mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. JamiiForums Tanzania Usanii wa Mwigulu Nchemba ni wa kitoto sana. Kwamba haya ndo Watanzania wanataka?

    Huyu jamaa ni Dr. Ana usanii wa kitoto sana. Yaani hapa ndo anaonesha nini?katika miaka hii amechaguliwa anaonesha nini? Kuwa yeye ni mtu wa hali ya kawaida? Mbona watoto wao wanasoma shule za gharama sana na si hizi za telemka tukaze? Mbona miaka yote ananyoa sehemu za gharama sana na si hii...
  2. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwigulu afanya kampeni nyumba kwa nyumba, amekula kwa mama ntilie kama Kigwangala. Movie ziendelee!

    Wakuu, Kabla ya kampeni ukitaka kumsogelea Mwigulu au kiongozi mwingine mwananchi atapigwa roba chaaaaaa, labda kama kiongozi atasema mwacheni asogeee tumsikilize, mpeni mike! Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Mpina afute kauli yake kwa kulipotosha Bunge

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufuta kile alichotanabaisha kuwa kauli ya uongo kuhusu DP World kuanza kukusanya kodi katika Bandari ya Dar es Salaam na kwamba kauli hiyo imelenga kulipotosha Bunge na Watanzania. Baada ya Waziri Mwigulu kuomba...
  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina (Mb) ataka Waziri wa Fedha na Waziri wa Kilimo wasimamishwe kazi

    Salaam Wakuu, Hapa chini ni maelezo kwa Ufupi ya Mbunge Luhaga Mpina aliyo yatoa kwenye mahojiano na Waandishi wa habari wiki hii Jijini Dar Es Salaam alipokuwa akitoka Mahakamani. Pia alitoa maagizo kwa mawakili wake waiombe Mahakama Kuu ya Tanzania itoe maelekezo kwa Waziri wa Kilimo Mh...
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje Singida

    Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba. "Mwanangu buana...
  6. JamiiForums Tanzania Singida: Mkurugenzi wa NIRC, Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri Dkt. Mwigulu ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese

    Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) Raymond Mndolwa akimuonesha Waziri wa Fedha, Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) ramani ya jiografia ya bonde la umwagiliaji Ulemo-Zinziligi-Mbelekese lililopo katika halmashauri ya wilaya ya Iramba mkoani Singida. Aidha Mndolwa amewaelekeza...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu awaomba viongozi wa Yanga wapotezee suala la Kagoma ili aweze kucheza Simba

    Nafahamu undani wa Suala la Yusuf Kagoma, ni kweli Kagoma alisaini mkataba Yanga, na baadae akasaini Simba. Najua kutokwenda kwake Yanga na badala yake kusaini Simba hata sio Masuala ya Fedha. Tutatumia muda sana tukitaka kuchimba haya. Kagoma ni mtoto wetu, Yanga ni Club kubwa sana na...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba Atumia Usafiri Wa Treni ya Mwendokasi kutoka Dar hadi Dodoma

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba,Ambaye ni waziri wetu wa Fedha ametumia usafiri wa Treni ya Mwendo kasi kutoka Dar kuelekea Dodoma.ambapo Mheshimiwa Waziri ameonekana akiwa amejaa Tabasamu na furaha kubwa sana katika uso wake akiwa ndani ya usafiri huo. Ambao...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba Ammiminia sifa na pongezi Rais Samia kwa kuendelea Kuaminiwa na Viongozi Mbalimbali Duniani

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Amemmiminia sifa na pongezi Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,kwa kuendelea kubeba imani na kuendelea kuaminika na viongozi wenzake Duniani Kwote. Hii ni...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba: Ni ushamba kugombana kisa uchaguzi, tuendelee kumuombea Rais Samia

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu amewaasa wananchi kuacha kugombana kwa sababu za siasa kwani kitendo hicho kinasababisha maafa, yatima, wajane na kukosekana kwa amani. Dkt. Nchemba ameyasema hayo kwenye kilele cha Makambi alipokuwa akizungumza na waumini wa Kanisa la...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu umewadanganya Wastaafu, Bunge na Rais. Laana ya wazee mtaiona

