mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanaume punguza stress na ongeza siku za kuishi Kwa kanuni hii ya 40%, 30%, 25%, 5% na 0%

    Aslaam, Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake. na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi. sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia. leo hii nataka nikupe hii kanuni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwanaume asie na uwezo wa kupata mtoto anahitajika

    Habari! Mimi pia nina changamoto ya hii.hivyo nimekuja hapa serious kama kuna mwanaume anauhakika anapito hili ambalo kiuhalisia linaumiza sana. lakini binafsi kisaikolojia nimepona nahitaji mwenza.nina miaka 41, nina degree.mume awe mcha Mungu,kiuchumi vizuri,.ndugu zangu ukiwa na changamoto...
  3. JamiiForums Tanzania Somo kwa wanawake: Usikubali kuishi na mwanaume kwa zaidi ya miaka 5 bila kufunga ndoa

    Acha kupumbazwa na ahadi lukuki zisizokuwa na kichwa wala miguu. Ukiona sehemu haina mwelekeo ondoka. Eti ooh! ~ "Subiri nijipange; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri tujenge; kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nipate hela ya kupanga vyumba viwili; Kisha tutafunga ndoa". ~ "Subiri nimalize chuo...
  4. JamiiForums Tanzania MADHARA YA UTANDAWAZI NA MUINGILIANO WA KIUTAMADUNI: Ni ngumu sana mwanaume wa sasa kuchomoka kwenye mitego ya Ngono.

    Nimeona video moja, Shehe kijana akilalamika hapa Dar kuwa wanapitia wakati mgumu sana watumishi wa Mungu kutokana na kuzungukwa na mazingira ya Ngono. Hii ni kweli na kwa wanaume wa sasa, bila kuwa na tabia ya kujitambua na kuwa na subira na kujiheshimu, ni ngumu sana kukabiliana na mazingira...
  5. JamiiForums Tanzania Nahisi nimebambikiziwa mimba

    Wakuu habari zenu, nilikuwa naomba ushauri wenu katika pitapita zangu za kupambana na maisha nikapata mda kidogo wa kukaa nyumbani mkoani. Baada ya kufika kuna kama stationary ipo jilani nikamuomba mwenye stationary nijishikize apo akasema hakuna shida, ni mtu ninaye muheshimu, ..... Baada ya...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya kustaajabisha: Mwanaume aliyeoa mara 130 na kutoa talaka zaidi ya 80

    ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE. Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

    Katika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya? Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha...
  8. A

    JamiiForums Tanzania UJINGA TU HUU: Yaani wanawake wamebarikiwa vitu vingi sana vizuri, Lakini MWANAUME akaacha vyoote akaamua kupenda makalio yao tu

    Hivi kweli hii inaingia akilini, Jinsi wanawake walivyo warembo, wanavutia, ni Raha kuwa nao karibu.. Lakini licha ya wanawake kuwa warembo na wanaovutia sana, imekuaje sisi wanaume tukaamua kupenda MATAKO Yao tu.. (yaani Just MATAKO) Hatuoni vitu vingine vya maana tunaona MATAKO YAO Kama kitu...
  9. JamiiForums Tanzania Apigwa shoti na kupoteza nguvu akiiba Transfoma ya TANESCO Manyoni

    Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni aliyepigwa na shoti ya umeme na kupoteza nguvu ya kutembea baada ya kuiba baadhi ya vifaa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Msambatavangu: Mtu mkorogo umedunda, sijui alisahau kupaka poda anataka kuja kutuchonganisha

    Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya === Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea. "Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Serious Question: Kati ya Pesa na Nguvu za kiume ni kipi Mwanaume hutakiwi kukikosa kabisa ?

    Asie na Pesa nyingi lakini kwenye 6 x 6 ni full package Au Mwenye pesa nyingi ila shughuli hawezi
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna nyakati ambayo mwanamke alishindwa kuzishinda limitation za mwanaume. Kwa wakati huu hii ndio silaha yao na hakuna vita itakayowashinda.

    Kila enzi mwanamke aligundua namna ya kuushinda ungangari wa mwanaume Yule Jamaa wa "Ooooh kabla sijajenga nyumba yangu nataka nikarabati ya wazazi" sasa hivi anatuma kodi ya miezi mitatu ya huyu tipwa tipwa 🤣 Najua Poor Brain anaelewa nachokimaanisha🤣
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzenu nimekutana nacho

    Habari ana JF natumaini mu wazima, Ipo hivi kipindi cha nyuma Kuna mwanamke niliingia naye kwenye mahusiano japo tulikua tunagombana sana ila kila nilipofanya juhudi kumuacha nilishindwa ilifikia mahali tunakaliana kimya nzima, lakini swala la kuachana hatuachani. Ivi Sasa ninavyo zungumza...
  14. JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI KWA MWANAUME KUJUA KUHUSU MAHUSIANO:

    Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi. Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu. 1. Jifunze kujidhibiti –...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume asiyependa makalio makubwa

    Leo nimekutana na video ya mmasai naye anasema anapenda nyash. Kwani hakuna wanaume wanaopenda wanawake vipotable wasio na makalio makubwa? Na kama wewe ni kama huyo mmasai, kwanini unapenda wanawake wenye makalio makubwa?
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake ni janga mwanaume ukiwa dhaifu utachenyentewa wazwaz na dharau juu, akisaliti muache on the spot vuta chuma mpya using'ang'ane

    Wanaume wezangu mwanamke akikusaliti achana nae hakuna kubembeleza hata kama mna watoto 10 mmeishi miaka 12 usisamehe daima utajutia baadae, usaliti ni sawa na mchawi akianza kula nyama tu haachi kamwe. Yangu hayo tu.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukisema uoneshe upendo kwa kumpa hela mdada, matarajio yako mara nyingi yatakua tofauti na uhalisia

    Habarini, Mda mwingine kwenye utongozaji, mwanaume unajitoa ufahamu unaamua kusaliti chama cha uwabata kwa muda. Unaamua kufata dating advice ya wadada wa humu jf, ya ukiwa na mwanamke unaemtaka mpe hela kabla hata hajakuomba 😁 Unamuona mdada, unasema ngoja huyu nimuoneshe upendo kwa kumpa...
  18. JamiiForums Tanzania If I Were Not Who I Am Today! — Kama Nisingelikuwa Niliye Leo!

    Kama nisingekuwa niliye leo, huenda nisingeweza kuandika maneno haya kwa uhuru, kwa undani na kwa kujiamini. Huenda ningekuwa mtu wa kukata tamaa kwa urahisi, ningeishi maisha ya kuigiza, nikijaribu kufurahisha kila mtu isipokuwa nafsi yangu. Lakini niweza kukua, kujifunza, kuanguka, na kusimama...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanaume Halii

    MWANAUME HALII Wanaume wamefundishwa kuwa miamba, wasilie, wasilalamike, wasionyeshe uchungu. Lakini nyuma ya uso mgumu na sauti ya kujiamini, kuna wanaume wanaovunjika taratibu ndani kwa ndani. Kuna mwanaume anayeamka kila siku kwenda kazini, akiwa hajalala usiku mzima kwa mawazo. Kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke Asexual?

    Umewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume au mwanamke ambaye hapendi ngono. Yaani sio muoga kwa sababu ya dini au nini ila hapendi tu ngono na hata ukifanya naye anaonesha kama kinai au hatoi ushirikiano sana; yaani anaweza akawa anakupenda romantically lakini kimwili hapendi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…