mwenge

Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:

Butunduzi
Katooke
Kyarusozi
Kyenjojo

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukio la kumkatisha msoma report ya mwenge asiendelee kueleza madudu ya miradi si sawa na Raisi aliangalia tu

    Niseme tu kwa kipindi cha Jpm sidhani kama angekubaliana na situation ile ila huyu Mama hata sielewi uongozi wake,moja ya madudu kumbe kwenye mashule ndio wahandisi wa majengo ???? ...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya Mwalimu Nyerere

    Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage alipinga vikali ukabila na kusisitiza umoja katika taifa letu. Rais Samia Suluhu anaishi falsafa za Mwalimu Nyerere na kuzitekeleza kwa vitendo. Leo ikiwa ni siku ya kuhitimisha mbio za mwenge wa uhuru uliowaka nchi nzima kumulika maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi mnaona ubovu kwenye miradi ila mnasubiri Mbio za Mwenge

    Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi. Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki maadhimisho ya kilele cha Mbio za Mwenge Mkoani Kagera. Aagiza TAKUKURU na ZAECA kuchunguza miradi iliyobainika kuwa na wizi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Kilele cha Maadhimisho ya Mbio za Mwenge katika uwanja wa Kaitaba Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022 Hotuba ya Rais Samia - Rais Samia ametoa salaam na Shukrani kwa Viongozi wote waliohudhuria pamoja na...
  5. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi zimetangazwa Chuo kikuu cha Mwenge Catholic (MWECAU)

    1.0 Background: Mwenge Catholic University (MWECAU) is a secular, private and non-profit making institution of higher learning owned and managed by the Tanzania Episcopal Conference (TEC). The University offers holistic education based on profound principles of teaching and research, which is...
  6. JamiiForums Tanzania Beberu wa Waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake

    Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
  7. JamiiForums Tanzania Tumesimama kama lisaa hivi kusubiri msafara wa Mwenge upite

    Nchi yetu inakwamishwa na mambo ya kipuuzi sana. Hii iinatokea hapa morogoro mida hii. Imagine kwa lisaa tumeganda barabarani eti mwenge sijui unazindua kitu gani huko. Watu wanachelewa kanisani, na kwenye shughuri zingine eti mwenge ambao wako ndani ndani wanazindua na kufanya uzinduzi miradi...
  8. JamiiForums Tanzania Kero za Mwenge Barabarani

    Leo Hapa Shinyanga maeneo ya Maganzo tumesimamishwa kwa zaidi ya Masaa 2 kisa tunasubiri Mwenge upite tu Ila ki ukweli ni kero maana ebu ona mtu anaenda Mbeya afu unamsimamisha njiani ZAIDI ya Masaa 2 hii kero sana Wahusika wazingatie hili kwa kweli. Sent from my SM-A032F using JamiiForums...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba mnifahamishe vigezo vinavyopaswa ili mtu ateuliwe kuwa kiongozi wa mbio mwenge?

    Habari.Naomba kufahamu ni vigezo gani hutumika kumpata kiongozi wa mbio za mwenge?
  10. JamiiForums Tanzania Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Mwenge la mwaka 2022 lafanyika Kunming, China

    Tamasha la Mwenge la Kunming la mwaka 2022 limefanyika katika Kijiji cha Kikabila cha Yunnan, China. Watalii kutoka maeneo mbalimbali walicheza ngoma na muziki kwa pamoja kwa uchangamfu na kushiriki kwenye Tamasha la Mwenge la Mashariki na watu wa makabila madogo. Tamasha la Mwenge ni tamasha...
  12. JamiiForums Tanzania Machinga warejea upya Mwenge

    Pamoja na Kampeni iliyogharimu pesa nyingi ya kuhamisha machinga sehemu maalum. Kwa Sasa wamerudi upya wakiupiga mwingi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya system ya TAMISEMI juu ya chuo cha MWENGE CATHOLIC UNIVERSITY

    CHANGAMOTO KATIKA SYSTEM YA AJIRA ZA TAMISEMI Mwenge catholic university vimeingizwa vyuo viwili hali ya kuwa kipo kimoja tu hivyo vyuo viwili vinavyoyumia jina moja la mwenge catholic university kimoja kina course nne (4) ambazo ni (1) ordinary diploma in holder certificate of secondary...
  14. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa mbio za mwenge 2022 anaupiga mwingi

    Kwenye kukagua miradi yuko makini sana, anathibitisha yeye mwenyewe yaani kama VAR katika mpira. Tuliona akikagua ubora wa barabara, na sasa tunaona akikagua miundombinu mbalimbali akiwa mkoani Mtwara. Kwa hakika, huyu jamaa waliomfanyia vetting walichagua kiongozi bora natamani haya makeke...
  15. JamiiForums Tanzania Foleni kali tokea Bagamoyo road kutokea Mwenge; Je, aliyeweka rasta na matuta mapya akapimwe akili?

    Kuna foleni kali ya ajabu inayosababishwa na matuta na rasta mpya eneo la Lugalo zilizowekwa jana au leo nadhani, needlessly. Je, aliyeweka hayo matuta na rasta akapimwe akili? ============================ Wameondoa rasta ndogo ila bado tuta kubwa kama mlima limeachwa na linaendelea kusababisha...
  16. JamiiForums Tanzania Mbio za Mwenge: Wakimbiza Mwenge watumie vigezo vya kitaalam kukagua miradi

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia mambo ya ajabu katika ukimbizaji mwenge wa uhuru. Wakimbizaji mwenge siku hizi wamegeuka kuwa TASK FORCE ya ukaguzi wa miradi. Sina uhakika kama wakimbiza mwenge ni wahandisi au wataalam wa kukagua miradi na usimamizi wake. Kama picha hapo juu eti mkaguzi...
  17. JamiiForums Tanzania Harakati za Kiongozi Wa Mbio za Mwenge Mwaka 2022

    Kwa aina ya Ukaguzi Huu Huyu Kiongozi Wakimbiza Mwenge Anaonekana ni Mkuda SAna. . Ni Kwamba Hajui Kuna Aina Ngapi Za Lami?
  18. JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru: Alama ya Uzalendo

    Leo tarehe 02 April 2022 Mwenge wa Uhuru unawasha Mjini Njombe. Makamu wa Rais Dr Philip Mpango (PhD) na Waziri mwenye dhamana Prof Ndalichako (PhD) wanatoa hotuba zilizojaa Elimu, Hekima na Maelekezo sahihi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kupata fremu na gharama zake Mwenge

    Habari za wakati huu Wanajamvi wenzangu. Mimi ni mfanyabiashara, sasa Naamini humu kuna wafanyabiashara, au waheshimiwa wahusika wa maeneo ya mwenge. Ningependa kujua yale majengo mapya, maduka mwenge ,utaratibu gani unatumika kupata fremu pale, na je! Gharama zake zipoje? Ningependa kujua...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kauli ya Rais Samia inathibitisha kuwa ni wakati wa Mwenge wa Uhuru kuwekwa kando?

    Mwenge umelaaniwa na vitabu mbali mbali vya maandiko tofauti, mathalani kwenye Biblia kitabu cha Isaya 50:11 kinaeleza kwamba kwa kukimbiza mwenge tutalala kwa huzuni, kulala kwa huzuni ni kutofanikiwa kwenye mambo yako. Magufuli alitambua kuwa ili rasilimali zetu ziweze kutufaidisha ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…