Aliyekua Mwanasheria Mkuu wa serikali (AG) Dr.Adelarus Kilangi (LLD) akiwa na makada wenzie wa CCM waliotia nia ya ubunge jimbo la Nyamagana.
Juzi tumemuona aliyekuwa Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi (NEC) Dr.Wilson Mahera akichukua fomu ya ubunge Butiama kupitia CCM, leo tumemuona aliyekua...
Naona leo mmeandaa kungamano lenu kupitia Chama chenu cha Machawa cha Mawakili wa Serikali ili kueneza propaganda mfu kwa niaba ya CCM na kulipana posho kumalizia mabaki yaliyobaki kwenye mwaka wa fedha unaomalizika.
Kwanza kabisa nawapa polee na watoa mada wenu wote. Tunaelewa haiwezekani...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari akiwasilisha maelezo ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2025 (The Written Laws (Miscellaneous Amendments) Bill, 2025) Juni 5, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.
Aidha mara baada ya kuwasilisha maelezo hayo, Mjumbe wa Kamati ya...
bandari
bungeni
hamza
hamza johari
johari
marekebisho
marekebisho ya sheria
mkuu
muswada
mwanasheriamwanasheriamkuumwanasheriamkuu wa serikali
serikali
sheria
tisa
https://youtu.be/VTSdE_xlvxs?si=_ba2CV49hgNedyAF
Huyu ni Dr Rugemeleza Nshala, mwanasheria mkuu wa chama - CHADEMA..
Kuhusu uamuzi wa mahakama kesi ya TL kuendelea kusikikizwa kwenye mahakama ya wazi, anasema;
➡Uamuzi wa kususia kesi kwa kutokwenda mahakamani, usingekuwa uamuzi wa busara hata...
Jana tukijiandaa kuingia mahakamani, tulibishana hoja kadhaa na mawakili wenzangu, kuna Revised Edition 2023 ambayo Rais Samia alizindua hapa juzi na tukaambiwa inauzwa milioni 4, sheria hizo zilizohuishwa tunaambiwa zitaanza kutumika July 2025.
AG Feleshi aliyepita alipohuisha R.E 2022...
https://www.youtube.com/live/EV0n0sLG1Zs?si=A_fxrMIQec4ggyrP
Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani na Wanahabari, ofisi za Chama Vuga Mjini Unguja.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Omar Said Shabani ameeleza kusikitishwa kwake na kauli ya Mkuu...
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu, Jaji Joseph Warioba akitoa maoni katika kongamano la kitaifa kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025 lililoandaliwa na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amesema kwamba hatua ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent...
Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA, Tundu Lissu akiwa kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Chama ambalo limekutana leo Jumatano, Januari 22, 2025 katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ameanza kupanga safu yake ya uongozi kwa Kuteua Katibu Mkuu, Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wajumbe wa Kamati...
amani golungwa
baraza kuu chadema
chadema
hafidhi salehe
john mnyika
katibu mkuu chadema
kuendelea
lissu
mbowe
mwanasheriamkuu
rose mayemba
rugemeleza nshala
salma kasanzu
team mbowe
Mbowe ameyasema hayo wakati akihojiwa na Salim Kikeke katika kipindi cha Kasri kinachorushwa na CrownFM
Mbowe amesema kwamba Lissu anashiriki vikao vyote vya chama lakini hajawahi kuwasilisha hoja katika vikao ya kuomba wajadili kuondoa ukomo wa uongozi
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Hamza Johari amepiga kura katika eneo la llazo jijini Dodoma
Amepongeza Waandaaji na Waratibu wa Uchaguzi kwa mpangilio mzuri uliopo kwenye vituo unaofanya watu watumie muda mfupi katika zoezi la kupiga kura.
Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani.
Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali.
Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki
Ni taarifa tu
29 July 2024
Mahakama ya Rufaa Tanzania
Dar es Salaam,
Tanzania
Kesi ya Onesmo Olengurumo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=M89ro2AWtds
Mahakama ya Rufaa Tanzania yatengua hukumu ya Mahakama Kuu katika kesi ya msingi iliyofungiliwa Mahakama Kuu kupinga ...
Wiki moja tu baada ya kuvunja Baraza lake la Mawaziri na kumfukuza Kazi Mwanasheria Mkuu, Rais William Ruto ametangaza Baraza Jipya la Mawaziri na kumteua Mwanasheria Mkuu mpya.
✓ Ni Mawaziri 6 tu wamerejeshwa kazini:
• Waziri wa Ulinzi Adan Duale
• Waziri wa mambo ya ndani Professor Kithure...
Mpaka sasa watu wanaoaminika kwa hoja na weledi ndani ya Chama cha Mapinduzi Ndugu Comrade Kinana Makamu mwenyekiti wa Chama Taifa na Ndugu Ali Happy ambaye mpaka sasa sijui cheo chake wamejitokeza kujaribu kujibu Hoja za Tundu Lissu.
Wakati wa wiki mbili zilizopita Mh Wakili Tundu Lissu Makamu...
Mahakama ya Benki ya Dunia imetupilia mbali sababu nyingi za Tanzania za kubatilisha tuzo ya dola milioni 119 (zaidi ya TZS 309 bilioni) kwa mchimba madini wa nikeli kutoka Australia.
lakini uamuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania Eliezer Feleshi kuendelea kutaka kufutwa kwa tuzo hiyo katika...
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini.
Muigai amesema Mapendekezo ya...
Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili.
Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti:
1. Mwabukuzi ni mchochezi.
2. Mwabukusi...
Walemavu wameshinikiza AG Feleshi ajiuzulu kumpa nafasi Rais ya kuteua AG mwingine
---
Walemavu washinikiza Attorney General ajiuzuru katika kufafanua hoja hiyo wamesema
Kimsingi nikiliangalia hili suala la Bandari lina udhaifu kwenye utendaji yaani nasema Watendaji wenzangu, makatibu huko...