, na Mkopo hutolewa kwa mwenye chanzo cha kulipa. Amesema, "Tutaendelea kukopa ili tutekeleze miradi mikubwa kwa haraka" Amesema tathmini ya uhimilivu wa deni iliyofanyika Mwezi Novemba inaonesha Deni ni himilivu kwa...
  13. M

    Kutoteua Bodi ya NBAA hadi leo ni uzembe au dharau za Mwigulu Nchemba

    RAIS amateua mwenyekiti wa BOARD ya NBAA (T) NI karibia miezi 2 sasa. ILA MWIGULU hajateua Wajumbe mpaka sasa swali wake mwingulu ni dharau kwa mamlaka za uteuzi au anasubiria mpaka wapatikane wale wa lile kabila km walivyozoea kipindi cha shujaaa wa africa MADHARA YANATOKANAYO NA...
  14. T

    Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

    SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan kupitia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imetenga TZS 7.3BL kwa ajili ya kufungua barabara za Halmashauri ya Wilaya ya Iramba mkoani Singida ikiwa ni utekelezaji wa kauli mbiu yake ijulikanayo kama ‘Tunakufungulia barabara kufika...
  15. Replica

    Mbunge Musukuma: Ukiwatoa machinga Mtaa wa Congo biashara imekufa. Asema pamoja na Mwigulu kumtaja tajiri yeye ni zao la machinga

    Mheshimiwa spika, nitalisema kwa upole sana suala la machinga maana nikizungumza kwa ukali nitasemwa mimi sio mtanzania lakini nilivyolisea mwanzo nahisi watu hamkunielewa. Niliposema niliambiwa mimi ni mrundi sio Mtanzania. Mimi natoka vijijini na ni mkulima wa mpunga, gunia la mpunga ndani ya...
  16. beth

    Halima Mdee: Imekuwa utamaduni wa Serikali kufukuza wamachinga

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara. Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango...
  17. Replica

    Mwigulu Nchemba: Tanzania ina mabilionea 5740, mabilionea 115 wanamiliki 28% ya utajiri wote wa mabilionea

    Vikao vya bunge vinaendelea mjini Dodoma na miongoni mwa maswali ya leo, ni swali linalohusu mabilionea waliopo Tanzania kwenda kwa wizara ya fedha. Swali(Rashid Shangazi): Tuna idadi ya watu takribani milioni 55 wenye madaraja tofauti ya uchumi, katika idadi hiyo kuna mabilionea wangapi...
  18. Mung Chris

    Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba umesikia ujumbe wa mafao Bungeni Dodoma?

    Mhe. Mwigulu Nchemba Waziri wa fedha lazima ufahamu kuwa wanaostaafu leo ni Kaka zako, Ndugu zako na dada zako pia waliostaafu siku nyingi wengine ni Baba zako wadogo na ndugu wa damu. Nikushauri tu, achia pesa watu walipwe, miradi ina umuhimu pia wastaafu wanahitaji waishi maisha yao...
  19. K

    Tetesi: Inadaiwa UDOM imekosa hela za kulipa posho za wahadhiri

    Juzijuzi Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba alipohojiwa alisema hivi karibuni watamwaga pesa nyingi mtaani. Sasa badala ya pesa kumwaga sasa hata za kulipa watu zinakosekana. Taarifa zilizopo ni kwamba Chuo Kikuu cha Dodoma hakina pesa. Kukosekana kwa pesa kumesababisha wahadhiri wasipewe posho...
  20. B

    Waziri Mwigulu Nchemba endelea kuchapa kazi, usirudi nyuma

    Nakutia nguvu tena Mhe Mwigulu Lameck Nchemba "Madelu". Endelea kuchapa kazi usirudi nyuma. Wapo Watanzania wenzetu huko vijijini afya yao ni shida, barabara ni tabu n.k. Ubunifu huu wa tozo unaenda kuokoa mamia kwa mamia ya watu wetu. Wapo watu nchi hii kazi yao ni kupinga tu sasa...
Back
Top Bottom