mwenyekiti wa tume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya jaji mkuu mstaafu Mohamed chande othman, mwenyekiti wa tume ya rais ya kuchunguza matukio ya October 29 mwaka 2025

    HOTUBA YA MHE. JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMAN, MWENYEKITI WA TUME YA RAIS YA KUCHUNGUZA MATUKIO YA GHASIA NA UVUNJIFU WA AMANI YALIYOTOKEA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA, 2025, WAKATI WA KUWASILISHA RIPOTI YA TUME DAR ES SALAAM, TAREHE 23 APRILI 2026 ·...
  2. JamiiForums Tanzania CV ya Mwenyekiti wa Tume ya matukio ya 29/ 10, Jaji Mohamed Chande Othman

    Ustadi wa Jaji Chande katika Sheria ya Kibinadamu ya Kimataifa, Sheria ya Wakimbizi, Sheria ya Jinai na Sheria ya Ushahidi unamfanya kuwa kiongozi bora siyo tu duniani bali eneo lote la Afrika Mashariki wa uchunguzi wowote muhimu unaohusisha hasara ya maisha na uwajibikaji wa serikali. Hii...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika apongeza Uchaguzi wa Uganda na kumpongeza Rais Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena

    Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika amepongeza mwenendo wa uchaguzi nchini Uganda na kumpongeza Rais Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena. Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mheshimiwa Mahmoud Ali Youssouf, amepongeza namna uchaguzi ulivyoendeshwa nchini Uganda na kumpongeza Mheshimiwa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Mwenyekiti wa Tume angekuwa anateuliwa na Lissu, CCM ingeshiriki uchaguzi?

    Salaam! Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa! Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec, Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NCIC Kenya yamfuta Kazi Makamu Mwenyekiti wa Tume kwa Kujihusisha na Masuala ya Siasa

    Tume inayosimamia kupunguza Migogoro ya kikabila na kuimarisha umoja wa kitaifa Kenya (NCIC) imemfuta kazi Makamu Mwenyekiti wake, Wambui Nyutu, kwa kushiriki siasa za chama kinyume na kiapo chake cha kazi. Taarifa hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa NCIC, Dkt. Samuel Kobia, baada ya kikao maalum...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Barua ya wazi kwa msajili wa vyama vya siasa, na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi: Mgombea urais wa CCM siyo halali

    Ndugu Msajili na Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi Awali ya yote nawasalimia, na nawatakia majukumu mema ya kazi zenu. Nimechukua fursa hii kuwaandikia barua, kama raia, mzalendo, na mdau wa utawala wa sheria. Kama mnavyofahamu chama cha CCM kimetangaza mgombea wake miezi kadhaa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mussa Zungu: Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, amewarudisha Wapinzani wote waliokimbia Nchi

    Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akiongea na wananchi wa Dar es Salaam katika Hagla ya uzinduzi wa soko la Nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vingunguti jijini hapo amesema: "Rais Samia amejivua mamlaka ya kupendekeza Mwenyekiti wa Tume, hayo...
  10. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mwambegele kuzungumza na vyombo vya Habari, leo Mei 12, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, Mei 12, 2025 atazungumza na Vyombo vya Habari. Ngoja tusikie atasema nini. Je, ni kuhusu CHADEMA kujitoa, Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, mgawanyo wa majimbo au nao wameikubali no reforms no...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati afariki dunia

    Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia. Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aapishwa kuwa mwenyekiti wa tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uhamiaji

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini Wakenya wameanza kumpigia debe January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya AU

    Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika(AU). Katika taarifa inayosambaa mitandaoni, Wakenya wanadai kuwa wamuzi wao...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Kuwa na Sifa ya Ujaji Hakifanyi Maamuzi yake kuwa ni ya Haki

    Kumekuwa na dhana inayotengenezwa na serikali ya CCM kwamba kwa kuwa Mwenyekiti wa NEC ni mtu mwenye nyadhifa ya ujaji basi ni wazi kwamba maamuzi yote atakayoyapitisha yatakua ni haki,na hayapaswi kupingwa na mtu yeyote au chombo chochote. Jamii inapaswa ielewe kwamba heshima ya maamuzi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, George Mandepo awekwa wakfu kuwa Shemasi

    Miezi kadhaa iliyopita Rais wa JMT alimteua George Nathanael Mandepo kuwa Katibu mtendaji wa tume ya kurekebisha sheria. Leo tarehe 25 January baba Askofu wa Kanisa Anglikana Tanzania dayosisi ya Dar es salaam Rev Jackson Sosthenes Jackson amemuweka Wakfu Adv Mandepo kuwa Shemasi (mchungaji)...
  18. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais wa Zanzibar amemteua Jaji George Joseph kazi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Jaji George Joseph Kazi ameteuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ataapishwa tarehe 28 Agosti, 2023 saa 8 Mchana Ikulu Zanzibar na wajumbe wa Tume hiyo. Uteuzi wake unaanza leo 24 Agosti, 2023...
  19. JamiiForums Tanzania Napinga Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wengi wa Law School

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza masuala ya Law school, ikiwemo wanafunzi wengi kufeli mitihani, anapaswa kuwa mtu Muungwana, Mtulivu, Msikivu na asiye na makuu, anapaswa kuwa mkweli, Mwakyembe hana sifa hizi. Napinga uteuzi wa Harisson Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume hii kwa vile Haaminiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…