mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kesho Machi 31, 2022

    MWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KESHO. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan ataongoza kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, tarehe 31 Machi 2022 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa White House.
  2. CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan iko imara kuliko kipindi chochote

    Toka Chama cha Mapinduzi kuundwa mwaka 1977 kimepita baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union na Afro - Shiraz, CCM imekuwa Imara, Bora na yenye mshikamano kuanzia ngazi ya chini kabisa mpaka ngazi ya Taifa kuliko kipindi chochote cha uhai wa CCM. Kabla Mama Samia...
  3. Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

    Jambo all Member's JamiiForums! Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake. Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni. Lakini, Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la...
  4. M

    Huyu mwenyekiti wa Uvccm Dar anajitambua kweli? Yaani hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 ndio imemuachia huru Mbowe?

    Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. 👇
  5. Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

    Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
  6. H

    Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Bonyokwa atuhumiwa kuhifadhi wahalifu!

    Serikali ya Mtaa wa Bonyokwa iliyopo Kata ya Bonyokwa katika Manispaa ya Ilala anatuhumiwa kushirikiana na baadhi ya Polisi ambao sio waaminifu kutoka Kituo cha Polisi cha Stakshari kuwalinda wahalifu ambao wameendelea kufanya uhalifu Kwa wananchi wa Mtaa huo . Mwenyekiti ambaye anajulikana kwa...
  7. Steve Mguto, mwenyekiti wa timu ya Coastal Union atungiwa wimbo wa kufukuzwa kwenye timu

    Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
  8. Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  9. Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
  10. Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
  11. B

    Zakuambiwa: Kwanini CCM wamemruhusu Mwenyekiti wao akakutane na Msaliti wa Taifa? Je, bado wanaamini Mbowe ni Gaidi?

    Chama Cha Mapinduzi Kwa miaka zaidi ya mitatu walifunga milango ya fahamu waliyopaswa kutumia kuwasiliana na Mwenyenzi Mungu kumwombea hekima wakamruhusu shetani atumie ndimi zao kupandikiza chuki baina ya wanaomwamini Mungu na wanaoamini madaraka. Viongozi kadhaa wakiwemo UVCCM walitoka...
  12. TFF yasikitishwa na msiba wa kigogo wa Chama cha Soka cha Dar es Salaam (DRFA)

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  13. Temeke: Meya wa Manispaa aanzisha kampeni ya kuuza Shule ya sekondari Kurasini kwa Mwekezaji

    Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa. Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
  14. F

    Mwenyekiti CCM Moshi Mjini atumia msiba kuwashambulia waliobwagwa kura za maoni 2020

    Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
  15. 5

    Pemba: Mwenyekiti mpya ACT Wazalendo apokewa rasmi leo

    Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa juu kabisa Ndugu Zitto Kabwe
  16. Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  17. Mwaka kesho (2023) Mbowe atake asitake lazima aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA

    Mwaka kesho 2023 ndo muda ambao mwenyekiti Mbowe, aliazimia utakuwa mwisho wake kuwa Mwenyeketi wa Chama Chetu. Kwa hali ilivyo now, bado tunamuitaji Sana Mbowe Kama mwenyekiti, akilazimisha kuachia ngazi, wanachama tumlazimishe we still need him. ATA uko upande wa pili kina Mangula na Kanali...
  18. M

    Katibu Mkuu CCM Taifa na Sekretarieti ya CCM Taifa kufanya ziara mkoa wa Simiyu

  19. M

    Godbless Lema ndiye mwenyekiti ajaye wa CHADEMA

    Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei. Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka...
  20. J

    Unapomsikia Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mstaafu Ole Sabaya akidai kesi yake ni "ya Kutengenezwa" unajifunza nini?

    Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza" Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza? Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…