    Leo mkijifanya mnasherehekea kwa mbwembwe na ukwasi mkubwa kumbukumbu ya mashujaa, nimekaa hapa na askari mstaafu wa JWTZ aliyeishia cheo cha Staff Sargent na alikatikia mguu akiwa vitani Uganda 1979 na mzee huyu analipwa pension na Hazina shs 100,000/ kwa mwezi. Hawa ndio wastaafu ambao baada...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Mawaziri wengine jiandae mikeka bado inatoka Ikulu

    Ikulu wametoa taarifa kwa umma juu ya utenguzi wa baadhi ya viongozi kwenye baadhi ya taasisi za Serikali ikiwamo Posta na TTCL kwa viongozi wake wakuu na bodi kuvunjwa Hiyo ni dalili kuwa bado yamkini hali si shwari kwa baadhi ya mawaziri waliobakia madarakani na wakubwa wengine wanaotumikia...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

    Wanabodi, Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu. Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini...
  15. JamiiForums Tanzania Japo hatukupangii, mtumbue na Mwigulu Nchemba ili tujuwe nani mmiliki wa hizi timu za Ligi Kuu

    Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther. Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga. Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Mtani wangu Mwigulu Nchemba tafadhali naomba uniazime hata kwa muda tu Mganga wako niwaazime Simba SC kwani anajua mno

    Kama Mama hakuoni pamoja na Kelele zote juu yako na bado uko tu naamini hata Simba SC yangu hii ambayo kwa sasa ikiwa kwa Farao Misri huku ikiogopa Kuthubutu kucheza Mechi ya Kirafiki ya maana kama Wanaojitambua nini wanafanya Yanga SC waliocheza yao majuzi kwa Mkaburu South Afrika ikimtumia...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu, ni nani mwenye kumiliki app za mikopo ya online? Je, wamesajiliwa kufanya hii biashara kihalali?

    Waziri wa Fedha, Dr. Mwigulu Nchemba , tunaomba kujua huyu mtu ni nani hasa na je, BOT walimpa leseni ya kufanya hii biashara kihalali hapa nchini? Na kama ana leseni, basi Waziri Mwigulu hebu chunguza leseni ya huyu bwana kama imetolewa kwa njia halali hasa kutokana na riba wanazochaji, muda...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt.Tulia, Dkt. Mwigulu, Dkt. Nchimbi, Paul Makonda na January Makamba ni hazina kwa Tanzania ijayo

    Haiba, hulka, maono, mipango, mitazamo na utendaji wao una viashiria, sifa, vigezo na uelekeo wa nafasi za juu katika uongozi wa nchi. Hii ni kwa mujibu wa haki, maoni na mtazamo wangu huru kikatiba.. Nachelea kuwasihi wananchi na waTanzania wote kwa ujumla, kutafakari jambo hili muhimu sana...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan mfukuze kazi Waziri Mwigulu Nchemba kuepuka wananchi kukufukuza wewe kazi 2025

    Ukweli mchungu kwa Rais Samia, Serikali na chama-tawala CCM ni kwamba wananchi wamechoshwa mno na janga la ufisadi uliobadilika na kuwa utamaduni wa watendaji wa Serikali ya CCM. Kitendo cha afisa wa umma TRA kukutwa na pesa taslimu nyumbani kwake 7bilioni ni ishara mbaya sana. Huyu ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini TRA wasigawe EFDs badala ya kuziuza?

    VAT ni kifupi cha Value Added Tax. Ni kodi inayotozwa kwenye bidhaa, huduma, na mali isiyohamishika ya shughuli yoyote ya kiuchumi wakati thamani inapoongezwa katika kila hatua ya uzalishaji na hatua ya mwisho ya mauzo. Viwango ni 18% kwa usambazaji wa kiwango cha kawaida, na 0% kwa mauzo ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…