mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  2. Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  3. Nigeria: Baada ya miezi 3 abaini 'house girl' ni mwanaume

    Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume. Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani...
  4. Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana?

    Habari Wana JF Huu mjadala nimeukuta mahali, nikaona ni vyema nikauleta huku nishee mawazo yenu. Ni sahihi mwanaume kupaka manukato yenye kunukia sana? Ni sahihi mwanaume kuoga mara tatu kwa siku? Kwa upande wangu mimi haya manukato yamenikaa mbali. Kila binadamu iwe ke/me ana uhuru wa...
  5. Mwanaume akikataa mimba au kukutelekezea mtoto, usitumie majina yake Kwa mtoto wako

    Kwema Wakuu! Lazima tutende haki, lazima tuseme ukweli. Wanawake wanamakosa Yao Kama tulivyo Sisi wanaume tunamakosa yetu. Na mwenye makosa lazima aadhibiwe, na akiomba Msamaha sharti asamehewa lakini adhabu inaweza kubaki palepale. Taikon huwaga ni mtu wa kuongea mambo magumu yasiyo rahisi...
  6. Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

    I'm very spiritual man. Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa. Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya kuishawishi nafsi ya dada huyo hata akiwa mbali, niliisemesha roho yake na kumwambia maneno mazuri na...
  7. Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

    Mapenzi yamenitoa machozi, Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana. Hasa pale atakapokua akiongea na wengine anakua na furaha, wakati akija kwangu anakuwa mkimya na mnyonge. Yani natamani nimfurahishe kwa...
  8. Mwijaku kuhusu H Baba kujitoa Konde Gang, mwanaume unaomba hela kwa mwanaume mwenzako, utamlipaje?

    Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake: “Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya...
  9. Jaji Mkuu Kenya, Martha Koome: Mwanaume anayeishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke anahitajika kuthibitisha mchango wake kwenye nyumba hiyo

    Jaji Koome anasema Mwanaume anayeishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke naye anahitajika kuthibitisha mchango wake kwenye nyumba hiyo. Kucheka tu huku ukiwa kwenye nyumba ya mwanamke ukibadilisha chaneli za runinga haiwezi kumpa haki mwanaume kumiliki sehemu ya mali ya mwanamke. Haya...
  10. U

    Ni kweli mwanaume ukiwa huna pesa unakosa kujiamini?

    Kaka yangu Mzabzab unalionaje hili? Mshana je? Hivi unaweza kuongeza confidence kwa ke kwa kutumia ndumba? Aisee kuna kiasi naamini, mtoto wa kiume usipokuwa na hela unapoteza kujiamini kabisa, hata kutongoza pisi kali unakuwa unaogopa kabisa. Aisee tutafute hela ili tuwe na ma confidence!
  11. "Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

    Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA...... Mwaka anayaweza kwelikweli
  12. J

    Simanjiro: Mwanaume wa miaka 30 amuoa kwa nguvu binti wa miaka 14 kwa ridhaa ya baba

    Na John Walter-Manyara Jeshi la Polisi mkoani hapa linamshikilia Mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Loswaki wilaya ya Simanjiro aliyejulikana kwa jina Lalahe Karoli (30) kwa tuhuma za kumtorosha na kwenda kuishi kinyumba na mtoto mwenye umri wa Miaka 14 kwa ridhaa ya Baba wa Mtoto. Kamanda wa...
  13. Mwanaume amekutwa live ana cheat na bado haja tusi nyumbani siku ya tatu

    Jamaa alianza mahusiano na rafiki wa mke wake. Baada ya kuaga anasafiri, kaka wa mke aliamua kumpeleka dada yake kula nyama choma. Huko ndiyo wapenzi wapya wa siri waliamua kwenda kula nyama. Baada ya kufumwa live akiwa kwanza Dar badala ya mkoani alikoaga anakwenda bado aliondoka na...
  14. K

    Anti wrinkles bora kwa mwanaume ni ipi na ya nchi gani?

    Jamani, nataka kujaua ni anti wrinkles products ipi nzuri kwa mwanaume
  15. B

    Inakuwaje mwanamke unampa hela nyingi halafu anaku-cheat na mwanaume ambaye ni masikini kuliko?

    Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard. Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea...
  16. Hivi kwanini wanawake wanampenda mwanaume anaepaka breach?

    Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako nazipenda sana nywele zake nikamwambia duh akasema ndio maana nasikia anakimbiza mtaa mzima sisi...
  17. Wanangu wote nitazaa na mwanaume mmoja

    Hii ni kauli ya warembo wengi hapa mjini...hivyo Basi wale wazee walio jibebea masingo maza wakae mkao wa kula. Msiseme hamkuambiwa.
  18. Kifomula; Roho ya Mungu humshukia Mwanaume wakati Roho za kishetani humshukia Mwanamke. (Siri kuu)

    KIFOMULA; ROHO YA MUNGU HUMSHUKIA MWANAUME WAKATI ROHO ZA KISHETANI HUMSHUKIA MWANAMKE. Anaandika Robert Heriel. Hatuandiki kumkashifu yeyote Ila tunaandika kufundisha na kuleta Uelewa wa mambo katika ulimwengu wa kiroho na elimu ya kimwili. Katika Dunia hii zipo pande mbili zinazolingana...
  19. Mwanamke peke yake hawezi kumkuza mtoto wa kiume kuwa mwanaume

    PAKA JIKE HAWEZI KUKUZA SIMBA DUME Mwanamke pekee hawezi kumkuza mtoto wake wa kiume kwenye kizazi hiki kipya, hii haijalishi mwanamke kaelimik kiasi gani, cheo, pesa, n.k. itakuwa ni ngumu sana, ponea ya mtoto labda awe na wajomba, ndugu wa kiume, n.k wenye muda nae, pia watoto wengine...
  20. Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

    Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…