mwenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mlokole mwenzangu nisikilize! Usimwambie mtu, "kuwa na hofu ya Mungu"

    Mungu hahofiwi bali anapendwa, anatukuzwa, na anaheshimiwe. Muda mfupi uliopita nilikuwa kanisani ambapo mtoto mmoja alimpokonya mwenzake pipi, yule aliyepokonywa akalia. Mchungaji akamwambia yule mpokonyaji, "mungu anakuona", yule mtoto aliyeambiwa hivyo alizimia kwa hofu ya kuonwa na mungu...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu usikate Tamaa ya maisha

    Hakika haya Maisha Hayana Huruma Kwa Sisi wanaume ndio mana tunatakiwa tuyatafute popote pale pale sababu bila huu mchezo wa Hela ya Dunia ya leo tunakuwa sio lolote Kwa jamii. Tunaonekana tumechanganyikiwa tukiwa tunatafuta haya Maisha. Tunaonekana tunaviburi tukiwa busy na kutafuta haya...
  3. JamiiForums Tanzania Masikini mwenzangu, unakubaliana na hii mada?

    Masikini wanatumia nguvu nyingi sana kutaka kuwaaminisha jamii kuwa ni matajiri, kwa kununua vitu vya anasa anasa visivyo zalisha; mfano, masikini atapambana sana kununua nguo za gharama, mikufu na micheni ya gharama, saa za gharama, magari ya gharama, kukodi usafiri binafsi kwa gharama n.k...
  4. JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  5. JamiiForums Tanzania Wairan wenyewe ni mashabiki wa US na Israel ila wewe mwenzangu wa daraja mbili unalaani vikali matendo ya mabwenyenye😁😁

    Ni kipi haswa ulichosimamia😁😁 muuaji ayatollah anaeua watu wake kwa ajili ya madaraka au watu wa iran ambao kiasili ndio wenye nchi? Hakuna unajua wewe zaidi ya ushabiki, unashibikia IRGC kwa maana wana wakilisha unyama ulionao ndani yako na unyama wa itikadi mnayo share nao.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda, Mzazi mwenzangu hataki kuwahudumia watoto kisa naishi nao mimi

    Miaka mitano ya ndoa ilitosha kutufanya tuwe wazazi wa watoto wawili wa kike na kiume, wa kwanza kike na wa pili wa kiume, aliye mkubwa kabisa kwa sasa ana umri wa miaka 6 na mdogo ana umri wa miaka 3 na nusu japo baada ya watoto hawa, ukurasa wa ndoa ulifungwa kwa kuwa tulishindwa kuendelea...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwenzangu amepata kazi Tanzania

    Yupo na watoto watatu na mke anataka kuja Tanzania mshahara ni 400,000 Tsh anaeza ishi wapi Dar kwa mhindi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzangu amerudi kula sikuu analalamika ndugu zake kumkomalia kwa nini haoi.Amesema mwaka huu haendi.

    Yupo hapa kijiweni kwangu. Tangia asubuhi ni Farasi Mweupe, ambiance, Kitoko na Kigogo. Anasema ndugu zake walimuweka kiti moto kiasi cha kuishiwa raha ya sikukuu. Kwa nini hauoi na una miaka 47. Jamaa kachukia sana. Leo kafikia kwangu toka Safari na kibegi chake cha mgongoni. Kaanza...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu, huu ndio wakati mgumu sana. Xmas iahirishwe

    Mwanaume yeyeote atanielewa! Nimepigiwa simu na Jane, samsing yangu ya siku nyingi sana. Ananisalimia tu na kuuliza Xmas nina mpango gani. Sijakaa sawa Mwajuma naye kanitumia messeji, eti ana nimisso! Wiki iliyopita Blandina alinielleza wai wazi kuwa Xmas anategemea zawadi ya simu mpya...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kijana mwenzangu nakushauri lakini uamuzi utakuwa juu yako na ikiwa ni lawama basi utazielekeza kwako mwenyewe

