mwanamke

  1. JamiiForums Tanzania Mambo 5 ya thamani kuliko mwili wa mwanamke

    Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
  2. JamiiForums Tanzania Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  3. JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar

    Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) Yagawa Mitungi ya Gesi 2,000 (Kg 30) kwa Wanawake Wajasiriamali Mkoa wa Kusini, Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 04 Julai, 2024 imegawa Mitungi ya Gesi 2,000 ( KG...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume anayetosheka na mwanamke mmoja au ni hulka ya mtu tu?

    Nataka kujua kuhusu hiki kitu ambacho kimenifanya nishindwe kabisa kuwaamini wanaume ,je ni kweli wanaume wameumbwa na matamanio kiasi cha kwamba hawawezi kutosheka na mwanamke mmoja?
  5. JamiiForums Tanzania Akili kumi za kumteka mwanamke

    Ndoa ni tamu,ndoa ni paradiso,ndoa ni utajiri,wanaosema ndoa ni ujambazi hawajui codes za ndoa. Baba yangu alipenda kuniambia "ignorance is the biggest enemy in your life" mchawi wa mafanikio makubwa yoyote yale ni ujinga,watu wengi wameingia kwenye ndoa na hawajui ndoa ni Nini?hawajui Kama...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ulitongoza mwanamke wako wa kwanza ukiwa na miaka mingapi?

    Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
  7. JamiiForums Tanzania WANAUME TUJIFUNZE KWA SAMUEL ETOOUkifanikiwa usitafute penzi jipya mkumbuke uliyeanza nae

    Pichani ni Samuel Eto'o akiwa na mkewe unaambiwa kabla Eto'o hajawa star mke wake alikua dada wa salun huko Ufaransa na alikua akimpa pesa ya kujikimu mpenzi wake Eto'o wakati Eto'o akienda kwenye majaribio ya mpira kwenye vilabu mbalimbali vya soka Eto'o anasema baada ya kupata timu na kuanza...
  8. JamiiForums Tanzania Ndo nakuambia sasa kama hujui. Asilimia 95 ya wanaume wanapenda mwanamke huyu

    Awe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja.... Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu. Unabisha aangalia insta...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanamke au Mkeo huyo akiwa Mtukufu, yule aliyemuumba huyo Mkeo ambaye ni Mungu Yeye ataitwa nani?

    "Kwa Sisi baadhi ya Wanaume wa kiafrika tunadhani kumpa heshma Mkeo kama hii ni ufala au uzuzu,,kumbe hata Dini zetu na mafundisho yake yanatutaka tufanye hvyo!! Mke anahitaji utukufu", amesema Haji Sunday Manara Mhamasishaji Klabu ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala. Sasa Mwanamke au Mkeo huyo...
  10. JamiiForums Tanzania Ujumi: Ni sahihi na rahisi kutamka ntu, mwananke, ntoto kuliko mtu, mwanamke na mtu

    Salaam wanajamvi! Katika Mambo ambayo watu wa Kusini (Lindi na Mtwara) husemwa na kudhihakiwa ni utamshi wetu wa kipekee wa baadhi ya maneno yanayohusisha ncha ya ulimi kama vile; mwananke, ntoto, nti, nshale nk. Wanaotucheka hudhani tunakosea utamshi sahihi wa lugha adhimu ya Kiswahili kumbe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nafasi ya madaktari kike na wahudumu wa kike hukatika katika utoaji wa huduma za afya

    Serikali inapaswa kuongeza idadi wa madaktari wa kike ,ili Wawa hudumie Wana wake pale wanapofika hospitalini. Kufanya hivyo kutapunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuongeza ufanisi wa kazi. Kwani ni vyema mwanamke akihudimiwa na mwanamke mwenzie ,hasa pale mgonjwa anapotakiwa kupata...
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke ambaye hajijali na hajali hawezi kukujali wala kujali Watoto wako

    MWANAMKE AMBAYE HAJIJALI NA HAJALI HAWEZI KUKUJALI WALA KUJALI WATOTO WAKO Anaandika, Robért Heriel Mtibeli Unaweza ukawa kijana smart na mwenye bidii ya kutafuta maendeleo. Lakini ukajikuta jitihada zako zinaishia ukingoni baada ya kukutana na Mwanamke kisha ukamuoa(ukaamua kuishi naye)...
  13. JamiiForums Tanzania Siri nzito: Wanaume wote tuliopo katika mahusiano karne hii hatupedwi na wanawake zetu na wanatusanifu sababu mambo yao hayajanyooka

    Ewe kijana wa kiume wa karne hii Acha kujidanganya kama unapendwa huyo mwanamke uliyenaye hakupendi ila anakusanifu sababu mambo yake bado hayaja nyooka.......... mwanamke siku zote akiwa hana kitu kwa mwanaume wake huwa ni mpole na mnyenyekevu sababu kuna kitu either anakitafuta au anakipata...
  14. JamiiForums Tanzania Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

    Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti. Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma...
  15. JamiiForums Tanzania Pale mwanamke anapodhani kanizidi akili kwenye mahusiano

    Sijue huko kwenu vipi lakini mwenzenu ninayokutana nayo sio mepesi, lakini kwasababu mimi ni mtu makini huwa nafanikiwa kutoka, si Rahis ni mkono wa Mungu tu 😁 Ndani ya kipindi kifupi nimedate na wasichana watatu wa hovyo, unajua kuna vitu huwezi elewa wala kueleza hadi ukutane navyo upate...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela usipende chatting ndefu na mwanamke

    Nakusanua mwanaume mwenzangu Kama huna hela usipende sana kuchati mara kwa mara na mtoto wa kike Sina maana usiwasiliane na mpenzi wako lahasha ila hii itakusaidia kukwepa vizinga vya hapa na pale Siku ukiwa vizuri financially hapo sasa unaweza kuchati as you wish ila kama huna kitu jitahidi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
  18. JamiiForums Tanzania Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

    Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili kabila la former mkuu wa majeshi Wanawake zao ni jeuri na wana hasira Za kufa mtu aisee Kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimtafute tena au nibwage?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza kuna mdada nilikutananae wiki iliyopita kwa kifupi nilimwelewa nikamwomba namba akanipa tukayajenga fresh akakubali baada ya hapo nikaomba nionane nae sehemu mida ya jioni nikamnunulia nyama za kuku nikatoa noti ya af10 nikalipa. sasa yule demu baada ya kuiona...
  20. JamiiForums Tanzania Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…