Nimewaita mara tatu , hivi nyie umbwa mwezi wa tatu sasa Kimara na Kivukoni hakuna huduma ya choo na mnasafirisha watu wa aina mbalimbali wakiwemo wagonjwa watoto etc, hivi kwenye nchi hiyo mnaweza nini? Kusimamia hata choo mnashindwa, then kuna matakataka utayasikia Sijui serikali ya mama nani...