mwananyamala

Mwananyamala is an administrative ward in the Kinondoni District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 44,531.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Watumishi Ajira Mpya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH) hatujalipwa pesa ya kujikimu

    Hapa hapa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala (MRRH), Watumishi wa Ajira Mpya hatujalipwa pesa za kujikimu, kila siku tunazungushwa. Tusaidie sauti hii iwafikie wanaohusika.
  2. S

    Tetesi: Siri imefichuka. Inadaiwa Mchengerwa kaazima mashine za X-Rays toka hospitali binafsi (X) na kuzipeleka Mwananyamala

    Mchengerwa ni mhuni, hakuna aliyechezea mashine. Baada ya kelele nyingi wameenda kuazima mashine za ziada za hospitali moja binafsi hapa jijini (jina linahifadhiwa wasije kutekwa). Mchengerwa anaficha aibu kwa kujifanya anapiga mkwara wasaliti. Subirini muone kama kuna mtu yeyote ataadhibiwa...
  3. The Burning Spear

    PostGE2025 Mount MERU Hospital nao wamejichanganya kama Mwananyamala, ile Video ni real

    Thanks for sharing the frames. I’ll be careful and respectful in explaining what can be determined. Is this AI-generated or real? Based on the extracted frames, the video does not show typical signs of AI generation. Here’s why: Why it appears real Consistent lighting and shadows that are...
  4. TODAYS

    MOCHWARI: Angalia nchi inavyoliwa kwa haya matukio yenu!.

    Tulisema na kuandika humu, matukio haya ya maandamano nk ndipo Pesa inapigwa hasa, waliopo kwenye mnyororo wa upigaji wanafuja pesa kwa nguvu kubwa sana. Ilikuwa ya kumkamata Mange, leo kuna hii ya vifo vya wananchi na kurundikwa mochwari. Soma mwenyewe hapa chini. 😢. ========================...
  5. G Sam

    Ndugu waanza kuona miili ya wapendwa wao ambao hawakuonekana, wakiwa kwenye video ya mlundikano wa maiti iliyovuja ndani ya mochwari ya Mwananyamala

    Hatusemi mengi. Huyu mwamba ni dereva na aliuawa huko Salasala. Hakukuwa na ushirikiano kwa ndugu kupewa maiti ya mtu wao mbali na ukweli kuwa aliuawa kwa kupigwa risasi. Ndugu walikuwa wameshakata tamaa walaamua kusahau Leo ameonekana ndani ya ile video ya Mwananyamala. Serikali bado inasema...
  6. Lord Denning

    Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  7. W

    PostGE2025 Ndugu wathibitisha kuona mwili ya ndugu yao kwenye video ya Mwananyamala Hospitali

    Huyu kijana yupo kwenye ile video ya Mwananyamala ambayo wanasema sio video ya hapa Tanzania. Mwanamitandao Muna Love aliwahi kumpost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kijana huyo anatafutwa na alipigwa risasi Mabatini akidai hata ndugu yake amenuona, daaah. Tunachouliza miili ya hawa...
  8. M

    PostGE2025 Wizara ya Afya warudisha hewani chapisho la Video za maiti Mwananyamala huku wakiwa wamefunga "Comment"

    Waambieni hao wazee na vijana wajinga huko ofisini Dunia ilikofika si kwa kuficha ukweli kwa kuweka uongo unaoweza kuthibitishwa na watu hata bila kutumia nyenzo za uthibitishaji wa video halali au iliyohaririwa au kutengenezwa na AI. Halafu kufunga "comment" siyo njia ya kufanya watu waamini...
  9. G Sam

    PostGE2025 Ulinganisho wa picha za hivi karibuni ukionyesha ukweli wa miili yenye majeraha iliyorundikwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala kama magunia

    Wakuu, ni kweli kuwa ile miili ni ya ndugu zetu waliuawa na kwenda kutupwa kwenye sakafu ya mochwari ya Mwananyamala. Kama hukupata ndugu au kama una ndugu ambae hujui kama ni mzima au alishatangulia fanya kufika hapo kudai ukweli wake! Tazama ulinganisho wa picha mbili za matukio tofauti...
  10. M

    Ukitaka kuoa mzungu unapaswa kuwa GPA above 4.5, nyie wenye GPA below 4.5 mtaishia kuoa warembo wa Mwananyamala

