Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema Taifa limepitia mwaka wenye majonzi makubwa uliodhihirisha kupotea kwa mwelekeo wa maadili na mshikamano wa kijamii, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kurejea kwa Mungu, haki na kuheshimiana ili kulinda amani ya...
Moja kati ya maeneo yanayotajwa kuwa na uwezekano mkubwa wa kuliondoa bara la Afrika kwenye changamoto za umaskini na usalama wa chakula ni kuboresha sekta ya kilimo. Kutokana na bara la Afrika kuwa na ardhi kubwa inayofaa kwa kilimo, idadi kubwa ya watu wanaojishughulisha na sekta ya kilimo, na...
Hamjambo Wore.
1. Kama nitaulizwa Maswali nini kilifanya maandamano ya D9 yafeli na vuguvugu la maandamano yanayofuata kupoteza momentum ni pamoja na sababu nilizowahi kuzieleza.
2. Lakini sababu hizi Sikuzitaja katika posts zangu. Nazo ni;
a) Kudhibitiwa kwa Mange Kimambi.
Mpare huyu...
Nimemsikia simba chawene kuanzisha vitambulisho vya NIDA chini ya miaka 18.
Yani kwa nilivyo safiri na kujifunza kwangu nchi za nje, Vitambulisho vya taifa vipo kwa ajili kisheria ukishatimiza umri wa kujitambua ndio unapatiwa.
Kingine zaidi mfumo wa nida umekuwa kama kitengo cha wasajili...
Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi.
Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza.
Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu.
tukutane #D9 tukinukishe
Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
Miaka ya mwanzoni mwa 2010 ilikuwa zama za dhahabu kwa mashabiki wa filamu za Marvel Cinematic Universe (MCU). Kila filamu iliyotoka ilikuwa tukio la kusisimua. Kuanzia Iron Man (2008), The Avengers (2012), hadi Avengers: Endgame (2019).
Marvel ilijenga himaya ya hadithi zilizochanganya...
Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye mfumo wanaenda kutengeneza vitu vifuatavyo kwenye mfumo wao👇👇👇
Watu watatengeneza mifumo yao...
Ndugu Polepole ana hekima kubwa sana hata Mimi sina,alianza kuongea kama mwezi umepita kaeleza kwa kina kaonana na wasaidizi wa Rais wote kawaambia yoote,kaonana na Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa wote,kawaambia yoote,kamwandikia Mh Rais barua hajapata majibu yoyote na yoote aliyowaambia...
1: CNN
- Atafunsdishwa sympath juu ya ushoga na kwamba ni sawa kuwa shoga na kusambaza ushoga.
- Atafundishwa kuwa mwanaume sio tena ngome ya familia, ataishia kuvaa vipensi vifupi vya kubana mapaja na kwenda kulalamika kuhusu mke wake baa kwa marafiki zake bila kufanya maamuzi yoyote kisa...
Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kauli kama “Unaweza kutengeneza mamilioni ukiwa nyumbani” zimekuwa maarufu sana kwenye mitandao ya kijamii. Lakini ukweli ni upi? Je, kila mtu anaweza kweli kutengeneza pesa mtandaoni? Je, kuna njia halali na rahisi au kila kitu ni ‘scam’? Blogpost hii...
Hamjambo!
Kwa upande wangu, Paulo aka Sauli ninamchukulia kama mwandishi mashuhuri aliyepewa nafasi na Dola la Rumi Kwa Siri Ili kubadili uelekeo wa Ukristo na kuufanya uwe upagan.
Paulo/Saul: kiasili ni Myahudi
Raia; Warumi
Elimu: Farisayo, elimu ya juu ya Dini ya kiyahudi.
Paulo hakuwahi...
“Matokeo ya chaguzi ndogo mara nyingi hutoa taswira ya mwelekeo wa uchaguzi mkuu. Ikiwa chama ‘R’ kimepata ushindi wa zaidi ya asilimia 80 katika chaguzi ndogo, kuna uwezekano mkubwa wa kushinda kwa hadi asilimia 90+ katika uchaguzi mkuu. Hata hivyo, mwelekeo huu unaweza kubadilika endapo vyama...
Ni jambo la kusikitisha mno na linalotia hasira kwamba katika karne ya 21, bado tunashuhudia watu wanaojiona wasomi wakishabikia mfumo wa utawala wa kijinga, wa kisultani, wa kibeberu uliovaa joho la kidemokrasia lakini ndani yake ukificha kiini cha udhalimu, uonevu, upumbavu na utekaji wa haki...
Binafsi nikiri ni mchangiaji mzuri wa arusi ingawa ni utamaduni wa hovyo sana kukubalika katika jamii wa watu maskini na wanaojitafuta.
Kusema kweli wengi tunaoshirikishwa tunajikuta tunalazimika kutoa ili tusiwakwaze ndugu na marafiki kwa kuwa jambo hili hakuna viongozi wa dini hususan...
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia.
Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima.
Kisingizio?
Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.