mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi).

    Aliishi mwanaume mwema aitwaye Khalid pamoja na mabinti zake watano: Asmaa (mkubwa), Layla, Huda, Nur, na Yasmin (mdogo zaidi). Baada ya kifo cha mkewe, Khalid alipata maradhi sugu yaliyomzuia kufanya kazi. Hapo ndipo Asmaa akabeba jukumu la kulea nyumba na kumtunza baba yake kwa moyo wa upendo...
  2. JamiiForums Tanzania Oyaah Mwanaume usife kwasababu ya Mwanamke!!

    Kwenye Bustani ya Edeni mshua adam alikubali kula tunda la ujuzi wa mema na mabaya ambalo alipewa na mwanamke na akakubali kifo kiingie na mpaka leo TUNAKUFA, Mfalme suleiman alikuwa mtu mkuu lakini wanawake ndio waliua ukuu wake, Samson na wana kibao kwenye biblia walikufa kwa namna tofauti...
  3. JamiiForums Tanzania Eti hii ishu Mwanaume kuweka picha yake kwenye screen saver Imeakaaje

    Wadau labda huenda mimi nazeeka Vibaya au nimepitwa na wakati Kwa mtazamo wangu naona kama haiko poa mwanaume kujisave picha yako kwenye screen ya simu halafu kila wakati unajicheki au mimi ndio sielewi? Juzi kati nimeona kuna mwanaume mtu mzima kabisa sura Ina Ina mikunjo ya ngozi kama yote...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke ahukumiwa kwa kula nauli ya mwanaume, Nigeria

    Mahakama ya Mwanzo jijini Lagos nchini Nigeria, imemhukumu Mwanamke anayefahamika kwa jina la Jennifer kulipa faini ya ₦450,000 sawa na zaidi ya Shilingi laki 730,000 za Kitanzania baada ya kupatikana na hatia ya kupokea fedha kwa udanganyifu. Kwa mujibu wa kumbukumbu za Mahakama, Jennifer...
  5. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa miaka 7 jela Kwa kula nauli ya mwanaume!

    Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kulipa kiasi cha 420,000 pesa za Nigeria kwa kosa la kula nauli ya mwanaume 30,000 ambayo alitumiwa na mwanaume Emmanuel kisha hakwenda kwa mwanamume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambae alituma nauli hiyo kwa kusema...
  6. JamiiForums Tanzania Kimaumbile mwanaume ndo alitakiwa kuvaa sketi/ gauni na Mwanamke suruali

    Nadhan waliobuni haya mavazi kwa jinsia wali focus zaidi kwenye urahisi wa kujisaidia/ kukojoa lakini kimaumbile na mpangilio wa mambo ulivyokaa, wanaume walipaswa kuvaa kama sketi/ msuli na wanawake suruali. Mi nawakubali sana wamasai( shuka), watu wa mashariki ya kati(kanzu) na mashariki ya...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ya mwanamke huanza akiwa na miaka 18, Maisha ya mwanaume huanza akiwa na miaka 28

    Take Note.
  8. JamiiForums Tanzania Kila mwanamke mrembo unayemuona, ana mwanaume ambaye amechoka kuwa naye kwenye mahusiano

    Take Note.
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume kulipiwa kila kitu na mwanamke ni aibu

    Jana nimetoka out with my friend wa kike, we ordered drinks and food and tulikubaliana tutashare bills, Sasa suddenly my friend wa kike akasema kuna rafiki yangu wa kiume nilisoma Nae anakuja, nikasema okay , kufika alikua ni mwnaume. Basi tumekaa pale akaorder heinken 7 na sisi we were having...
  10. JamiiForums Tanzania Usimp, udhaifu wa kiume unaopewa sura ya ushujaa wa kiume