    Nimeandika ujumbe huu ili baadaye Muumba asinilaumu kwa kushindwa kutoa neno linaloweza kuponya maelfu ya vijana wenzangu Tumekuwa tukijadili mada nyingi hapa JF kwa muda mrefu sana hasa mada tata ambazo zinafundisha nidhamu, mada zilizopelekea mzozo mkali lakini baada ya wasomaji kutuliza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama unaikumbuka Mitandao hii ya Bongo ya Miaka ya 2000s wewe ni legend mwenzangu

    kuanzia 2003 nikiwa bado shule ya msingi niliweza kuujua ulimwengu wa internet kupitia internet cafe ya mjomba, ilikuwa biashara inayolipa vizuri enzi hizo, Enzi hizo kuunganishwa internet uwe na simu ya mezani ya ttcl kupitia nyaya za nguzo zao. Hii ni mitandao iliyokuwa maarufu 1...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu badala ya kupiga Nyeto au Kununua dada poa heri ufanye haya

    Wajomba! Mahusiano yamekuwa kama ajira kwa wanawake sababu wanaingia kuvuna vitu viwili kama sio 1. Pesa 2. Furaha na yako yote Bwana eeh hapo juu hakuna chochote cha maana we kama vipi NUNUA TU NYAMA YAKO PIGA PITA HIVI hayo mengine tuyaache. ukishindwa mahusiano NUNUA kula pita hivi
  13. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu fanya hili zoezi kila siku asubuhi na jioni

    Zoezi rahisi sana unalifanya ukiwa hata sebuleni kwako.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Upendo Mkuu Kwa Rais Samia, Kama Mwanadamu Mwenzangu.

    Ushauri huu ni wa upendo mkuu. Na upendo ndiyo amri kuu tuliyopewa na Mungu wetu. Tena tunaulizwa, utawezaje kusema unampenda Mungu usiyemwona wakati unamchukia ndugu yako? Ninaamini Rais Samia ni muumini wa Mungu, mtu anayeamini katika maisha baada ya kifo, hukumu ya Mungu, na ufufuo wa wao...
  15. JamiiForums Tanzania Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

    Habari zenu wakuu, niko kitandani hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana kwa kulala na mke wa mwana JamiiForum mwenzangu. Huyu mwanamke nilikutana naye facebook, chanzo hasa mpaka cha kukutana facebook ilikuwa hivi, Baada ya kuona kuwa na mpenzi hapa mjini ni gharama sana, niliingia facebook...
  16. JamiiForums Tanzania Natakiwa kufanya nini nikimwona member mwenzangu wa hapa jeiefu?

    Wakuu naomba mwongozo. Kwa mfano upo zako uko kitaa unamuona jamaa amechill sehemu anaperuziperuzi kurasa za jeieFu huku anachekacheka. Unatakiwa ufanyaje yani kwa fellow member kama huyu? Je ni busara kula buyu tu kama vile huijui hata iyo jeiefu yenyewe na ukaendelea na yako? Je sio...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni bodaboda, basi zingatia haya bodaboda mwenzangu!

    Sheria si za mamlaka bali zimewekwa kulinda mwananchi kama wewe pale majanja yanapotokea.
  18. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri mwenzangu amekataa kabisa kushave maeneno nyeti adai it's against the tradition ,

    Wadau hamjamboni nyote? She has refused to shave her private areas,it's against her tradition. I don't like it at all This is so serious kindly advise
  19. JamiiForums Tanzania Mfanyakazi mwenzangu amenitamani kisirisiri, ananionesha ishara ila hafunguki

    Leo alikuja ofisini kwangu, akaongea ongea ila nilihisi tu hayuko sawa, ghafla akanirukia akanikumbatia kwa sekunde kadhaa huku ameficha uso wake, baada ya muda aliniachia akaondoka kwenda ofisini kwake bila ya kuniambia chochote. Kabla ya tukio hili Kuna siku tulikua tunaongea, kumbe alikua...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nashangaa mzazi mwenzangu bado ana number yangu ya simu mpaka leo.

    Aliondoka nyumbani hapa na watoto na kila kitu chake tena kwa nyodo,akajiapiza hatokaa anitafute kwa lolote na number yangu ya simu anafuta. Sasa leo ktk kuperuzi huko whatsapp nakutana na status yake kaweka vifungu vya biblia, nijuavyo mtu kama hana number yako akiweka status wewe huwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…