Mwenge is a county of the Kyenjojo district in Uganda. It makes up the western half of the district. It contains twelve sub-counties and four town councils, namely:
Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC.
Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya kuwalipa watumishi wanaostahili. Hata hivyo, katika hali isiyo ya kawaida, hadi sasa hatujapokea...
Eneo la Mwenge katika Dar es Salaam limepewa jina kutokana na Mwenge wa Uhuru.
Baada ya Tanganyika kupata uhuru mwaka 1961, Mwenge wa Uhuru ulianza kukimbizwa kila mwaka kama ishara ya uhuru, amani na maendeleo. Eneo hilo lilikuwa mojawapo ya sehemu muhimu ambapo shughuli zinazohusiana na...
Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru
MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu.
Je ni kweli muliopo hapo mwenge?
Ngoja niwawekee na link musikilize na kusoma wenyewe Facebook
Boksi ambalo bado halijafahamika lina nini ndani yake limekutwa Kituo cha Mabasi cha kwenda Tegeta maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa mtaa wa Mlalakuwa, Suleiman Masare amesema kuwa boksi hilo lilitelekezwa tangu jioni ya jana Jumatano Agosti 5,2026.
Polisi washafika eneo la tukio...
Jamaa aliingilia msafara wa Mwenge huko Bariadi, Simiyu, Kijiji cha Nkololo. Hivi ndugu zetu baadhi ya askari na mgambo, mbona mna roho ngumu hivi? Haya maisha hamuwazi kwamba nafasi zenu zitaisha?
Kama alingilia msafara wa Mwenge, si kuna sheria zinazoweza kufuatwa? Huenda bwana huyu alikuwa...
Plot For Sale at Mwenge.
Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School.
Size: 1154.5061 SQM (12,427 SQFT).
Land use: Commercial/Residential.
Price: TZS 2.5B, Negotiable.
Document: Title Deed.
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
Mliokuwa hamjui ni kwamba;
Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..."
Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA IRAMBA TAYARI KUMULIKA MIRADI YA MAENDELEO
Mwenge wa Uhuru umewasili katika Wilaya ya Iramba ukitokea Halmashauri ya Manspaa ya Singida na kupokelewa rasmi na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Mwenda kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhe. Godwin Gondwe...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limebaini kuwa huduma ya umeme katika Jengo la Kituo cha Mabasi cha Mwenge inaendelea kuwa ya uhakika baada ya kufanya ukaguzi wa miundombinu kufuatia taarifa zilizosambaa zikidai kuwepo kwa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika eneo hilo...
Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO.
Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii.
Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge.
Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato vyao ni vya chini sana.
Usipolipia unahamishwa/unaitwa ofisi ya mkurugenzi ukajieleze.
Ndugu IGP, siku hizi kila ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa moja jioni kuna foleni ya kutisha njia hii. Watu wanakaa hata masaa mawili.kutoka Morocco kufika Mwenge.
Watu wanakushutumu wewe kuwa Msafara wako wa kutoka kazini, ni sababu mojawapo ya njia kufungwa, ili wewe upite. Hii ni...
Wana JF wenye kudadavua maana mambo ya serikali yanatumia CCM.
Na yeye kauli zake kadai mpaka CCM.Kama tukiamua msumeno utumike kweli japo katiba sijui kama ni muelewa maana hata wajibu wa sheria na katiba za nchi sijui kama anaelewa.
kuanzania sasa mwiguru na wengine wote CCM mshakatazwa kama...
bei
ccm
chama
katambi
kati
kuku
kuongeza
kupanda
kupanda bei
kutumia
maana
mkuu
mpaka
mwenge
nayo
ng'ombe
nguruwe
nyama
nyama ya ng'ombe
swala
ufugaji
ufugaji wa kuku
wako
waziri
waziri katambi
Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana vifaa vichache, wafanyakazi hawatoshi?
UFAFANUZI WA TANROADS:
Serikali kupitia TANROADS inatambua...
Hiki kipande cha Barabara ya Sam Nujoma kutokea Mwenge hadi Mlimani hadi kule karibia na simu2000 why hakikamiliki?
Kipande cha Mwenge Tegeta jamaa sijui wanajenga vipi yaani nashindwa kuelewa watamaliza lini maana ni kero
Ule mradi ukikamilika utasababisha foleni kubwa sana
Sam Nujoma hakua...
Halmashauri ya wilaya ya Chato inachangisha pesa kwa wafanya biashara kwa ajili ya mwenge. Wakusanyaji wanaongozwa na mtendaji wa kijiji
Soma Pia:
Viongozi wa Kijiji cha Mlimba B, Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero mkoani MOROGORO wananyanyasa wananchi
Manyara: Mtendaji wa Kijiji...