mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
  2. N

    Ewe mwanaume usinunue ng'ombe Kijiji ulichotoka

    Mwanaume, unaponunua ngo'mbe kamwe usinunue kwenye eneo au kijiji ulichopo. Kwanini?! Kwa sababu kuna siku ng'ombe ataenda mtoni kwa lengo la kunywa maji. Kisia nani atakuwa eneo hilo?! Ni mmiliki wake wa mwanzoni. Unajua atakachokifanya huyo mmiliki wake wa zamani?! Atakachofanya ni kumpigia...
  3. Mwanaume fanya haya mambo mawili tu, ili uweze kufanikiwa maishani mwako

    Je unataka kufanikiwa haraka? Mambo ni mawili tu, nayo ni haya hapa. 1. Usitumie mali/ kitu cha mtu bila kuomba na upewe. 2. Usiombe kitu wala mali ya mtu yeyoye. Tafuta chako, kumbuka, mtegemea cha nduguye hufa masikini
  4. Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  5. Nafikiri kitu bora cha kijasiri utakacho wahi kufanya kama mwanaume ni pale utakapostopisha mihemuko endapo utajua huyo ni mke wa mtu

    Kuliwa mke ni sawa sawa na kuingia kwa dharau katika banda la ng'ombe la mkurya au maasai na kuchukua mifugo yake alafu unajitapa kijijini kuwa ulimuweza na hajakufanya lolote Ishu ni kuwa mke anauma, sio kwa sababu eti mwanaume anampenda sana bali ni "dharau kuu juu ya himaya yake, ni kama...
  6. Uimara wa mwanaume na kuikabili mitihani na mapambano

    Hello jamiiforum, Leo ni siku nzuri ya jumatatu ikiwa ni siku ya mwisho wa mwezi wa tatu , ama kweli sikukuu imekuja vizuri sidhani kama watu wamekopa kivile ili kufanikisha sikukuu hii muhimu Kwa wenzetu waislamu. Kwenye Mada,sikuzote nasemezana na kuwaongelea wanaume,nyuzi zangu zinahusu...
  7. Epuka haya mambo mwanaume

    Wanaume, Mambo haya unatakiwa kuyaepuka sana, Pornography Uvutaji sigara Punyeto/kujichua Unywaji pombe kupita kiasi Dawa za kuongeza nguvu za kiume Hayo mambo yanakufanya uwe dhaifu mno.
  8. Nendeni makanisani ila kuweni makini na muwe timamu

    Today's Sunday. Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath Leo ni siku ya kuabudu . Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha mapito yetu na kutushushia neema na baraka,hakika ukiomba kwa haki na dhati utabarikiwa. ANGALIZO...
  9. X

    Ni bora mwanaume anayenunua kuliko anayehudumia

    Hapa kwenye uzi tunapozungumzia mwanaume tunazungumzia makundi yote 3, walio kwenye ndoa, ambao bado hawajaoa na vijana wanaojitafuta. Walio kwenye ndoa wengi wanakuwa na mpango wa kando yaani mchepuko au michepuko wanaoihudumia kama mke wa pili. Wanaume ambao hawajaoa na vijana wanaojitafuta...
  10. Mwanaume asiyetumia kilevi chochote, havuti sigara wala hashabikii michezo namuona kama ana mapungufu

    Mwanaume asiyetumia kilevi chochote yaani namuona kama ana mapungufu, unakuta mwanaume hanywi pombe havuti sigara wala bangi havuti mwingine ndo kabisa hata kwenye ushabiki wa mpira hayupo. Wanaume wa hivi huwa naona kama hawapo sawa kabisa pia hawajawai kunivutia.
  11. Kijana fahamu madhara ya punyeto na mtu anayejichua kwa muda mrefu

    Wavulana wengi wamekuwa wakiathirika sana na tatizo hili la kujichua, hasa wanapokuwa katika shule na vyuo, mchezo huu wa kujichua wamekuwa wakiutumia sana. Sababu kuu inayopelekea kujichua ni kutamani, wengi huangalia picha za utupu(xx) katika mitandao ya kijamii na baadaye fikra huathiriwa na...
  12. Mambo Makuu yanayoonyesha kuwa wewe ni mwanaume dhaifu na uliyekata tamaa

    Habari Wakuu! Bila kupoteza wakati. 1. Unamwomba mpenzi/ Mkeo Ngono. Ukiona Mkeo au mpenzi wako anakupimia michezo ya kitandani na wewe unamwomba ujue wewe ni mwanaume uliyekata tamaa, usiye na lolote la maana, uliyekwisha. Mwanaume dhaifu. 2. Unatumia nguvu kubwa hasa ya pesa kumhudumia ili...
  13. Mwanaume ni sawa kuwa na wanawake wengi kama uwezo unaruhusu

    Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake . Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
  14. Mwanaume unatakiwa kua na kifua kikubwa, na tumbo na kiuno kidogo

    kwa kichwa cha habari hicho, vijana wadogo watawaza physically na watu wazima watawaza Abstractly . Vyote vina mantik
  15. Hivi hili suala la kuhudumia ni la mwanaume tu au hata mwanamke wanapokuwa kwenye mahusiano au ndoa?

    hili suala la kuhudumiwa kwa wanawake naona limekuwa sheria kwenye mahusiano au ndoa japo kuhudumia sio jambo baya lakini naona sasa limekuwa sheria. yani unakuta hata kwa wale wenye kazi zao bado wanataka kuhudumiwa kwa hela za mwanaume kwenye kila kitu pekeyake hata kama mshahara ni sawa...
  16. Zifuatazo ni sifa za mwanaume anayejitambua kama ifuatavyo

    Kama ulikua hujui MWANAUME ANAEJITAMBUA anatakiwa kuwa na sifa zipi wacha nikufahamishe;- Wanaume tupo wengi sana hapa duniani, Lakini wanaume wanaojitambua niwachache sana, Sasa utajuaje mwanaume fulani anajitambua, Au utajuaje wewe mwanaume mwenzangu unatambua, 1)...
  17. Mwanaume mdada akikuita "Boss" Kimbia mbio nyingi saanaa

    Hapo umeelekezwa kibra. Ni tumsalie sala ya mwisho tu. Uzi tayari.
  18. MBINU 6 ZA MWANAUME KUTOSUMBULIWA NA MAPENZI/ MAHUSIANO.

    Shuka nayo, 🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine. 1. The Will to Walk Away From Her Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction. The man who is willing to walk away at any...
  19. Kati ya mwanamke na mwanaume, nani huathirika zaidi ikitokea ndoa imevunjika?

    Kati ya mwanaume na mwanamke, nani hupitia maisha ya tabu zaidi ndoa inapovunjika? tukitazama hali halisi ya maisha ya Watanzania, ukweli unauma: wanawake wengi wanakosa uhuru wa kiuchumi! Mwanamke wa Kitanzania analelewa kuamini kuwa mwanaume ndiye "mkombozi wake" kifedha. Matokeo yake...
  20. Dada kama hujaolewa na unataka kuonja ladha ya peponi ukiwa hapahapa duniani hakikisha unaolewa na mwanaume tokea kanda ya ziwa au Mzanzibari

    Ugonile, kwa Tanzania hii ukisikia mtu anaongelea kuhusu Wanaume basi jua automatically ni wanaume wa kanda ya ziwa. Wanaume wa kanda ya ziwa wana kila sifa za uanaume, watakuja apa kuponda lakini huo ndo ukweli. Simaanishi kuwa wanaume tokea kanda zingine kama Kaskazini, Pwani au kati sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…