    Simp ni aina ya mwanaume asiyejiweza mbele ya wanawake na ambaye yupo tayari kujitoa kifedha,muda,na jitihada bila mipaka ili tu kumfurahisha mwanamke bila mrejesho wowote kutoka kwa huyo mwanamke akiwa na matumaini ya kupewa attention kama shukurani. Mahusiano haya yanaweza kuwa kiuchumba,na...
  11. JamiiForums Tanzania Masimp a.k.a mwanaume zoba, mwanaume ndezi, mwanaume mzembe

    Ingawa ukarimu na kujali wengine bila misingi ya upendeleo na ubaguzi ni jambo jema sana ila kusimp ni tabia ambayo inamfanya mtu kutoka nje ya mipaka ya ukarimu na utu na kuanza kuingia katika muendelezo wa matendo ya kujidhalilisha na kujidhurumu kihisia na kujishushia heshima na utu wake...
  12. JamiiForums Tanzania Kila mwanaume, kila mwanamke ana pair zake akikutana nazo ni rahisi sana kula au kuliwa

    Hata kama umeoa au umeolewa kuna mtu ukikutana naye huwa kuna nguvu inawakutanisha kinguvu kutokana na muingiliano wa tabia na haiba mlizonazo mnajikuta mnazama penzini tena penzi zito kweli kweli bila kujali madhara yake nje ya upeo wa fahamu zenu. Mimi wakati nimeshaoa niliwahi kukutana na...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiona unapoishi kuna demu single asipokuwa na mwanaume ndani anaacha viatu nje na kuna siku huoni kitu anauza ila hamjui code

    Iko hivi mademu single au wanachuo wajanja kwa sasa wana code zao za kuita wateja, mojawapo ndio hio ukiona demu anaacha sana viatu na sendo nje ya mlango wake hio ni taarifa kuwa yupo na mnakaribishwa, unatakiwa ujiongeze ndio imeisha hio, na sio ajabu kuna siku hamtaona kitu hapo mlangoni basi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na gynecomastia(matiti kwa mwanaume)

    Nilitaka kufahamu gharama ya upasuaji Kwa gynecomastia Kwa Tanzania. Pia hospital zipi nitapata hiyo huduma?
  15. JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kitu gani hua kinakukata stim ukikiona kwa mwanamke mkiwa mnaanza mtanange??

    Habari za wakati huu wanajamvi. Kila mtu ana matamanio yake linapokuja suala la totoz, ila hizo totoz wakati mwingine hua zinavutia kwa nje tu. Akikuvulia nguo mwili unaishiwa pawa kabisa, na kubaki na maswali kichwani tu. Ila kutokana na utomvu wa nidham wa shahawa inabidi upige tu hata...
  16. JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaume: mwanaume mwenzio akipitiwa na usingizi kwenye usafiri akakuegemea begani, utamuacha?

    Najua wanaume wengi hutulia hata kufurahia wakiegemewa na mwanamke kwenye usafiri wa umma, ila je ikiwa ni mwanaume mwenzio, utamuacha?
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona simu ya mwanaume mwenye ndoa iko online saa nane usiku usitume message. Huyo ni mkewe anafanya patrol

    Niongezee volume Ama imetosha Nimetokaa kusuluhisha kesi kama hii, sijui wameondoka waturidhishe ama kitaendelea kuumana huko. Mungu awalinde wanandoa wote loh.
  18. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli ya wadada "Hutokuja kupata mwanamke kama mimi we mwanaume wewe

    Wadada hizo kauli zenu utafikiri dunia nzima kuna mwanamke mmoja 🤣🤣🤣🤣 au ndo hua mnatulaani tusipate mwingine Eti wadada mnamaanishaga nini?
  20. JamiiForums Tanzania Video: Kule Iran Mwanamke amfumania mwanaume wa kidini akimchukua video hospitalini kisa hajasitiri nywele

    Hawa watu kwenye hii dini ya muarabu sijui nywele za wanawake huwapa mzuka au nyege au nini, yaani jamaa bila aibu na likanzu sijui lijoho lake anazurura hospitalini akichukua video ya kila mwanamke ambaye hajasitiri nywele. https://www.youtube.com/shorts/1PpnRkoqkqU
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…