Hayupo, hana uwezo au viongozi wa Chadema masalia hawamuamini?
Kulikoni viongozi wa Chadema masalia ndio wanabwabwaja zaidi mambo ya kisheria zaidi ya mwanasheria mwenyewe?
Kama yupo, sidhani kama anaweza kuwasaidia chochote kuhusu sheria na Chadema masalia wakafanikiwa.
Mungu Ibariki Tanzania.
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema:
“Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
Natafuta mwanasheria ambaye anaweza kuwa available Jumatatu asubuhi kumsaidia rafiki yangu apate interim order ya jaji ili kumaintain status quo ya umiliki wa ardhi (kuzuia transfer). Application ipo mahakama kuu kitengo cha ardhi Dar es salaam. Application ipo under certificate of extreme...
Hello wana Jamiiforums, Nina Shida na muhuri wa Mwanasheria . Moja Kati ya Cheti changu cha ujuzi hakina muhuri na nipo mashambani ndani ndani Ni ngumu kupata Mahakama huku. Naomba mwenge muhuri karibu PM
..sikiliza tamko hapo chini na tuhuma kwamba AG wa kipindi cha Rais Magufuli, Prof. Kilangi, aliwahi kuwa Padri.
https://www.youtube.com/watch?v=RhbFPe8Z3yU
Nilimskiliza Mwanasheria wetu wa Serikali akiongea kuhusu Mange Kimambi kufanya jinai kwa kuhamasisha Maandamano, na akaendelea kwa kusema anafanya jitihada zozote hata za Kidiplomasia Mange arudishwe kujibu mashitaka. Ni aibu sana kwa mwanasheria msomi kuongea PUMBA kama hizi. Ninapata wasiwasi...
ni mimi tu ndio sielewi au katiba yetu haijawa wazi kwenye masuala ya muungano?
Kuna Mkuu wa mkoa walikouliwa waandamanaji kwa mafungu huko Songwe ni Mzanzibari pia! Je Zanzibar kuna mkuu wa Mkoa Mtanganyika? kuna Mwanasheria mkuu mtanganyika?
mbona mie sielewi?
Rais : Wandamanaji walikuwa raia wa kigeni.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali : Mange Kimambi ndo aliwachochea Watanzania mpaka wakaingia barabarani kuandamana.
Sasa kati ya hawa tumuamini yupi?
Nchi yetu inavuja jasho na damu kwa ndugu wengi baada ya maandamano.
Jana kaapishwa Mwanasheria Mkuu AG Johari, moja ya kauli yake ambayo inagonga na kuongelewa sana kila mtu ni kuhusu Kumkamata Mange Kimambi anayeishi USA.
Moja kwa moja kwenye point;
1. Kumkamata itakuwa si kazi rahisi kiasi...
Tangazo kwa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Hamza Saidi Johari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Bw. Hamza Saidi Johari ataapishwa kesho kutwa Jumatano tarehe 5 Novemba, 2025 saa 4:00 asubuhi Ikulu Chamwino, Dodoma.
Imetolewa na...
Nawakumbusha tu kuwa huyu Tundu Lissu ni legal intellect ya kiwango cha juu! anayechanganya constitutional reasoning, evidence doctrines, na human-rights jurisprudence kwa ustadi wa kipekee. Uelewa wake wa ICCPR, African Charter, na Katiba ya Tanzania humuwezesha ku-dismantle kesi hata zilizo...
Ni sahihi polisi kupiga raia wakiwa ndani ya viunga vya mahakama?.
Kama si sahihi mnanipa ushawishi gani kumwambia kijana wa kitanzania sheria ni msumeno na mahakama ni kimbilio kwa waliokosa haki?.
Funguka ndg mtajwa hapo juu, usiogope wala kupata tashwishwi juu ya yote.
Nawasilisha kutoka...
Chama cha siasa cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kesi ya kikatiba iliyofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali itaendelea kusikilizwa leo, tarehe 3 Septemba 2025, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma.Kesi hiyo, namba 21692 ya mwaka 2025...
ABDUL NONDO AMJIBU MWANASHERIA GARATWA KUHUSU SUALA LA MH.LUHAGA JOELSON MPINA.
Salaam, ndugu Mwanasheria Garatwa.
Nimeona andiko lako na uchambuzi wako juu ya suala la kuenguliwa mgombea wetu wa kiti cha Urais ,Mh.Luhaga Joelson Mpina huku ukielekeza lawama kwa chama chetu kufuatia kinachoitwa...
Watanzania mnatumika na mtaendelea kutumika Sana.
Hawa wote sijui Heche , Sijui Lissu, Sijui Polepole , sijui Ccm .
Ni kupoteza Muda .
John Heche Kaka yake wa Damu ni Mwanasheria ambaye yupo Ikulu , hiyo Pekee inaonesha wazi kuwa hawa watu hawapo kwa ajili yenu.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza S. Johari amesema kuwa ofisi yake ya Mwanasheria mkuu wa Serikali itawafuatilia watumishi wenye tabia za kutoa Siri za Serikali na wenye tabia za uongo
Mhe. Hamza ameyasema hayo Leo Agost 18,2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza kwenye Baraza la wafanyakazi...
Wasomaji jibuni swali
Huyu jamaa atakuwa na mazingira Gani?
ENDAPO Tundu Antipusi Mugwai Lissu atakuwa Rais?
Sijui kwa Nini ila CCM imepoteza dira za watanzania wengi
Jamaa kweli analipwa poa, ana mlinzi poa,
Mwabukusi na WENZAKO wote nyie ni vihiyo haiwezekani mnajua Lissu sio muhaini nyie mmekaa TU mmeshindwa hata kuandaa maandamano ya kushikiza aachiwe
Hivi Jana mliona alivyosukumwa kama kondom iliyotolewa kwenye sehemu za Siri za kiume zilizomaliza kujamiana
Shame on you all rubish lowyer...
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,
Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!
Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.