MIMI:- Mwalimu, nina swali 🙋🏾♂️
MWALIMU:- Ni lipi? 🙄
MIMI:- Unamweka aje tembo ndani ya friji? 😜
MWALIMU:- Sijui 😒
MIMI:- Ni rahisi sana, unafungua friji na kuweka tembo ndani 😁
MWALIMU:- Sawa 🙊
MIMI:- Na unamweka aje punda ndani ya friji? 😜
MWALIMU:- Rahisi sana, unafungua friji na...