    Baada kufika abroad kuna jamaa yangu mmoja aliniambia ya kwamba wanawake wengi wa kizungu hawakubali kuolewa na Waaafrika wenye low IQ kwaaana wenye GPA below 4.5 eeeeh bwana hii kitu kina ukweli ndani yake aisee kuna jamaa yangu mmoja yupo huku USA kwenye jimbo la michigan anabeba maboksi huu...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Miss World atembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala

    Walimbwende Suchaata ambaye ni Miss World pamoja na Miss World Africa Hasset Dereje wakiongozwa na mwanamitindo Mustafa kwa kushirikiana na taasisi ya Doris Mollel Foundation, wametembelea wodi ya watoto njiti katika Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam. Katika ziara hiyo, walimbwende hao...
  12. Dennis Robert Shughuru

    Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  13. Teslarati

    Kinondoni hasa Mwananyamala hapafai kabisa kimaadili kwa sasa

    Aisee haya mambo sijasimuliwa nilijionea mwenyewe juzi. Kuna jamaa yetu alikua anaumwa kwa muda mrefu ikabidi kwenda kumsabahi hapo Mwananyamala hospital. Tulipofika ndio hio siku akawa ameruhusiwa kwenda kwake hivyo ikabidi niwape lift hadi wanapokaa. Ule mtaa nilioyaona aisee ni kufuru...
  14. Waufukweni

    TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
  15. Waufukweni

    LGE2024 CCM wacharuana, Uchaguzi Mwananyamala-Kisiwani waahirishwa

    Zoezi la kupiga kura kwa ajili nafasi ya Mwenyekiti na Wajumbe mtaa wa Mwananyamala-Kisiwani jana, Oktoba 23 lilishindikana kutokana na sababu mbalimbali, ikiwemo baadhi ya majina kutokuwepo kwenye orodha ya wakazi, hivyo kusababisha uchaguzi kuhamishiwa Ofisi za CCM Kata ya Mwinjuma. Soma...
  16. darautobroker

    Plot4Rent Eneo linapangishwa Mwananyamala kwa showroom au garage

    Kwa Anayehitaji Eneo Kwa Ajili Ya Kuweka SHOWROOM Au GARAGE Hilo Hapo Ni Jipya Kabisa Na Limeshakamilika. Lipo Mwananyamala "A" Barabara Ya Mwinjuma Jijini Dar Es Salaam. Ukubwa Wake Ni 576SQM Na Lina Uwezo Wa Kuweka Hadi Gari 30 Na Kuendelea Pia Kwa Wale Wa Modern Garage Mnakaribishwa. Kodi...
  17. Blasio Kachuchu

    Barrick yaadhimisha siku ya wanawake duniani kwa kutoa msaada wa mashine ya patient monitor Hospitali ya Rufaa Mwananyamala

    Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi (kulia) akikabidhi msaada wa mashine ya Patient Monitor, kwa Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala,Dkt. Zavery Benella.Wengine pichani ni Wafanyakazi wa Barrick alioongozana nao. --- Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya Siku...
  18. Teslarati

    Pongezi kwa RC wa Dar: Umeisafisha Ubungo Riverside kwa kwa fagio la chuma ulilotumia Mwananyamala

    Kuna muda inabidi tuseme ukweli. Mimi nikiwa maeneo ya Ubungo huwa napenda sana kwenda kunywa bia pale Micassa pub. Lakini ile njia siku za nyuma kuanzia saa 12 na nusu jioni ilikuwa inajaa wadada poa wengi sana hata kabla giza halijaingia. Yaani na kulikuwa na harufu mbaya sana kama ya uozo...
  19. Roving Journalist

    Vijana watakiwa kuacha tabia ya kuwakimbia wagonjwa wao wanaowapeleka Hospitali ya Mwananyamala

    Ujumbe wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mkoa wa Dar es Salaam umetembelea Hospitali ya Mwananyamala Jijini hapo kuwajulia hali wagonjwa mbalimbali, leo Oktoba 14, 2023 ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Nyerere kilichotokea Oktoba 14, 1999. Msafara huo ulioongozwa na Sheikh Ally...
  20. JanguKamaJangu

    Meya afika kwenye madanguro Mwananyamala, Wadada wanaojiuza wakimbia

    Kufuatia ongezeko la madanguro katika maeneo ya Kinondoni, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge amefika kwenye maeneo ya kunapodaiwa kufanyika kwa biashara ya kuuza mwili maeneo ya Mwananyamala na kuahidi kuchukua hatua dhidi ya wamiliki wa nyumba zinazotumiwa katika biashara...
Back
Top Bottom