10 Mke mwema kweli, apatikana wapi?
Huyo ana thamani kuliko johari!
11 Mumewe humwamini kwa moyo,
kwake atapata faida daima.
12 Kamwe hamtendei mumewe mabaya,
bali humtendea mema maisha yake yote.
13 Hutafuta sufu na kitani,
na kufanya kazi kwa mikono yake kwa bidii.
14 Yeye ni kama meli...