mwanamke

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke mtu mzima mwenye changamoto ya hormone imbalance anaweza kushika ujauzito?

    Ni mwanamke mtu mzima 43 years. Alipata miscarriage 3. Akawa hapati tena ujauzito. Sasa amepata tena ila dalili sio njema. Kuna vipunje vya damu ameviona akijisaidia kama mara mbili. Gino anasema yupo sawa mimba bado ipo akampa madawa ya kunywa ya kubalansi homoni. Lakini mimi nina mashaka...
  2. JamiiForums Tanzania Kimasihara masihara nikajikuta kwenye mahusiano na mwanamke mtu mzima

    (BASED ON A TRUE STORY) Portion 1 Kuna baadhi ya matukio nikiyakumbuka mpaka leo najiona nilikuwa bonge la mpuuzi. Na naamini kabisa kama ingewezekana huyu mimi wa sasa kukutana na mimi wa miaka ile, Mimi wa sasa angempiga makofi mengi sana. Nisikuchoshe usinichoshe directly kwenye story...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Ni kweli mwanamke wa miaka 31 amedaiwa Kuzeeka ghafla na kuonekana kama bibi wa miaka 80?

    Kumekuwepo na chapisho lililosambazwa kwenye mitandao ya kijamii likidai kuwa mwanamke mmoja kutoka nchini Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 31 amezeeka ghafla na kuonekana kama bibi mwenye umri wa miaka 80. Chapisho hilo linaeleza kuwa mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Sinenhlanhla...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke Ghali Zaidi: Anayeondoka Baada Ya Kujengwa

    Mwanamke Ghali Zaidi Ni Yule Anayeondoka Baada Ya Kujengwa Wanaume, Wanawake wanaowaumiza wanaume kifedha sio wale wavivu pekee. Mara nyingi— ni wale wanawake ambao mwanaume aliwasaidia kuinuka. Yule mwanamke aliyemuamini. Aliyemwekeza. Aliyemsapoti kihisia, kifedha, na kiakili. Yule...
  5. JamiiForums Tanzania Unamkuta mwanamke amezaliwa mweupe kabisa, halafu tena bado anajichubua, hivi hali hii huchochewa na nini?

    Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona. Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa? Unakuta binti kaiva sura...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nanyamba: Mwanamke ajitosa kisimani baada ya kupewa talaka na mume wake

    Mtu mmoja aitwae Mwajuma Mohamed Mkule Mkazi wa Mtaa wa Mibobo Kata ya Nanyamba Halmashauri ya Mji Nanyamba Mkoani Mtwara, amejitosa kwenye kisima Cha maji Tukio hilo limetokea May 23,2026 Mibobo Nanyamba huku chanzo cha tukio hilo kikitajwa kuwa ni baada ya kupewa talaka na mume wake
  7. JamiiForums Tanzania WANAUME: Zipi ni turn-offs kwako kwa mwanamke?

    Wakuu hebu tumalizie weekend na mada mkangamfu. Ewe mwanaume ni kitu gani ukikiona kwa mwanamke au mwanamke akikifanya kwako inakukata stimu kabisa yaan turn off. Mimi nitalist kadhaa 1. Mwanamke mwenye vinyweleo mikononi na miguuni, aisee bora mikononi naweza vumilia ila miguuni pale ameweka...
  8. JamiiForums Tanzania BIKRA ya mwanamke sio ishara ya ubora wake. Ulimwengu wa mtu upo kichwani na moyoni mwake, hata siku moja uchi hauwezi amua chochote.

    Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra, Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini. Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani. Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni Acheni utoto.
  9. JamiiForums Tanzania Kisa cha mwanamke kutokwa na damu kwa miaka 12 kinaleta mkanganyiko, sometimes bibilia inatakiwa iwe specific bhana!

    Kisa Cha mwanamke aliyekuwa anatokwa na damu kwa miaka 12 kinapatikana katika injili ya Mathayo 9:20-22, injili ya Marko 5:25-34, injili ya Luka 8:43-48 katika bibilia. Isivyobahati, Katika injili hizo zote, hatujaambiwa hizo damu zilikuwa zinatoka sehemu katika mwili wa mwanake, jambo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuambia hapana, kuwa muelewa, wengine wameathirika, wengine akilala na wewe unakufa

    Katika umri nilionao, nimejifunza kitu, tujifunze kukubaliana na hali, ukiona unakataliwa mkuu, piga chini dunia ina Siri hii
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aumizwa Na Kusikitishwa Sana na Kifo cha Bi Khadija Said Salmini Mtangazaji wa Kwanza Mwanamke Nchini Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka,shujaa wa Afrika na jasiri muongoza njia. amesikitishwa sana na kuhuzunishwa sana kufuatia kifo cha Mtangazaji wa kwanza Mwanamke Nchini Tanzania Bi...
  12. JamiiForums Tanzania Changamoto za uzazi: Je, tatizo ni la mwanamke pekee?

    Je, wajua kuwa changamoto za uzazi si kwa mwanamke pekee, bali zinawahusu pande zote mbili mwanaume na mwanamke? Ubora wa mbegu za kiume ni miongoni mwa sababu kubwa zinazochangia familia nyingi kushindwa kupata mtoto. Ungana na Dkt. Matilda Ngarina, Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Chatanda ikemewe, imeonesha dharau kwa Mwenyekiti wa CCM

    Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe. Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
  14. JamiiForums Tanzania Unadhifu na mpangilio wa mavazi kwa mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu Wadogo zangu,hamjambo. Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu mwenendo wangu na mpangilio wa mavazi. Hebu Kwanza niulize, Hivi wanawake wenzangu mnaovaa taiti za...
  15. JamiiForums Tanzania Kama tutavuka ili basi ndio itakuwa mwanzo na mwisho kama 1.Raisi mwanamke, 2.Kutoka visiwani.

    Ukweli mchungu ila ndio kashatiburia wanawake wenzake. Tumeona wengine wakipinduliwa huko asia,wengine wakifungwa na wengine wamefanya mambo ya ajabu. Kwa ili wanawake sijui kama mna la kujitetea mlipofikia hapa. 2.kutoka viswani kwa mtindo mliopelekea kwa wabara na kuwabagaza na kuonesha...
  16. JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  17. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke kila akipata hela lazima anikumbuke hata kama ni hela ndogo, nahisi kumpenda sana

    Kwema binaadamu wenzangu mliomo humu? Jamani kuna huyu mwanamke naweza sema ni mchumba wangu tuna kama miaka miwili toka tumefahamiana. Tumepitia stages tofauti tofauti, kugombana, kupotezeana, kuumizana, kuenjoy na kununiana kama ilivo kawaida mambo ya mahusiano. Huyu mwanamke ni aina ya...
  18. JamiiForums Tanzania Sio Biblia sio Quran iloitaja umri wa mwanamke kuolewa hiyo 18 mmejitungia tu

    Mm nasema hamna kama kuna mwenye aya au ushahidi wowote aje nao nimpe 300,000 usiku huu Muhammad (60) kwa Aisha ilikua sahihi Na Joseph (63) kwa bikira Maria ni sawa Hiyo 18 ni mbwembwe za waja, kama unaushaid iweke mbele weka lipa namba
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke amfikisha mwanaume mahakamani akitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye angalau kwa mara moja tena.

    Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke Anayerudi Baada ya Mafanikio

    Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume. Kipindi cha kujijenga. Kipindi cha uncertainty. Kipindi ambacho maisha bado...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…