mwenzetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Mtanzania mwenzetu anatufuta ndugu zake. Anayemfahamu asaidie.

    Alipata ajali akapoteza kumbukumbu
  2. Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  3. Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
  4. Hii Gari Millioni 12.8 anauza kweli uyu Mwanetu?

    Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu! Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha: Izo...
  5. F

    Hatuwezi kuhalalisha mauaji ya aina yoyote, suala la mauaji si suala la dini ya mwenzetu kama wanavyodai hao masheikh ubwabwa. Ni suala la kila mmoja

    Nimeona clip ya masheikh ubwabwa wamepandwa na jazba wakitaka watu wasiandamane na wale watakaoandamana watawakata vichwa! Sijaona polisi wakitoa tamko kulaani au kukamata watu wanaotishia kuua watanzania ambalo kimsingi ni kosa la jinai. Wamesema wanatuma wenzao 3500 kwenye misikiti ili...
  6. TANZIA Mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia

    Mwanasimba mwenzetu na mwandishi wa BBC Eric David Nampesya amefariki Dunia. Muda mfupi uliopita nimeongea na mke wake amenithibitishia kuwa Eric hatunaye. Eric alikuwa shabiki na mpenzi mkubwa wa Simba na Liverpool ya England. BWANA ametoa na BWANa ametwaa jina lake lihimidiwe Amen
  7. B

    PreGE2025 "Anayejiita CHADEMA asiyeamini kwenye "no reforms no elections" huyo si mwenzetu!" Miluzi mingi ya nini?

    Haipo haja ya kumung'unya maneno wandugu, wala kuendelea kulea pimbi. Imesikika miluzi mingi mara oooh: Mbowe apewe heshima yake anayostahili!! Mara oooh: Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema Kwani nani ana taabu na mwamba, Boni...
  8. T

    Mwenzetu kagundua njia rahisi ya kuwatofautisha Pacha wake

  9. Wajumbe wenzangu wa CHADEMA huyu Pascall Mayala naye mjumbe mwenzetu?

    Nimeskia jina la wajumbe wa kanda ya Victoria moja ya majina niliyoskia ni Pascal Mayalla je nae ni mjumbe wa CHADEMA kanda ya Victoria au ni jina tu sio huyu tuliekuwa nae humu mzee wa physical power
  10. Mbona hatumuoni shabiki mwenzetu wa Simba bwana Mchome tukifurahi nae baada ya Yanga kutolewa Ccl na Simba kuingia Robo fainali CCC

    Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
  11. Naomba mpigie Kura Mtanzania mwenzetu

    The link is on his bio click it and it'll open a browser, select "sports creator of the year " category, scroll down until you see @zerobrainer0 then VOTE NOW https://vm.tiktok.com/ZMkSX5WBV/
  12. Mwenye uzi alioandika Jf ,mwanachama mwenzetu, raraa-reree,auweke hapa tafadhali!

    Ninawasilisha! Merry Xmas and Happy New Year 2025
  13. Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

    Na hii ndio taarifa yake Habari ya asubuhi wana familia. Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata clavicle dissociate (mfupa wa bega ulipishana. Na nilimuona bingwa wa mifupa tukapata matibabu (arm...
  14. Mwanasimba mwenzetu micky jnr ameumia sana simba kukandwa.

    I salute you kinsmen. Huyu mwandishi kanjanja na tapeli tapeli kutoka Ghana na shabiki kindakindaki wa simba yetu aka chupi upande naona wazi kaumia sana na matokeo ya jana sanaa. Kumbuka aliahidi hatokuja kuwapost yanga kwa lolote, inshort amekuwa akiweka habari negative tu za yanga jla zile...
  15. Fred Vunjabei ni haya haya Mapenzi ambayo nasi tunawapa Mademu zetu au Mwenzetu unampa ya ziada divathebawse hadi anakupenda kwa Kukufuru?

    @divatheebawse amefunguka kuhusu penzi lake na @fred_vunjabei na kuweka wazi swala la kuzaa wote watoto wa tano. Mbali na hivyo pia anasema kwa sasa ana furaha zaidi kuwa kwenye penzi zito na Fred Vunjabei kwani kabla ya hapo hakuwahi kuwa na furaha kama aliyokuwa nayo kwa sasa. Ameyazungumza...
  16. Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

    Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado...
  17. Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali

    Sasa hutavaa miwani tena hii hapa dawa ya kupoteza kuona imeshagunduliwa na mtanzania mwenzetu wazungu waikubali. Source ya hii habari...
  18. A

    KERO Mtaro unaharibiwa sababu ya kupitisha malori ya mchanga, anayetuhumiwa na uharibufu huu anajulikana, achukuliwe hatua

    Nafikisha lalamiko langu juu ya mkazi huyu wa Mbezi Beach kwa Dokta Hiza. Huyu bwana anafanya ujenzi wa nyumba yake, na kuacha malori yanayopeleka mchanga na vifaa vya ujenzi yapite hapa kwenye mtaro wakati mtaro huo hauwezi kustahimili uzito huo na kupelekea kuanza kumegua mtaro huo. Njia...
  19. Video: Aisee! Kumbe ni mwenzetu bwana

    Angalia mpaka mwisho hii video.
  20. Waliandamana kufelishwa na NECTA kwenye elimu ya dini kipindi cha Ndalichako, wamemweka wakwao lakini matokeo ni yaleyale

    Kuna miaka waliandamana ati Dr Ndalichako alikuwa anaharibu matokeo ya vijana wao wenye dini. Sasa hivi yupo mtu wa upande wao lakini hali ni ileile. Ni muda muafaka tuanze kutafuta suluhisho sahihi nje ya mihemko ya imani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…