Bila ubishi Kapembe anachukua kiti cha uenyekiti.
Manunga alitumia pesa tu ambazo zilimpa uenyekiti bila ridhaa ya madiwani.
Leo ametimuliwa. Hata uchaguzi ukirudiwa sasa hivi Kapembe anashinda.
Hongera sana Prof. Makenya Abraham kwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa TCU.
Tunakupongeza kwa uteuzi huo na tunakuombea Mungu akupe hekima katika kuliongoza jukumu hili muhimu.
Hata hivyo, kwa muda fulani kumekuwa na changamoto katika namna TCU inavyofanya maamuzi yanayogusa vyuo vikuu. Wakati...
https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT
------------
"Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi tulitarajia Waziri Joel Nanauka baada ya kupokea ile hundi aje awaeleze vijana kwamba bilioni 200 zipo...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasilino wa CUF, Mohamed Ngulangwa amejitojitokeza kuwania nafasi ya umakamu mwenyekiti wa CUF katika uchaguzi wa marudio wa chama hicho ulioamuliwa na Msajili wa vyama vya Siasa.
Februari 13, 2026 Msajili wa Vyama Vya Siasa alitengua ushindi wa Profesa Lipumba na safu...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo.
Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), Amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Adai ameanza kusakamwa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza.
Mwenyekiti huyo ameeleza yote hayo Katika ziara ilifanyika leo Februari 16, 2026, na Waziri Mkuu- Mwigulu Nchemba huko Muheza Tanga.
Maajabu mwenyekiti achaguliwe na chama alafu msajiri aje amtengue kwani mwenyekiti wa chama cha siasa aliteuliwa na msajiri?
Kwani msajiri ndio alimpa kazi mwenyekiti wa chama cha siasa haya mambo yalianza kama utani baada ya kuanza kuchezea chadema na ACT kwa kutumia ofisi ya msajiri sahivi...
Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza.
Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali.
Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
Umoja wa Madereva Bodaboda Jijini Mbeya umeiomba Serikali kuingilia kati mgogoro unaofukuta kati yao na Mwenyekiti wa umoja huo, Aliko Fwamba, anayetuhumiwa kushindwa kuitisha Mkutano Mkuu.
Wanachama hao wameeleza kutoridhishwa na uongozi uliopo kutokana na kutojua hali ya mapato na matumizi ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetangaza kumkamata na kumshikilia Bi. Getruda Japhet Lengesela, Mkazi wa Nsalala- Mbalizi na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Wilaya ya Mbeya Vijijini.
Taarifa kwa Vyombo vya habari iliyotolewa leo Ijumaa Januari 23, 2026 na...
Simaanishi kusema waliowahi kuwepo nafasi za juu hapo awali warudi, Hawastahili kurudi kwasababu walikigeuza chama kwajili ya maslahi yao.
Bila nia ya kubeza wala kupunguza mchango wa yeyote, ni muhimu kutazama hali halisi ya chama kwa jicho la kimkakati. John Heche ni kiongozi mwaminifu...
Kijana Deogratius James Ottaru (37), mkazi wa Kijiji cha Kirima Kati, Kata ya Kibosho Kirima, wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, amekutwa amefariki dunia ndani ya nyumba yake aliyokuwa akiishi peke yake.
Taarifa zinaeleza Drogratius (marehemu) alifariki takribani siku mbili kabla ya...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) Shaban Omary Matwebe, ampangoza Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Paul Makonda kwa kuamua kupambana kwa ajili ya kuhakikisha vijana waliojiajiri kwenye sekta ya Habari za mitandaoni wanapata mikopo...
Siku mbili kabla ya Uchaguzi nchini Uganda, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi nchini humo Simon Byabakama amefichua kwamba amepokea vitisho juu ya kutangaza mshindi katika uchaguzi huo. Byabakama alikuwa akizungumza na BBC mara baada ya kumaliza kutoa taarifa na vielelezo vingine juu ya zoezi la...
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.
Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.
Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.