mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

    Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
  2. JamiiForums Tanzania Leo ni mwisho wa mwezi, akaunti yako inasoma sh. ngapi?

    Wakubwa wa jukwaa kwema? Leo ni mwisho wa mwezi, naamini wafanyakazi wengi mshapokea salary. Vipi leo akaunti yako inasomaje?
  3. JamiiForums Tanzania Kuanzia Tarehe 1-7 Agosti, NCHI itasimama! Chawa Watashangazwa. Kwa Sasa MIOYO yao imefanywa kuwa Migumu ili washangazwe

    Wakuu Kwa Ufupi naendelea kurudia kile kile nilichokisema Jana !! Hamna Uchaguzi Oktoba 2025. LISSU anaachiwa. Reforms zitafanyika. Ili haya yote yatimie, Kuanzia tarehe 1-7 ya mwezi ya Nane Kuna matukio yanaenda Kuwashangaza Machawa kwelikweli !! Oyaa Machawa wa Mama, Narudia, Mwisho wenu...
  4. JamiiForums Tanzania 💰 Jinsi ya Kutengeneza Tsh 300,000 kwa Mwezi Ukiwa Mtandaoni (Hata Bila Mtaji Mkubwa)

    Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako. Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni. Sio kweli. Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu tutamwachia August asijefikiri anaogopwa. Na tutamshinda uchaguzi mkuu

    Hatuna maneno mengi. Kwetu KAZI zinajieleza zenyewe. Lisu hana ubavu wa kuchuana na Mama mwenye uwezo wake. Lisu mwenyewe juzi amekiri hilo. Unakumbuka siku Lisu alipokuwa Mahakamani amevaa tisheti imeandikwa One Heart one love. Kamuulizeni sababu. Ila mkae mkijua Lisu mwenyewe Kasanda. Hiyo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Mtandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi mmoja. Faida na hasara zake ni nini? Tufanyeje?

    1. Kwanza ni-declare Interest, Mi ni moja ya wanufaika wa Internet. Nimejiajiri kupitia internet na cycle yangu kubwa ni hawa influencers, freelancers, content creators, advertisers, etc. 2. Pili lazima tukubali Kodi ndio inaendesha uchumi wa nchi yoyote Ile duniani. Huwezi endesha nchi bila...
  7. D

    JamiiForums Tanzania YAS Postpaid bundle

    Naunganisha YAS POSTPAID BUNDLE kwa uharaka sana Hakuna gharama za ziada ili upate huduma Kigezo kikubwa ni Pesa ya kifurushi chako. UNLIMITED YA 100,000 hii tunakuunga hata kwenye simu yako ya mkononi Wasiliana nami whatssap +255 765 991551
  8. JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa nane sasa bila kufanya mapenzi

    Na hakuna mpango hata mmoja niliopanga kuhutimiza ukatimia. Nilijua nikiachana na shughuli za uchakataji kwa takribani nusu mwaka nitapiga hatua kwa kiasi fulani, walau pesa ambazo ningepigwa vizinga nizichange change nikanunue kiwanja Kiruvya, hakuna hata kimoja kilichotimia Naanza kupatwa...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha ya muajiriwa wa kawaida kabisa hapa Tanzania kwa mwezi yanasikitisha sana

    Maisha ya muajiriwa wa kawaida kabisa hapa Tanzania kwa mwezi yanasikitisha sana Kodi -200k Usafiri-200k Chakula 200k Umeme -30k Maji -30 Matumizi binafsi-200k Savings 100k Yaani huyu ni mtu anayepata 940k as net per month anaweza kujenga kweli ?? Je wewe unalipwa shilingi ngapi ??
  10. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Sofa (L-shape) imetumika mwezi mmoja tu inauzwa

    hii sofa ni balaa inanesa nesa tu ina spring yaan bado ina hata karatasi kwenye hizo gold ni full white lether afu ngumu ni L shaped na ina sehemu za kuchajia simu bei yake mpya kabisa ni 650000 au 700000 mimi hii nimeitumia karibia mwezi mmoja tu utaipata kwa 500,000 mahari Dar es...
  11. K

    JamiiForums Tanzania JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

    Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August. CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu. Mbowe amefikia...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Nikiwa Mbunge kwa mwezi tulilipwa Sh 12.7m, sasa nadhani wanalipwa Sh 18m

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza na Wasafi FM, jana Julai 15, 2025 katika Kipindi cha Jana na Leo.
  14. JamiiForums Tanzania Aliyenyimwa Fomu sio super black tu hata yule katibu mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja tu na yeye alinyimwa

    Wakuu , ukimtoa super black pia hata yule jamaa katibu Mkuu kiongozi aliyekula mshahara wa mwezi mmoja . hakupewa fomu pale Bukoba. Yote haya mtayapata kesho
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua mwezi wa kuripoti chuo

    Kwani tulio maliza form iv mwaka huu tukapangiwa chuo tunaweza kuanz kuripoti lini
  16. B

    JamiiForums Tanzania PENDEKEZO LANGU MWEZI JULY UITWE FRIDGE

    Hiyo siku ya Jana nimeimaliza kwa vichomi na kutetemeka hali sio poa baridi kinoma..vipi huko mikoani wenzetu Hali ikoje mwezi JULY 🥶🥶
  17. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Waziri Mkuu wa Kutogombea Ulitabiriwa Kikamilifu Mwezi April 2024

    Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu. Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania itafanya uchaguzi mwezi oktoba na Kazi itaendelea

    Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea. Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…